Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.
Ukizingatia usafi kitu ambacho ni mojawapo ya maagizo kutoka kwa Mungu, nzi hana shida kwako.
Mwepuke nzi na utaepukana na magonjwa.
Je; Faida za nzi umejaribu kuzifuatilia?? Ni nyingi mno kuliko madhara ya mdudu huyo.
Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria
Kwa nini usitumie neti na kivumbasi?
Kumbuka ni kutokana na mbu mwanadamu aliweza kuigundua dawa ya kuzuia damu kuganda.
Kunguni? Kunguni anakukumbusha uwe msafi. Je, hilo ni kosa?
Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Nanukuu" Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki". Exactly Yes.
Ametuwekea na njia ya kutokea kwenye hizo changamoto tunazomsingizia eti katuwekea kututesa.
Lakini pia ni kutokana na wadudu hao uliowataja hapo juu ; binadamu amejifunza mengi na kugundua mengi yenye faida kubwa mno.
Ndiyo! Tunatakiwa tumshukuru sana halafu tumshangae kwa kuwaumba wadudu hao.
 
Sisi binaadamu tunajifanya viehehere kuwa sisi ndio viumbe Bora zaidi. Mathalani ungefanikiwa kujua lugha za inzi,mbu, funza, virus, nguruwe nk Kila kimoja kinajinasibu kuwa kumbe Bora na kizuri na wanamwona binaadamu kama dude lenye sura mbaya na linalohatarisha maisha Yao
Halafu Kuna watu wajiita CHAWA
 
CCM ilitabiriwa wakati wa uumbaji wa dunia,na hivyo viumbe viliumbwa vije kuwashughulikia wao
 
Bujibuji ni hivi kila kiumbe duniani kimeletwa duniani kwa malengo maalum
Hata hawa nyoka tunaowachukia na tunawaona ni adui wako duniani kwa malengo maalum
Tunaishi kwa kutegemeana.
Vitu vinaitwa Food web,food chaina na ecosystem.
Unaweza ukaangamiza kiumbe kimoja hatimaye ukaleta maafa kwa binadamu
Nikupe mfano wadudu wote duniani wasingekuwepo mimea isingekuwepo kupitia kitu kinaitwa polination.Kwa maana hiyo na sisi binadamu tusingekuwepo maana tungekosa chakula kupitia mimea.Nikupe mfano mwingine ukiua mbu wote duniani na wadudu wengine popo watakufa popo wakifa nyoka watakufa,nyoka nao wakifa panya watakuwa wengi sana watamletea binadamu ugonjwa wa Tauni hivyo binadamu watakufa.Ukiua fisi wote duniani mizoga itakuwa mingi sana maana fisi ni bwana afya wa pori.Hii mizoga ikizagaa wanyama wakila watapata magonjwa ya ajabu ambapo yanaweza kuhamia kwa binadamu.
Hiyo sasa ndio inaitwa ecosystem.Mungu ana makusudi maalum kwa kila jambo.
 

Attachments

  • Screenshot 2025-03-20 074105.png
    Screenshot 2025-03-20 074105.png
    127.1 KB · Views: 17
  • Screenshot 2025-03-20 074847.png
    Screenshot 2025-03-20 074847.png
    469.9 KB · Views: 15
  • Screenshot 2025-03-20 075139.png
    Screenshot 2025-03-20 075139.png
    156.8 KB · Views: 13
HAPANA Mungu wa upendo ametoa maelekzo sahihi kabisa kwamba tuishi kwa kusingatia kanuni za afya na usafi,
Moto ni hitaji muhimu Sana lakini ukitumia.vibaya ni hatari kaharika kwa umeme visu na madawa,
Mechanisim ya umeme haijatengenezwa ili umdhuru binadamu kadharika vimelea vya wadudu na uteute wait, na viuchafu vyao, ndio maana maabara wanatengeneza madawa kwa tafiti nyingi Sana Mungu alidizain wadudu wakae katika mazingira yao, NI sawa na kulalamiolka kwanini gari inatumia petroli ambayo inqliouka ? Kwanini wasitengeneze patrol yenye ladha Kama ya soda?
Taka taka ni kitu chochote kilichopo mahali ambapo hapastahili.
Ulaya ninwasafi Sana ndio maana Hakuna maralia Wala kunguni
 
Hapo mmesahau viroboto hivi ndo huwa nawaza wanafanya Nini duniani, Hawa jamaa wanang'ata balaa unaweza vua nguo mbele ya watu
 
Salary ikisoma unambishia hadi Mungu na uumbaji.

Ikiisha unaendelea kutamani kua mwanamke mwenye matako makubwa malaini. 🙄
 
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.

Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria

Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.

Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.

Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Mungu wetu wa upendo hakika ni fumbo Pana, akili zàke hazichunguziki.
Lakini,akawajaza akili tele wanadamu ili wayakabili mazingira(kijijini kwetu tunaita "mazingira") yao.
 
Kutokuoga ni uchafu. Nimekaa Makete-Bulongwa, pia kuna chawa. Mwili wa binadamu unahitaji kuoshwa ili kuufanya safi na kuuchangamsha. Baridi sio kigezo cha kukuzuia kuoga ingawa huwezi kuoga kila mara kama mtu aishie Dar. Kingine ni usafi wa nguo na malalio. Kutokana na baridi watu hawafui matandiko na kusababisha kuzalisha wadudu. Hawa wadudu pia hawataki mwanga na hewa safi, kwa sababu ya baridi unafunga madirisha muda wote hapo wanazaliana zaidi. Usipooga wanajificha kwenye makwapa yako, matakoni, chini ya pumbu, mferejini na nyweleni. Inawezekana kuna sababu nyingine ya kustawi kwa hawa wadudu lakini UCHAFU ni namba moja
Wanapenda unyevunyevu - ubichi na uvundovundo wa nguo ambazo hazijakauka na jua au zilizoanikwa ndani hasa chini ya godoro.... vichupi chupi chini ya godoro ni makao yao
Sawa
 
Mungu fundi asingeweka kunguni chawa mende nzi papasi sijui nyumba zetu zingekuwa chafu kiasi gani nahisi mashuka na nguo zisingefuliwa usisahau aliweka pia jasho
Ashukuriwe na atukuzwe Mungu muweza
 
Back
Top Bottom