Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Naam. Ukizama kwa ndani zaidi utagundua kwamba Vyote hivyo vimeumbwa na vipo kwa sifa na utukufu wake Mungu.Mungu fundi asingeweka kunguni chawa mende nzi papasi sijui nyumba zetu zingekuwa chafu kiasi gani nahisi mashuka na nguo zisingefuliwa usisahau aliweka pia jasho
Ashukuriwe na atukuzwe Mungu muweza
Aidha utakumbuka kwamba vitu vyote hivyo na vile ambavyo hukuvitaja; sisi binadamu tunavihitaji na ni vyenye manufaa makubwa kwetu juu ya mustakabali wa Ustawi na Uhai wetu. e.g. Viumbe hivyo hutumika kufanyia uchunguzi wa kisayansi; maabara na vingine ni dawa (kama vilivyo)kutibu au kuondoa madhila ya Kiafya (maradhi)endapo yatatusumbua au tukikumbana nayo.
Ni Sahihi:Ashukuriwe na Atukuzwe Mungu muweza wa yote katika yote.