Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #241
Hata kwenye ulimwengu wa roho,ni vitu viwili tofautiHapo hujakosea,kweli kuna tofauti. Mfano mungu wa waislamu wanasema hana mwana na Yule wa walokole Ana mwana. Mungu wa waislamu anawaambia wafuasi wake wafunge mwezi wa Ramadan na Mungu wa walokole anawaambia wafunge bila kujionyesha au kujitangaza kuwa wamefunga.Tofauti ni nyingi sana,hata namna ya kusali iko tofauti sana,walokole wanalia,waislamu hawalii.
Nina maswali mengi, ila nianze na Hili. ...Hata kwenye ulimwengu wa roho,ni vitu viwili tofauti
Mitume wote waliopiPole sana,
Kama Hadi sasa hujaelewa kuwa Mungu Baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu ndiye huyo huyo YESU KRISTO, Bado una safari ndefu.
Ila nakuombea ufike Kwa Uweza wa Mungu.
poleni sanaHapo hujakosea,kweli kuna tofauti. Mfano mungu wa waislamu wanasema hana mwana na Yule wa walokole Ana mwana. Mungu wa waislamu anawaambia wafuasi wake wafunge mwezi wa Ramadan na Mungu wa walokole anawaambia wafunge bila kujionyesha au kujitangaza kuwa wamefunga.Tofauti ni nyingi sana,hata namna ya kusali iko tofauti sana,walokole wanalia,waislamu hawalii.
mwisho wa nini asee!Mwisho
Ukiniuliza kwa mujibu ya Islamic conception sitakujibu.Yesu alikuwa MyahudiTatizo mnashindwa kujibu maswali mepesi kama hayo,utaweza kuwafundisha watu vitu vigumu?dini siyo ya kukalilishwa labda nikuulize tena swali jingine Yesu alikuwa Dini gani?mimi nataka vitu vikubwa
Wewe unataka kutuharibia uzi kwa kuleta schools of thoughts za dini yako.Wee tuache sisi tuburudike na ukuu wa Yesu bwana.Labda nikusaidie kujibu Sifa za Mungu
(1)hakuzaliwa wala kuzaa
(2)Haonekani,hakuna aliyewahi kumuona,ila Musa alisikia sauti yake
(3)hana mwanzo wala mwisho,yaani hawezi kufa
(4)Yeye ni wa pekee hana msaidizi katika kazi zake,na dunia aliiumba peke yake,na mwisho wa dunia atarudi na kuwa peke yake inamana hata Yesu pamoja na maraika watakufa
Umeuliza maswali ya msingi sana...Nina maswali mengi, ila nianze na Hili. ...
Ulisema hao watu warefu wakikugusa Ile alama haifutiki. Na ukusema katika ulimwengu wa roho inaonekana.Ina maana Ile alama wachawi wanaiona muda wote? Na wachawi wakiiona wanafanyeje? Wanaiheshimu Ile alama au mtu mwenye Ile alama? Au wanamfanyia ubaya? Au Ile alama inawaogopesha wachawi?
Kaka wewe endelea kumuabudu Mungu wako ukiangalia Saudia.Sisi Mungu wetu yuko kila mahali hatuna haja ya kugeukia kokote.Mungu wetu huapa kwa jina lake na si vinginevyo.Halinganishwi wala hapimani na Mungu wako.Tupo sifa za Mungu wako wewe, ili tupimane uelewa
Mi kutokana na expiriencee naami unakua target Yao ndio lkn ushindi unakua kwako, ni kama umevishwa kombati kwenye uwanja WA vita , manake unakua target ya maadui ila msaada WA ushindi upo na ndio maana Mungu anapewa utukufu kwa kule kutusaidia kushindaNina maswali mengi, ila nianze na Hili. ...
