Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

WALOKOLE WAKIWA WANAOMBA UTASEMA WANA MATATIZO YA AKILI KUMBE UNGEJUA MOTO WA MLOKOLE MMOJA TU HATA YAKIJA MAJINI MIA YANAKIMBIA KWA MLOKOLE MMOJA TU.
Huku ni kujifariji tu Mkuu!!

Na hayo yote ni MAHANGAIKO tu ambayo Mungu alimuumbia banadamu ILI ahaingike na pande mbili ambazo zote zimeumbwa na HUYO Mungu wetu!!

Tatizo mnaandika kana KWAMBA huko chini ya bahari alipaumba shetani kumbe ni Mungu mwenyewe na akijua kuna viumbe fulani baadae watakuja KUISHI tena viumbe vyake!!

Mungu alitengeneza kinyago kiitwacho shetani ILI Binadamu awe awe muhanga wa mashindano YAO!!!

Kulikua kuna haja GANI kuumba kiumbe ambacho Mwisho wa SIKU kitaasi HALAFU ukichome milele!!?

Halafu hicho kiumbe kitafute watu wa kuchomwa nacho I'll kumkomoa aliekiumba!!?

HEBU NYIE HUMU JUKWAANI ACHENI KUJIDANGANYA NA IMANI ZENU HIZI ZA AJABU AJABU!KILA KITU NI PLAN NA WANADAMU NDIO MUHANGA!!
 
NILIKUWA NIMELALA SIKU MOJA NIKAOTA NIMEFUNGWA KAMBA MIKONO YANGU YOTE MIWILI

NILISEMA NAKATA KAMBA HIZI KWA JINA LA YESU MIKONO YANGU ILIACHIA NA NIKASHITUKA USINGIZINI

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Amen,

Tuliookoka, tuna mamlaka makubwa lakini tunayatumia Kwa kiwango Cha chini.

Mwili ni kikwazo namba moja Cha mlokole kutumia mamlaka yake kikamilifu sababu, mwili na Roho muda wote Huwa vinadhindana ndani ya mtu.

Lakini tukijazwa Roho mtakatifu muda wote, tunashinda mashambulio ya MWILI.
 
Kumbe kuna watoto wa kiganga na kichawi ambao Mungu aliruhusu waumbwe ili waje wachomwe moto sio!!?

Kumbe kuna asili mbili ya juu na chini,SASA kama ni hivyo mahangaiko ya nini!?

Si tusubiri tu hatma yetu ilishaandikwa!!?

Kumbe kama WEWE ni wa chini HATA uhangaike KWA walokole ni KAZI bure KWA kuwa ushaandikiwa hayo!!?

Mi nadhani kama mambo ndio hivyo bas Binadamu hana anachoweza fanya kubadili hatma yake kwakua ilishaandikwa na yeye hakushiriki kuandikwa KWA hatma hiyo!!

Jioni huyu Binadamu ni mwenye KUSUBIRI kudra tu za hicho alichoandikiwa!!?

Inaumiza sana ukiifikiria hii bila mlengo wa kimaandiko YAANI kutumia akili tu!!
 
Kingine kinachowakwamisha wachawi ni kudhani kuwa walokole ni wachawi zaidi Yao.

Mchawi mmoja alipojaribu kumroga mlokole Kwa Kila njia na kushindwa,

Alimfuatanmlokole live na kumwombea amsaidie uchawi alionao Ili naye aongeze viwango.

Alijibiwa kuwa nguvu za mlokole hazina mahusiano na uchawi.

Katika maandiko pia, tunamsoma mchawi na mganga mmoja alimfuata Paulo Ili anunue nguvu za kuponya na kufanya miujiza ajiamini zinatokana na uchawi.!!;
 
BIBLIA inasema, Walio wake wanaisikia sauti yake na kumfuata Mchungaji wa Kondoo.

Pia imeandikwa, Wana wa Mungu hawalazimishwi kumfuata Mchungaji, ni hiari Yao.

Usidanganye watu, Kila mtu ana maamuzi na maisha yake.

Baada ya kifo ni HUKUMU, hakuna pulgatory Wala nini.
 
We ndio hujanielewa kabisa!!

Mtenda mema YEYOTE HATA kama akitenda mema kiasi GANI siku akitenda baya MOJA na kukumbwa na umauti bila kutubu si tayari kaenda jehanam!!?

SASA unafikiri huyo atakua kaenda by chance!!?au hatma yake tayari ilishaamuliwa!!?


Halafu mbona unashangaa Mungu kuchomwa watu, unafikiri huo Moto aliuuumba ILI achome nini!!?taka taka!!?mtu hawezi washa moto bila MALENGO!aliumba Moto ILI achome aliowakusudia kuwachoma na si KWA Bahati mbaya Mkuu!!

Kwani we ulipo hapo umeshakua hatma yako ipi mwishoni!!?hakuna aijiaye hatma yake bali yule aliemuumba tu ndio ajuaye!!!

Kama mnawaza juu ya mema PEKEE msiwaze mabaya wakati aliemuumba wema ndio alieumba ubaya uitwao shetani!!

TUSIDANGANYANE HUMU KWA SPIRITUALMANIA PHOBIA!TUWE WAKWELI!!

BORA WALE WASEMAO MENGINE TUTAJUA TUKIFIKA HUKO KWAKE!ANGALAU HUWA NAWAELEWA HAO!!
 
