A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Huku ni kujifariji tu Mkuu!!WALOKOLE WAKIWA WANAOMBA UTASEMA WANA MATATIZO YA AKILI KUMBE UNGEJUA MOTO WA MLOKOLE MMOJA TU HATA YAKIJA MAJINI MIA YANAKIMBIA KWA MLOKOLE MMOJA TU.
Na hayo yote ni MAHANGAIKO tu ambayo Mungu alimuumbia banadamu ILI ahaingike na pande mbili ambazo zote zimeumbwa na HUYO Mungu wetu!!
Tatizo mnaandika kana KWAMBA huko chini ya bahari alipaumba shetani kumbe ni Mungu mwenyewe na akijua kuna viumbe fulani baadae watakuja KUISHI tena viumbe vyake!!
Mungu alitengeneza kinyago kiitwacho shetani ILI Binadamu awe awe muhanga wa mashindano YAO!!!
Kulikua kuna haja GANI kuumba kiumbe ambacho Mwisho wa SIKU kitaasi HALAFU ukichome milele!!?
Halafu hicho kiumbe kitafute watu wa kuchomwa nacho I'll kumkomoa aliekiumba!!?
HEBU NYIE HUMU JUKWAANI ACHENI KUJIDANGANYA NA IMANI ZENU HIZI ZA AJABU AJABU!KILA KITU NI PLAN NA WANADAMU NDIO MUHANGA!!