Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hivi Ndoto ,mtu akiota zinachofanyika rohoni ni Nini mpaka huku ndotoni mtu anaota,
Mfano ,mtu anaota anaowa ,n.k
Rohoni Ina maana Gani,

Je, kama maombi yanaumba jambo rohoni litokee mwilini ,
Na je Ndoto inaumbwa na Nini mpaka itokee mwilini kama tukio Halisi duniani
 
Je, unawezaje kuzitumia nguvu za Roho wa Mungu ,Ili mtu ustawi maishani na Kupata utajiri WA pesa na Mali, n.k
 
Hivi Kuna Universe ngapi,

Je, Kuna Universe ambazo hazifahamiki mpaka leo
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
 
Hivi Ndoto ,mtu akiota zinachofanyika rohoni ni Nini mpaka huku ndotoni mtu anaota,
Mfano ,mtu anaota anaowa ,n.k
Rohoni Ina maana Gani,

Je, kama maombi yanaumba jambo rohoni litokee mwilini ,
Na je Ndoto inaumbwa na Nini mpaka itokee mwilini kama tukio Halisi duniani
Nafikiri tumuache kwanza asimulie kile alichokusudia ili tusimtoe kwenye lengo.
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
Anamaanisha,

Mungu WA jamii ya wote waliokubali kupokea kazi ya yesu kristo iletayo wokovu,
Hio ndio jamii iliyopokea wokovu na jamii hio huitwa walokole ,

Ambao wanapatikanika madhehebu yote ,kama alivyosema mwandishi,
 
Mwandishi,

Hivi
Kirohoni Kuna anae tuombea ,au hakuna,au mtu akibadilika na kuanza kunena Kwa lugha anabadilika kuwa moto,

Je,maria aliye mzaa yesu duniani,huko Rohoni uliwai kumuona akiwaombea ,watu, au ni mwombezi wa watu ?,

Na

Je, kunyoa,kusuka,kuvaa mawigi,Rasta, lipustiki,viatu mchuchumio ,kinywa pombe,sigara , nguo mlekezo na WAVAA VIMINI SKETI WAKINENA KWA LUGHA AU KUOMBA JE WANASIKIWA NA MALAIKA HUJA KWAO,

JE, WENYE MAWIGI ,ILE NDIMU YA MOTO KWENYE VICHWA VYAO IPO, NA INAKAA JUU YA MAWIGI YAO NA KUSUKA KWAO AU RASTA ZAO JUU NDIO NDIMI INAKUBALI KUKAA JUU YAO,

NA WALE WAVAA VIMINI ,VIPI MOTO HUWAFULIKA NA WANALINDWA NA KUVAA KWAO VIMINI NA MILEGEZO,
 
Hakuna Mungu wa walokole Mungu ni wawote hata sasa na nimilele umuamini tu
Mungu amewaumba watu wote ila sio Mungu anayetumikiwa na wote.

Mungu wa walokole ndo Mungu wa Utakatifu wa hali ya juu na anaabudiwa na walokole tu, hakuna dini nyingine inayomuabudu Mungu kama huyo.

Mungu wa Walokole ni wa tofauti na miungu mingine, kila dini Ina mungu wake, na hawafanani kabisa. Kama huishi maisha ya Utakatifu na kumuamini Bwana Yesu, basi humtumikii Mungu wa walokole, eidha unamtumikia mungu mwingine eidha kwa kujua ama kutojua.
 
Aisee unahitaji maombi ili uelewe kabisa
 
Mbona imeandikwa kwenye Maandiko Matakatifu?
Imeandikwa
Wagalatia 5:18-21
[18]Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
But if ye be led of the Spirit, ye are not under the law.
[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
Now the works of the flesh are manifest, which are these; Adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
[20]ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Idolatry, witchcraft, hatred, variance, emulations, wrath, strife, seditions, heresies,
[21]husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which I tell you before, as I have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of God.

Na tena.
Warumi 8:9,14
[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.
[14]Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
For as many as are led by the Spirit of God, they are the sons of God.

Hayo yameandikwa. Kama mtu hana Roho Mtakatifu na kuishi maisha matakatifu, basi sio wa Mungu.

Imeandikwa tena.
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
 
Kama walokole wamebarikiwa kuliko mafreemasn ,Kwa Nini sio matajiri na

Hawana vitu vikubwa walivyo vumbua kwenye sayansi na Technolojia duniani
Utajiri maana yake ni utoshelevu hali ya kutokupungukiwa na chochote, kama chakula, afya, na mahitaji yote muhimu.
Ndio tafsiri halisi ya utajiri
 
Mbona imeandikwa kwenye Maandiko Matakatifu?
Imeandikwa
Wagalatia 5:18-21
[18]Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
But if ye be led of the Spirit, ye are not under the law.
[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
Now the works of the flesh are manifest, which are these; Adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
[20]ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Idolatry, witchcraft, hatred, variance, emulations, wrath, strife, seditions, heresies,
[21]husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which I tell you before, as I have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of God.

Na tena.
Warumi 8:9,14
[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.
[14]Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
For as many as are led by the Spirit of God, they are the sons of God.

Hayo yameandikwa. Kama mtu hana Roho Mtakatifu na kuishi maisha matakatifu, basi sio wa Mungu.

Imeandikwa tena.
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
Unajua unatakiwa muda wakuelekezwa hakuna Mungu wa walokole ila kuna mungu wawatu
 
Warumi 5, ndio iliyo mchanganya,
.
 
Unajua unatakiwa muda wakuelekezwa hakuna Mungu wa walokole ila kuna mungu wawatu
Mungu wa watu yukoje?
Elezea kwa Maandiko matakatifu ndo tutaelewana.

Sio kwa maneno matupu.
MUNGU aliyeumba mbingu na nchi, Mtakatifu wa Watakatifu haabudiwi na kila mtu. Ndo maana alijiita " Mungu wa Israeli" mara nyingi katika agano la Kale na wakati pale Middle east kulikuweko na Wafilisti, Wayebusi, Wagibeon, Waamaleki, Waamori, Wamoabu , Waamoni. Unajua kwanini hakujiita "Mungu wa Wafilisti "? Je Wafilisti sio watu? Ni kwasababu walikataa kumuabudu wakaamua kumuabudu Dagon kama Mungu wao.
 
NAENDELEA.............!!!
Kuna nyakati baadhi ya walokole wanajihisi kuchoka na kukata tamaa kwa masahibu mbalimbali katika maisha,,na kiroho inakua hv wanapoanza kuomba kwa kulia.....
Wale watu warefu wenye mabawa wanashuka na kukaa karibu yao na kuwatazama kwa upendo huku wakiwazunguka pande zote.Lakini wakiendelea kulia zaidi basi mbingu zinafunguka na Mwana wa mmiliki anashuka mwenyewe mpaka chini kuwatazama na wakizidi kulia na yeye analia na kuwaambia NIPO HAPA USILIE ISHI KWA IMANI NIPO HAPA DAIMA.
Na hata kama wapo sehemu tofauti tofauti duniani yeye anajigawa kwa sekunde hiyo hiyo anafika kote.Hakuna kitu kinachomshusha duniani kwa haraka mwana wa mmiliki kama maombi.
Walokole hawajui ila maombi ni silaha kuu sababu chochote utakachokisema kwenye maombi basi kwenye ulimwengu wa kiroho kinatokea hivyo hivyo.
WAKISEMA WANAFUNGA BASI NJIA ZOTE ZOTE ZA ANGA ZINAFUNGWA NA WAKISEMA MOTO KWELI MOTO HUTOKEA NA WAKIIMBA ILE NYIMBO YA ROHO YA MUNGU WAO ISHUKE BASI INASHUKA KWELI NA WINGU ZIIITO LA MWANGA MKALI KULIKO JUA LINAWAFUNIKA MPAKA WAMALIZE MAOMBI.
Mungu wa walokole huwezi kumtizama kwa macho ya kawaida ila anafanana na binadamu kimuonekano ni kama mzee hivi aliyekula chumvi za miaka usoni ila sio kwa ukubwa wa kimwili,,sababu yeye ni mkubwa mno kuliko dunia LAKINI ANASEMA ALIMUUMBA MTU KWA MFANO WAKE KIMUONEKANO ILA SIO KWA SIZE.Mwana wa mmliki na yeye anafanana na binadamu kimuonekano ila na yeye ni mkubwa mno kimuonekano.Na wale watu warefu wenye mabawa wanafanana na binadamu ila ni wakubwa mno kimuonekano..
Basi walokole wakiendelea kulia na kusali anga lote linafunguka na inakua ni uwanja wa mawasiliano kati yao na mwana wa mmliki,ambae anashuka na kukaa nao huku akiwatizama ila wao hawamuoni.
CHA AJABU WATOTO WOTE WA KIBINADAMU WANAMUONA NA WANAONGEA NAE NA KUCHEKA NA ANAWABEBA KIFUANI WAKATI WAKIWA NA WAZAZI WAO AU WALEZI WAO NA HAIJALISHI NI WATOTO WA WALOKOLE AU LA....YEYE MWANA WA MMLIKI NA WALE WATU WAREFU WENYE KUAKISI MWANGA RAFIKI ZAO WAKUBWA NI WATOTO WA KIBINADAMU KUANZIA UMRI WA SIKU MOJA MPAKA MIAKA KUMI NA NNE MPAKA KUMI NA SITA.
NB: KUNA WATOTO WASIO WA KIBINADAMU PIA IKUMBUKWE
Basi walokole wanapomaliza kuomba wanakua hawaoni wala kujua kua wamezungukwa na viumbe vya kiroho vinavyowatizama ila waga wanajihisi amani sana na utulivu wa moyo.Haijalishi kanisa gani wanatokea ila walokole wote wana alama sawa,,iwe wasabato au wakatoliki au waangilikana au walutheri au wapentekoste,,kwa mwana wa mmliki wote ni kitu kimoja na anawalinda sawa sawa.
Wachawi ni wabishi sana ndio wanaoongoza kwa kuwasumbua walokole wakiamini kua walokole ni wachawi kama wao ila wamewazidi maarifa ya kiuchawi.Na ndio wanaoongoza kwa kuwadhuru walokole kimwili.
KUNA ALAMA SABA ZA WALOKOLE KIROHO ZINAONEKANA WAZIWAZI
1: TUNDA LA UPENDO ( NJIWA WA MOTO)
2: WALINZI WATU WAREFU WENYE MABAWA NA PANGA ZA MOTO
3:NDIMI ZA MOTO JUU YA VICHWA VYAO
4: NGUZO ZA MOTTO ZINAZOZUNGUKA
5: WINGU LA MANUKATO NA MOSHI MWEUPE
6:MAGARI YA DERAYA NA FARASI WA MOTO
7:UTIIFU WA MOYO ULIO WAZI KIMUONEKANO KIROHO KWA MUNGU WA WALOKOLE.
Nitaendelea....................!!!!
Mkuu hii ya magari ya deraya na farasi wa moto niliwahi kuona kwenye ndoto gari la farasi wa moto likitoka mashariki angani na kuelekea magharibi nilikuwa bado mtoto wa miaka kama tisa hivi lakini mpaka leo nakumbuka
 
Back
Top Bottom