Bt utafiti huu ndugu Nelson unahitaji kitabu.
Ndugu mimi kumtafiti huyu Alfa na Omega ni suala endelevu,hapa ninashea tu na watu.Sikujua humu JF nikimzungumzia huyu Alfa na Omega nitapata watu wa kujadiliana nao...Lakini nikwambie kitu kimoja,yeye anawaona wote mnaomzungumzia na ni mkuu mwenye wivu.Hapo namaanisha ana wivu mkuu kwa wanamzungumzia yeye...WIVU WA ALFA NA OMEGA SIO WA KIBINADAMU.WIVU WAKE NI WA KIROHO SABABU ANAWATAKA WALOKOLE WAMTANGULIZE KATIKA KILA KITU MPAKA VILE VITU VIDOGO KABISA.KAMA YEYE ANAVYOWATANGULIZA KWENYE KILA KITU CHAKE..NA WALOKOLE WANAFANIKIWA SABABU WANAMTANGULIZA KWENYE KILA KITU CHAO
 
Wewe unapotosha kwa makusudi na tumeshaijua nia yako. Hayo uyasemayo unayatunga na hata ukifikiria kwa nadharia za kibinadamu tu hayana ukweli wala uhalisia wowote na hayana uthibitisho wowote pia cha dhambi na acha kujitafutia visingizio visivyo vya msingi bro. Eti Mungu akuumbe, akuwekee pumzi yake. Kibinadamu kujituma kanachoishi sana miaka 70 nakiwa na nguvu 80 kisha amuangamize milele. Haingii akilini.
 
Maana yake ni kwamba Waganga, wanajimu, wachawi, majini(shetani) na washirikina wote wanatambua mamlaka ya mwana wa mmiliki ni kuu mno kuwazidi mara matrilion sio?
Japo hawataki(pewi?) nafasi ya kujisalimisha.
Upo sahii mkuu
 
Moto aliumbiwa shetani na Malaika wake walipoasi ambao hawana nafasi ya kutubu,

Ikiwa kama nawe ni mmoja wa mapepo katika form ya WANADAMU, usidhani kuwa wote hawana nafasi ya kutubu.

Yohana 3:16 inasema,

Kwa maana jinsi hii, Mungu alitupenda Ulimwengu, hata akamtoa mwanawe wa pekee, Ili Kila amwaniniye asipotee Bali awe na Uzima wa MILELE .

Mungu hapendi hata mtu mmoja aingie kuzimu, Bali shetani Kwa vivu wake Kwa WANADAMU huhangaika atafute wa kuenda nao Jehanum.
 
UNAWEZA chaguo huko ulipo lakini hatma yako ikawa sawa na wale wa baharini!SASA sijui utasemaje kwamba umeonewa au!!?


Hatma yako ilishaandikwa HATA kabla hujaumbwa kama umeandikiwa huko unakodhani hata ukianguka bado hatma itakusukuma kule unakostahili!!

Hakuna mwanadamu anaeweza kuchagua upande na kuishi kama Mungu hakumpa uwezo wa kustahimili ili hatma yake itimie!!

Kuna kitu mnakwepa kukielewa lakini naamini mmeelewa vizuri!!

Habari ya esau na yakobo!!!?kasomeni mjue nisemacho kuna upendeleo wa hatma juu ya MAISHA ya mtu KWA vyovyote vile iwe KWA KWA ubaya au wema!!!

HABARI ya yuda iskariote je!?alichagua kumsaliti yeah au hatma ilimlazisha KWA kia ilishaandikwa!!?

Hebu tumieni akili kwanza kuliko imani zilizozidi kuliko kipimo!!!
 
Hata ukiwa hivyo uaminivyo siyo SAWA bado!!

Mtu ameishi KWA dhambi miaka 85 au 90 afe halafu akachomwe milele YAANI hakuna mwisho bila kupewa nafasi tena!jioni huo ni ukatili sana usio na kipimo!!?

Umeishi miaka 70-80 halafu kuchomwa milele halafu Mungu awe mwenye haki na wanadamu tumuone hivyo!!?

Kuna kitu HUWA tunaogopa kusema KWA sababu ya hofu kwamba kama mambo ndio hayo basi Mungu ndio mkatili zaidi kwa sababu yeye ndio muumba wa vyote yaani wema na ubaya na moto haya shetani ni project yake Mkuu!!!

Yaani mkatili mkuu ni yeye mwenyewe muumba shetani anasingiziwa kwani yeye ni kiumbe kama WEWE na Mimi na aliumbwa na udhaifu wake ambao aliuonyesha kia anao nao ni kupenda madaraka!!!

Kwanini tusiwe wakweli!!?kuwa Mungu anaeandikwa na vitabu vya dini ndio katili ZAIDI LABDA kama yupo MWINGINE LAKINI huyu wa kuchoma watu milele wakati wameishi miaka haya mia haifiki mbona anatisha!!!?

Acheni yoga semeni kweli muwe huru!!!

Maoni huru haya kabisa na uelewa huru kabisa sio wa kushikiwa!!
 
Soma maandiko yako vizuri .. utakutan
A na yule mganga aliyempigia manyanga mfalme Sauli akaiinua roho/ nafsi ya Nabii wa Mungu (Samuel ) aliyekua amekufa kisha wakazungumza...Sayansi ya ulimwengu wa roho ni nzito na pana sanaa huwez kuielewa kirahisi
 
Inawafaidia kitu gani??? Hapa ndipo shida inaanzia
 
Nipimie Mwamposa; uniambie ni wa bwana au sio.
 
Nipimie Mwamposa; uniambie ni wa bwana au sio.
Haya ni maji ya upako yameombewa, kuyapata unanunua chupa ndogo 5000 ya kati 10000 dumu 20,000.

Pima mwenyewe kupitia maandiko ikiwa baraka za Mungu zinanunuliwa Kwa pesa.

Ingekuwa zinanunuliwa Kwa pesa, wezi, wazinzi na wachawi wangehonga Malaika kwenye GETI la Mbingu Ili waingie!!!
 
Ila Mwamposa huwa anaombea maji bure kupitia TV, hii nayo imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…