MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

hakuna hasara kubwa kama hasara hiyo maana baada ya pumzi kukata hakuna tena second chance ya kurudi duniani kurekebisha yale ambayo ulishindwa kuyarekebisha ulipopewa umri wa kuishi.
Kumbe mtarudi tena duniani?
 
Nakushauri jikite kuitoa familia yako na wewe katika umasikini.
Hayo ya kutaka kila mtu aamini unachokiamini wewe utateseka tu mwisho wa siku huwa mnaishia kujiripua tu.
 
Mungu ameiteremsha Quran kuja kwa Mtume Muhammad (pbuh) kwa kupitia Malaika Gabriel aka Jibril
Hujajibu swali.. Umejuaje kwamba hicho kitabu kimeteremshwa kutoka kwa Mungu kweli wakati umeshasema Mungu hajulikani wala hafananishwi na chochote
 
Mungu ameiteremsha Quran kuja kwa Mtume Muhammad (pbuh) kwa kupitia Malaika Gabriel aka Jibril
Acha uwongo. Mwongo mkubwa wewe. Mohammad mwenyewe alisema kuwa aliambiwa aandike, na yeye akajibu kuwa hajui kusoma wala kuandika. Akabanwa mpaka akahisi anauawa. Alipoachiwa akafika kwa mkewe akiwa katika hofu kubwa, akamweleza mkewe kuwa alipokuwa pangoni alitokewa na shetani, akaambiwa aandike, na aliposema hajui kuandika, alikabwa nusura ya kufa. Akiwa katika hali ya hofu na kukata tamaa, mkewe akampeleka kwa binamu yake. Binamu yake, katika kumpoza, akamwambia kuwa aliyemwambia aandike, na kisha kumbana mbavu atakuwa siyo shetani, atakuwa malaika Jibril. Mpaka Mohammad anakufa hakukuwa na kitabu kinachoitwa Quran. Inayoitwa Quran imeandikwa baadaye na watu waliodai kuwa walichokiandika ni simulizi walizokuwa wamezisikia toka kwa Mohamad, lakini ukweli ni kuwa Mohamad hakuwahi kuteremshiwa kitabu na yeyote, wala yeye hakuwahi kuandika.
Inashangaza sana mtu anajiita muislam, halafu hajui hata jinsi quran ilivyopatikana, na nani aliyeiandika.

Soma hapa kidogo;
Muhammad as unlettered (ummi), meaning he did not read or write a physical book himself. He delivered the text orally, and his companions committed the verses to memory (hifdh) and wrote them on available materials like leather, stone, and bone.
Post-Death Compilation: The scattered written fragments and oral recollections were gathered and compiled into a unified text under the first Caliph, Abu Bakr, and later standardized into an official codex under the third Caliph, Uthman.

historians generally agree that Muhammad did not write a completed book of the Quran during his lifetime. However, historians debate the exact timeline and process of how the oral traditions crystallized into a standardized text, with many concluding that the core materials trace back to Muhammad and his immediate community, while others suggest a developmental process of compilation concluding decades after his death in 632 CE.

Sijui kwa nini uislam umejengwa katika misingi ya uwongo!! Unamsikia mtu anatamka eti quran ilishushwa na Allah, wakati Mohamad anasema aliambiwa na asiyemjua kuwa aandike, na kwa fikra zake aliamini kuwa aliambiwa na shetani.
Mungu wa kweli asingeshindwa kufahamu kuwa Mohamad alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Waislam wanaongea mambo mengi ya uwongo wakimhusisha Mohamad. Ukweli ni kuwa Mohamad hakupokea maandiko yoyote, mpaka anakufa hakukuwa na kitabu chochote kinachoitwa quran.
 
Umekaririshwa upuuzi huko unataka kuwapakaza na wengine huo upuuzi!
Sasa kwa taarifa yako kila mtu aendelee kuamini matango pori yake bila kujali yameletwa na harabu harabu au wazungu au maponjoro au singasinga n.k.

Kwa kukuongezea tu hakuna jamii iliyo acha uchawi kwa poroja za wazungu au waarabu angalia jamii za watu wa tanga all the way hadi mtwara kwa mashekh wengi na huko sumbawanga kwa akina kadinali pengo hawajawi kuacha vimbwanga vyao lakini huu ukanda wa pwani wakaongezewa na kifurushi cha USHOGA toka arabuni ni mwendo wa kuruka na kukanyagana
 
Mungu wa wayahudi ni YAHWEH na sio Yehova
 
Mtoa mada rudi ukajinoe zaidi
Kwa humu, utapewa dawa iliyoshiba
Hakika uwezo wako ni wa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…