Ulisema hao watu warefu wakikugusa Ile alama haifutiki. Na ukasema katika ulimwengu wa roho inaonekana.Ina maana Ile alama wachawi wanaiona muda wote? Na wachawi wakiiona wanafanyeje? Wanaiheshimu Ile alama au mtu mwenye Ile alama? Au wanamfanyia ubaya? Au Ile alama inawaogopesha wachawi?
Mkuu kila mtu ana mapokeo yake kutokana na imani yake.Wakrsto wao mungu wao ni Yesu na baba yake Mungu Jehovah ni mapokeo yao na huwezi kuwabadili..Sawa na wewe na mapokeo yako hayo uliyoandika juu hawawezi kukubadili na nyote mpo sawa kimapokeo kutokana na imani zenu mlizorithishwa na wazee wenu..Nimekujibu kibinadamu zaidi ila sio kinajimu.Huwezi kuamshwa na Yesu, wakati aliyekuumba Mungu, na ndiye aliyekumba, na ndiye atakayekufisha, na ndiye atakayekufufua na ndiye atakayekuhukumu siku ya hukumu
Kwa rehema zake, atakuingiza peponi au motoni
Nitayajibu yote mkuuUmeuliza maswali ya msingi sana...
Nitakujibu mkuu....Huu uzi twendeni taratibu hakuna anaetukimbiza...Sawa mkuuNina maswali mengi, ila nianze na Hili. ...
Ulisema hao watu warefu wakikugusa Ile alama haifutiki. Na ukasema katika ulimwengu wa roho inaonekana.Ina maana Ile alama wachawi wanaiona muda wote? Na wachawi wakiiona wanafanyeje? Wanaiheshimu Ile alama au mtu mwenye Ile alama? Au wanamfanyia ubaya? Au Ile alama inawaogopesha wachawi?
Kuna vitu vingine inabidi ufikilie kwa akili ya ubinaadamu siyo lazima uende shule ukasoma, nafasi ya Mungu kwa binadamu ni kila kitu, yeye alikuwepo, yupo, atakuwepo daima.Mkuu kila mtu ana mapokeo yake kutokana na imani yake.Wakrsto wao mungu wao ni Yesu na baba yake Mungu Jehovah ni mapokeo yao na huwezi kuwabadili..Sawa na wewe na mapokeo yako hayo uliyoandika juu hawawezi kukubadili na nyote mpo sawa kimapokeo kutokana na imani zenu mlizorithishwa na wazee wenu..Nimekujibu kibinadamu zaidi ila sio kinajimu.
Kwanini unasema walokole duniani hawazidi milioni kumi ikiwa kila mahali duniani kuna makanisa mengi ya kilokole.Popote pale mkuu,,walokole wanasali na kulia hata kimoyo moyo wakiwa popote pale.Wakija wale watu warefu wanakaa pembeni yao wanawaangalia kwa huruma kama wanataka wawakumbatie hivi.
Na walokole wakizidi kulia kwa kusali na wale watu warefu wanaongezeka na eneo zima linazungukwa na moto wa blue tupu.Lakini duniani walokole sio wengi hawazidi milioni kumi,,ni wachache chini ya hapo.
kumbuka kisa cha mnajimu na sauli,sauli alitaka kumpandisha samweli na kweli samweli alikuja ijapokuwa alishakufa na akamkemea na kumtabiria kifo chake so wanajimu wanauwezo wa kutambua yaliyo ya Mungu.Napata shaka kama ulimuona huyo MUNGU wa walokole...
Mbona umetumia Mnajimu? Maana Mnajimu huyo ni Mkuu wa giza...
Kumuona Mungu sio kwa kutumia mtu na nguvu za kibinadamu.
Bali ni kwa kumpokea Bwana kuwa mwokozi wa maisha yako, kuomba, kufunga, kusali...
Na hii ndio maana wapo ambao wanaenda kanisani kila siku ila hawaoni mambo ya Rohoni...
Wanajiita wakristo lakini YESU hawajui...