Unaweza kulinganisha MOI na Temeke? Kwenye kutibu mifupa?Yah na Temeke kwa private services ni pazuri mnoo.hapana tabu. Ni sisi walalahoi ndio huwa tunapata tabu
Hazilingani. MOI ni the best.Unaweza kulinganisha MOI na Temeke? Kwenye kutibu mifupa?
Nijuavyo MOI ni special kwa mifupa,hapo temeke kutakuwa na wodi tu ya kawaida.
Pole sana mkuu..Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
πππππππ
Wakushoto umevunjika mara mbili wakulia una una maumivu ila x-ray imeonyesha haujavunjika ila inauma sanaa
Pole sana mkuu, Mungu akujalie upone haraka kaka.Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Pole sana ! Quick recoveryAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
πππππππ
Kwanini na ndio hospital kuu?Pole mkuu hujafa hujaumbika, Mungu akutie wepesi upone haraka uendelee na majukumu yako ya kila siku.
Napenda kutumia wasaa huu kukusisitizia usije ukajaribu kwenda Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
Don't Ever.!!
Pole sana kiongozi...Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
πππππππ
Pole sana sana Mkuu.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF