Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hivi Ndoto ,mtu akiota zinachofanyika rohoni ni Nini mpaka huku ndotoni mtu anaota,
Mfano ,mtu anaota anaowa ,n.k
Rohoni Ina maana Gani,

Je, kama maombi yanaumba jambo rohoni litokee mwilini ,
Na je Ndoto inaumbwa na Nini mpaka itokee mwilini kama tukio Halisi duniani
 
Je, unawezaje kuzitumia nguvu za Roho wa Mungu ,Ili mtu ustawi maishani na Kupata utajiri WA pesa na Mali, n.k
 
Hivi Kuna Universe ngapi,

Je, Kuna Universe ambazo hazifahamiki mpaka leo
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
 
Nafikiri tumuache kwanza asimulie kile alichokusudia ili tusimtoe kwenye lengo.
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
Anamaanisha,

Mungu WA jamii ya wote waliokubali kupokea kazi ya yesu kristo iletayo wokovu,
Hio ndio jamii iliyopokea wokovu na jamii hio huitwa walokole ,


Ambao wanapatikanika madhehebu yote ,kama alivyosema mwandishi,
 
Mwandishi,

Hivi
Kirohoni Kuna anae tuombea ,au hakuna,au mtu akibadilika na kuanza kunena Kwa lugha anabadilika kuwa moto,

Je,maria aliye mzaa yesu duniani,huko Rohoni uliwai kumuona akiwaombea ,watu, au ni mwombezi wa watu ?,

Na

Je, kunyoa,kusuka,kuvaa mawigi,Rasta, lipustiki,viatu mchuchumio ,kinywa pombe,sigara , nguo mlekezo na WAVAA VIMINI SKETI WAKINENA KWA LUGHA AU KUOMBA JE WANASIKIWA NA MALAIKA HUJA KWAO,

JE, WENYE MAWIGI ,ILE NDIMU YA MOTO KWENYE VICHWA VYAO IPO, NA INAKAA JUU YA MAWIGI YAO NA KUSUKA KWAO AU RASTA ZAO JUU NDIO NDIMI INAKUBALI KUKAA JUU YAO,

NA WALE WAVAA VIMINI ,VIPI MOTO HUWAFULIKA NA WANALINDWA NA KUVAA KWAO VIMINI NA MILEGEZO,
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
Mungu amewaumba watu wote ila sio Mungu anayetumikiwa na wote.

Mungu wa walokole ndo Mungu wa Utakatifu wa hali ya juu na anaabudiwa na walokole tu, hakuna dini nyingine inayomuabudu Mungu kama huyo.

Mungu wa Walokole ni wa tofauti na miungu mingine, kila dini Ina mungu wake, na hawafanani kabisa. Kama huishi maisha ya Utakatifu na kumuamini Bwana Yesu, basi humtumikii Mungu wa walokole, eidha unamtumikia mungu mwingine eidha kwa kujua ama kutojua.
 
Aisee unahitaji maombi ili uelewe kabisa
 
Aisee unahitaji maombi ili uelewe kabisa
Mbona imeandikwa kwenye Maandiko Matakatifu?
Imeandikwa
Wagalatia 5:18-21
[18]Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
But if ye be led of the Spirit, ye are not under the law.
[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
Now the works of the flesh are manifest, which are these; Adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
[20]ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Idolatry, witchcraft, hatred, variance, emulations, wrath, strife, seditions, heresies,
[21]husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which I tell you before, as I have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of God.


Na tena.
Warumi 8:9,14
[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.
[14]Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
For as many as are led by the Spirit of God, they are the sons of God.

Hayo yameandikwa. Kama mtu hana Roho Mtakatifu na kuishi maisha matakatifu, basi sio wa Mungu.

Imeandikwa tena.
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
 
Kama walokole wamebarikiwa kuliko mafreemasn ,Kwa Nini sio matajiri na

Hawana vitu vikubwa walivyo vumbua kwenye sayansi na Technolojia duniani
Utajiri maana yake ni utoshelevu hali ya kutokupungukiwa na chochote, kama chakula, afya, na mahitaji yote muhimu.
Ndio tafsiri halisi ya utajiri
 
Unajua unatakiwa muda wakuelekezwa hakuna Mungu wa walokole ila kuna mungu wawatu
 


Warumi 5, ndio iliyo mchanganya,
.
 
Unajua unatakiwa muda wakuelekezwa hakuna Mungu wa walokole ila kuna mungu wawatu
Mungu wa watu yukoje?
Elezea kwa Maandiko matakatifu ndo tutaelewana.

Sio kwa maneno matupu.
MUNGU aliyeumba mbingu na nchi, Mtakatifu wa Watakatifu haabudiwi na kila mtu. Ndo maana alijiita " Mungu wa Israeli" mara nyingi katika agano la Kale na wakati pale Middle east kulikuweko na Wafilisti, Wayebusi, Wagibeon, Waamaleki, Waamori, Wamoabu , Waamoni. Unajua kwanini hakujiita "Mungu wa Wafilisti "? Je Wafilisti sio watu? Ni kwasababu walikataa kumuabudu wakaamua kumuabudu Dagon kama Mungu wao.
 
Mkuu hii ya magari ya deraya na farasi wa moto niliwahi kuona kwenye ndoto gari la farasi wa moto likitoka mashariki angani na kuelekea magharibi nilikuwa bado mtoto wa miaka kama tisa hivi lakini mpaka leo nakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…