Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Binadamu hawaui wanyama kama ng'ombe,,kuku, nguruwe, mbuzi nk kwa kuwachinja?
Unataka uthibitisho gani?
Kwanini mnauwa viumbe wengine wakati na nyie mmeumbwa na Mungu?
Sasa ajabu gani mbu kuuma binadamu na kusababisha afe wakati binadamu huyo huyo ni muuaji?
Juzi israeli kaua wapalestina 400 usiku mmoja tu. Binadamu mlioumbwa na Mungu mnauana wenyewe kwa wenyewe.
Mbona hujamlaumu Mungu kwa kuumba binadamu wauaji?
Mimi natokea kwenye jamii ya ki vegetarian hatuli aina yoyote ya nyama wala mazao yake
 
Huu sasa ni upendo wa aina Gani? Biblia inasema upendo hauhesabu mabaya, sasa ni Mungu Gani anayetuhesabia mabaya ili atuchome moto?

Yohana akiwa Patmos pale nchini Greek alikuwa na stree sana, kiasi kwamba akazimia hallucinations ndizo alizokutana nazo
Yesu alikuja, akamwaga damu yake, akafa msalabani yote hiyo ni ili sisi tuokoke na hukumu ya moto wa milele. Kuna upendo zaidi ya huo? Wanaomkataa Yesu, hakuna namna, mshahara wao ni mateso ya milele. Lakini bado neema ipo; mtu akitubu na kumwamini Yesu anasamehewa. Mungu hamhesabii dhambi tena. Ndio sababu na sisi tumeagizwa kusamehe tunapokosewa. Ukikosewa ukasamehe, ukakosewa tena na mtu huyohuyo usihesabu kuwa hiyo ni mara ya pili. Umenipata, mkuu?
 
Huyu baba leo kaamka na battle dhidi ya Mungu isitoshe anaiwekea battle nguvu ya asili na Supreme being maana anaeleweshwa haelewi. Sasa ngoja kimlambe asubuhi hii au mchana. Utatuletea mrejesho.
 
Uchafu ni kutokuoga tu? Umeshawahi kukaa Makete? Ni kawaida kukata mwezi bila kuoga
Kutokuoga ni uchafu. Nimekaa Makete-Bulongwa, pia kuna chawa. Mwili wa binadamu unahitaji kuoshwa ili kuufanya safi na kuuchangamsha. Baridi sio kigezo cha kukuzuia kuoga ingawa huwezi kuoga kila mara kama mtu aishie Dar. Kingine ni usafi wa nguo na malalio. Kutokana na baridi watu hawafui matandiko na kusababisha kuzalisha wadudu. Hawa wadudu pia hawataki mwanga na hewa safi, kwa sababu ya baridi unafunga madirisha muda wote hapo wanazaliana zaidi. Usipooga wanajificha kwenye makwapa yako, matakoni, chini ya pumbu, mferejini na nyweleni. Inawezekana kuna sababu nyingine ya kustawi kwa hawa wadudu lakini UCHAFU ni namba moja
Wanapenda unyevunyevu - ubichi na uvundovundo wa nguo ambazo hazijakauka na jua au zilizoanikwa ndani hasa chini ya godoro.... vichupi chupi chini ya godoro ni makao yao
 
Mungu wa upendo akamuumba mwanadamu ambaye anamkataa yeye na bado anaendelea kumpa pumzi yake.
 
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Logic defies the existence of God! huwezi ukawambwa msalabani, ukafia msalabani, kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu uliowaumba, next ukaumba disease agents wa kumwangamiza huyo uliyemfia msalabani
 
Binadamu tunapenda kujipa umuhimu ila inawezekana uumbaji haukujali, ulichojali ni balance ya maisha iwepo.
 
hata wao wanafamilia pia na wanamuabudu MUNGU huyo huyo unaemuabudu maana na wao wanaroho na ni roho pia,wanalalamika kubinywa binywa na kupasuliwa matumbo yao na binadamu
 
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Sisi binaadamu tunajifanya viehehere kuwa sisi ndio viumbe Bora zaidi. Mathalani ungefanikiwa kujua lugha za inzi,mbu, funza, virus, nguruwe nk Kila kimoja kinajinasibu kuwa kumbe Bora na kizuri na wanamwona binaadamu kama dude lenye sura mbaya na linalohatarisha maisha Yao
 
hata wao wanafamilia pia na wanamuabudu MUNGU huyo huyo unaemuabudu maana na wao wanaroho na ni roho pia,wanalalamika kubinywa binywa na kupasuliwa matumbo yao na binadamu
 
Back
Top Bottom