Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
 
Hapana Mungu hawezi kufanya hivyo!
Mbona Kuna binadamu wanatesa na kuuwa binadamu wenzao??

Sasa solution ya changamoto zote hizo ni kuchukua tahadhari kuishi katika mfumo mzuri.

Usafi, kama wewe ni msafi na unafata Taratibu za afya huwezi kupata ma nzi ya ajabu.

Huwezi kupata magonjwa yote hayo ambayo sababu yake ni uchafu
 
Mungu aliumba kila kitu ni chema kwa mujibu wa maandiko,Mwanzo1,Baada ya Dhambi mambo yakabadilika!
 
Hapana Mungu hawezi kufanya hivyo!
Mbona Kuna binadamu wanatesa na kuuwa binadamu wenzao??

Sasa solution ya changamoto zote hizo ni kuchukua tahadhari kuishi katika mfumo mzuri.

Usafi, kama wewe ni msafi na unafata Taratibu za afya huwezi kupata ma nzi ya ajabu.

Huwezi kupata magonjwa yote hayo ambayo sababu yake ni uchafu
Kunguni Hata uwe msafi,msimu wake ukianza ni balaa! Nakumbuka mwaka Jana hapa Dodoma,ukigusa tuu nyumba yenye kunguni ukakaa umezizoa kwenda home,piga dawa ,wapi zinapungua tuu!Mwaka huu hakuna.
 
Kila kitu kibaya nasikia kinapatikana kwa wingi huko Dodoma. Ukoma, upofu, uchafu, uombaomba, kunguni, trachoma, gereza la kunyongwa, makao makuu ya wagonjwa wa akili ni huko huko pia
 
Back
Top Bottom