Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Wanajimu na wachawi ni fani mbili tofauti.
Wanajimu ni wasoma nyota na matukio ya hizo nyota katika ulimwengu wa kiroho bila nia ya kudhuru.
Ambapo wachawi ni walozi(fitini) kwa kujigeuza pepo na kuunganishwa katika ulimwengu wa roho nia yao ikiwa ni kudhuru.
Zamani wakati wa agano la damu za ndama na mbuzi, nafsi zilizofunikwa maovu kwa dhabihu hizi zilipokufa zilienda mahali pa daraja la juu kule kuzimu palipoitwa paradiso.
Shetani kwa huo wakati alikuwa na access ya kuzifikia hizi nafsi na uwezo wa kuzileta huku duniani kutumia wachawi kwa kazi mahsusi. Ndicho kitu mwanamke huyu mchawi wa Endori alichofanya kwa Samweli.
Lakini baada ya dhabihu ya damu ya Yesu kutolewa watakatifu waliokufa chini ya hii kafara walihamishwa kutoka pale mahali pa juu pa kuzimu na kupelekwa uweponi mwa Mungu(mbinguni?).
Hapo walipo kwa sasa shetani hana access napo hivyo mchawi hawezi tena kuiita nafsi ya mtakatifu duniani.
Ukiona mzimu wa aliyekufa katika kipindi cha agano jipya uliletwa duniani na kuwa na ijara kwa walio hai ni kudhihirisha nafsi ya huyo mtu ilipotea na yupo kuzimu ambako wachawi na waabudu mizimu wana access.
Hii ndiyo maana ya shetani kunyang'anywa funguo na Yesu aliposhuka kuzimu na kuzihubiria zile nafsi zilizopotea wakati wa kungoja.

Mathayo 27:50-53
[50]Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Jesus, when he had cried again with a loud voice, yielded up the ghost.
[51]Na tazama, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;
And, behold, the veil of the temple was rent in twain from the top to the bottom; and the earth did quake, and the rocks rent;
[52]makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala;
And the graves were opened; and many bodies of the saints which slept arose,
[53]nao wakiisha kutoka makaburini mwao, baada ya kufufuka kwake, wakauingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi.
And came out of the graves after his resurrection, and went into the holy city, and appeared unto many.
 
Nenda kasoma kisa chote usiwe mbishi biblia ipo tena imeandikwa kiswahili lakini umekalia ubishi,biblia inasema sauli alikwenda kwa mpunga pepo/mganga wa kienyeji/mchawi.Na nikatoa na kisa cha wa najimu/mama jusi wa mashariki.
 
Usimwamini mnajimu sababu ni mtu anaetumia washirika wa baharini kufanya kazi zake
 
Nenda kasoma kisa chote usiwe mbishi biblia ipo tena imeandikwa kiswahili lakini umekalia ubishi,biblia inasema sauli alikwenda kwa mpunga pepo/mganga wa kienyeji/mchawi.Na nikatoa na kisa cha wa najimu/mama jusi wa mashariki.
Usimwamini mnajimu sababu ni mtu anaetumia washirika wa baharini kufanya mambo yake.
 
Umesema kwamba walokole wanapoanza kumlilia Mungu wao ni kama Radi...hiyo ni kweli na imeandikwa katika kitabu cha

(Ufunuo 8:4-5)

"4. Na moshi wa ule uvumba ukapanda juu pamoja na maombi ya watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika.

5. Na huyo malaika akakitwaa kile chetezo, Akakijaza Moto wa madhabahu, akautupa juu ya nchi, kukawa na radi na sauti na umeme na tetemeko la nchi.
 
Nenda kasoma kisa chote usiwe mbishi biblia ipo tena imeandikwa kiswahili lakini umekalia ubishi,biblia inasema sauli alikwenda kwa mpunga pepo/mganga wa kienyeji/mchawi.Na nikatoa na kisa cha wa najimu/mama jusi wa mashariki.
Naamini hukunisoma ukanielewa.
Kwani kuna mahali nimebisha kuwa Sauli alienda kwa huyo mwanamke mpunga pepo(mchawi)?
Ukisoma p/se jitahidi na kuelewa pia.
 
1Timotheo 6:15-16 " .....yeye aliyehimidiwa Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana 16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, emekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, wala hakuna mwanadamu aliyemuona wala awezaye kumuona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina"
 
Sheria zipitazo ulimwengu wa mwili -laws beyond the material world.

1+1 =2.

Logic.

