Baadhi yamambo hutupata kutokana namfumo au mwenendo mzima wamaisha yetu.maisha niupendo maisha nifuraha.tunapo kua hatuna furaha tafsiri yake tunakua kwenye mchakato wakuelekezo nguvu zetu za ndani kwenda kwenye matukio hasi.mfano mtu alie dhurumiwa akili yake mda ule inakua inatumika kwanguvu sana ninamna gani atalipa kisasi,matokeo yake nimauwaji,chuki,husda namengi yamfano huo.
Alie beba vitu hivi moyoni mwake nimtu hatari sana kuizidi hatari yenyewe kwakua akiwa mtumiaji wasiraha zamoto yeye nirahisi mno fumba fumbua kampiga mtu risasi.
Zaidi vuta picha mtu huyu amebeba abiria kwenye usafiri roho zaidi ya 60??
MUNGU NIUTUKUFU ULIO KAMILIKA NDUGU ZANGU,MUNGU NIUPENDO NAFURAHA.
SHETANI NDIO AJARI,MAUWAJI,CHUKI,UONGO,ZINAA,UBABE,DHARAU,MAJIVUNO,NAKILA AINA YA UBAYA.