Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Umejisahau wewe unavyowachinjia nguruwe kisogoni na kuwala kwa kuwasababishia umauti na maumivu kwani Mungu hajakuumba?
Acha uuaji na mbu wataacha kukuuma.
 
Ondoa dhana ya kumfikiria Mungu kama baba au kama mfalme au kama mtu. Tambua kuwa Mungu ni roho ambayo ni NISHATI ambayo ipo ilikuwepo na itaendelea kuwepo.

Wewe Bujibuji Simba Nyamaume jitambue pia ni roho inayoishi katika mwili wako, ulikuweoo, upo na utaendelea kuwepo.

Maisha yote ya viumbe vyote yapo katika UMOJA wa roho ingawa yanatokea katika miili tofauti.

Wanyama,wadudu, ndege, samaki na viumbe vingine havina tofauti na wewe na mimi katika roho isipokuwa katika uonekano wa mwili tu.
 
Pia kuna sehemu sir God hakuwa fair embu imagine kwenye issue ya Nuhu na safina yake yaane eneo lote hilo ni nuhu tu na familia yake ndio walikuwa watakatifu wengine wote walikwenda na maji, ok njoo kwa wanyama kwa nn achukue wawili wawili tu yaani jike na dume na wengine wateketee, kwa nn safina isingetengenezwa ya kutosha waingie wote?

Arghhh inasikitisha sn
 
Binadamu tunazaa kwa uchungu sababu tulikila tunda tulilokatazwa, je unajua fisi ndio kiumbe anayezaa kwa uchungu zaidi ya viumbe wote, sababu uke wake uko kama utume. Je kosa lake lilikuwa lipo hadi apate adhabu Kali namna hiyo?

1742447331754.jpeg
 
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Ndugu yangu, ungekuwa unasoma Biblia hata sura moja kila siku usinge-post huu uzi. Iko hivi Nyamaume: Mungu alipoiumba dunia, kila kitu kilikuwa chema (Mwanzo 1:31). Wanyama na wadudu hawakuwa na madhara, hata miiba haikuwepo. Maisha yalikuwa ya raha tupu. Mambo yaliharibika wanadamu wa kwanza Adamu na Eva walipofanya dhambi. Wadudu wakabadilika wakaanza kung'ata, nyoka akawa adui, simba akawa tishio nk nk (Warumi 8:20-22). Hii ndiyo sababu kuna magonjwa na mateso duniani.

Hata hivyo, ni kweli Mungu ni wa upendo, ameandaa mbingu mpya na nchi mpya ambapo hakutakuwa na maumivu, machozi wala mateso (Ufunuo 21:4). Hakutakuwa na mbu wa malaria, kunguni wala magonjwa. Njia pekee ya kuingia mbinguni ni kwa kutubu dhambi na kumwamini Yesu Kristo (Yohana 14:6). Mgeukie Yesu leo, uwe na uhakika wa kuingia mbinguni siku Yesu atakapokuja. Dalili zinaonyesha kuwa Yesu yuaja upesi kuwachukua na kuwapeleka mbinguni wote wanaomuamini. Wanaomkataa Yesu, wataachwa duniani na kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Na baada ya dhiki hiyo kuna mateso tena mazito zaidi katika moto wa milele. Amua leo kuokoka kabla neema haijafungwa. Ubarikiwe sana!
 
The nature of universe mkuu,

Ndiyo maana naamini zaidi kwenye science kuliko kitu kingine.

Haina maana siamini katika Mungu ila iko hivi science ina prove zaidi kwangu ni

God -45%

Science 55%
 
Back
Top Bottom