Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Pole sana kaka. Amini katika kazi za shetani Mungu huwepo hapo kumprove wrong shetani. Nako uombea upone haraka urudi kwenye majukumu yako.
Hiyo mirija ya mkojo ni balaa sana
 
Polee Sana chief
 
Pole sana docta, ajali hii ikupe somo wewe na madocta wenzio muweze kutoa huduma haraka za kuokoa maisha ya watu kila wakati. Nasema hivyo sababu kumekuwepo na malalamiko kadhaa ya watu kukosa huduma za haraka na hatimaye kupoteza uhai.
 
Usinikumbushe habari ya catheter, Ile kitu inakera jamani.
Nilifanyiwa TURP mwaka Jana nikawekewa hicho kitu. Kinakera Ila hakiumi Ni Kama ukifanyiwa gastroscopy halafu ukute nesi anayekukandamiza ana maziwa makubwa yanayokukandamiza kwenye masikio.
🀦🀦🀦wanaume bhanaaaa
 
Pole sana ndugu yangu kwa huu mtihani nahakika utaushinda na utarudi ukiwa bora zaidi.
Mitahani ni yetu wanadamu na tutapambana nayo mpaka mwisho wa safari yetu.
 
get well soon man!!!"huu ndo wakati wako wa kusali kama walokole,,,utasali kwa hisia kali sana,kuliko wakati wowote ule"
 
Pole na ajali mzee, Mungu ameshakunusurisha na utapona tu uamini. Ila katheta inauma ikitolewa sio kama ikitumbukizwa na bahati nzuri wanaitoaga upesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…