These are abstracts, eternal truths. Sina Ari kuelezea zaidi. And watch out the way you be throwing those fallacies, make sure you know what you're talking about, usikuwe kituko.

Vitu vingine uhitaji hata kujua kusoma wala kuandika.

Kama kwanzia unaamka hadi unarudi kulala huthamini akili
iliyotumika kwenye vyote vya asili, huku inawezekana kabisa una appreciate na kusifia sana aina mpya za programu, vifaa na sanaa na kuona binadamu pekee ndo wenye akili kwenye huu ulimwengu, aisee kwani hata kuna cha ku discuss tena 😂

Niache kula mihogo yangu na kachumbari na pilipili kwenye kivuli nikipigwa upepo nishushie na juice ya embe + passion + nanasi + parachichi nikae kubishana na God hater. Hapana kwa kweli.

Waroma 1:19-20

Kwa maana yote yanayoweza kujulikana kumhusu Mungu ni dhahiri kwao kwa sababu Mungu mwenyewe ameyaweka wazi.

Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani uwezo wake wa milele na Uungu wake, umedhihirika wazi wazi kutokana na vitu alivyoviumba. Kwa hiyo watu hawana kisingizio


 
Usiwaite ""God hater""" waite wadadisi.Wanatafuta majibu ya maswali yao,so waelekezee tu usiwakaripie..
 
Mkuu hili swali lako tata???
 
Mlokole ni mtu aliyempokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake ..

Anaishi kwa kumtegemea YESU kwa Kila afanyalo...
And what about the other Christians who attend recognized Churches such as Roman Catholic and Lutherans?

To add;
  • Does the Mlokole read the very same Bible as Roman Catholic and Lutherans? if yes, than what makes them 'superior' in being able to see 'Angles, Blue Circles' etc etc
  • Why do the other preachers such as Mwamposa etc use:
- 'oil' as a supposed healing method?
- Create 'clinics' with different charges and why so, if they feel 'superior' or 'special'?
 
Shetani siyo mjinga na hata Bwana Yesu mwenyewe hakuwahi kumdharau na kumwita mjinga hata siku moja...

Yesu mwenyewe alimwita ''mkuu wa ulimwengu huu''
sasa kama Yesu alimwita mkuu wa ulimwengu huu wewe na mimi ni nani hata tumwite mjinga?

Na anachokifanya shetani kwa sasa ni kujaribu kudanganya watu wengi zaidi ili atakapokuja kutupwa kwenye ziwa la moto na kiberiti awe na 'kampani' kubwa ya wanadamu walioumbwa kwa sura na mfano wa Mungu asiende huko peke yake...

Ni kama mtu aliyeathirika na VVU na kwa hasira na kutokujua cha kufanya anaamua kulala na kila anayekuja mbele yake ili waukwae wengi zaidi..akifikiri kwa kufanya hivyo ndiyo atafarijika...

Ila Kitu kikubwa tunachopaswa kujua ni kwamba Mungu tunayemuabudu katika Kristo Yesu ndiye mkuu sana, Mwenye Nguvu sana...Anaishi juu Sana kuliko Kiumbe au kitu chochote...

Waefeso 1:20-23.
 
Warumi 9:21-23
[21]Au mfinyanzi je! Hana amri juu ya udongo, kwa fungu moja la udongo kuumba chombo kimoja kiwe cha heshima, na kimoja kiwe hakina heshima?
Hath not the potter power over the clay, of the same lump to make one vessel unto honour, and another unto dishonour?
[22]Ni nini basi, ikiwa Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake, na kuudhihirisha uweza wake, kwa uvumilivu mwingi, alichukuliana na vile vyombo vya ghadhabu vilivyofanywa tayari kwa uharibifu;
What if God, willing to shew his wrath, and to make his power known, endured with much longsuffering the vessels of wrath fitted to destruction:
[23]tena, ili audhihirishe wingi wa utukufu wake katika vile vyombo vya rehema, alivyovitengeneza tangu zamani vipate utukufu;
And that he might make known the riches of his glory on the vessels of mercy, which he had afore prepared unto glory,

Laiti kama watu tungetambua kuwa hakuna chochote kinachoe delea katika uumbaji kisichokuwa chini ya milki ya muumbaji yaani Mungu na kwa kusudi lilo hilo kilicho.
 
Hatokuelewa katu
 
Hao walokole hawana utambulisho wa makanisa.Wana utambulisho wa kiimani tokea kanisa lolote.Na sio kila mkristo ni mlokole.I hope you understand swahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…