Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hivi MTU alifanya uwasherati na akaenda kuowa ,
Na mwanamke ,kachomoa mfano mimba mbili au kazaa Watoto wa wili

Hio ndoa,vipi ,inatambulika ,kiroho, na inabaraka,

Au yule mwanamke akaolewe na yule Alie lala nae mara ya kwanza,

Na Alie zaa Watoto na mwanaume mwengine ,akiolewa na mwengine ,kiroho ikoje inakubaliwa hio
 
USIKITUMIE HICHO KITABU KAMA NJIA YA KUMJUA MUNGU WA WALOKOLE MAANA HAKIJITOSHELEZI
OMBA MUNGU AKUPE MAFUNUO YA KIROHO KWANZA
 
Hivi kwanini watu walio zaliwa Mwezi wa 3 , kinyota wanaitwa SAMAKI,

Nyota ya SAMAKI manake Nini ,
Na kwanini wao UFUNGUO wao ni kuamini,


Je hio nyota ya SAMAKI kimwili ni Mwezi wa 3 ,je kiroho hio Mwezi watatu hutokea Nini na Kwa Nini ni SAMAKI kundi Hilo tu moja
 
Ukitubu kiroho yote yanasamehewa na mwana wa mmiliki na unaanza upya.SIFA YAKE KUU NI KUSAMEHE DHAMBI
 
USIAMINI KATIKA NYOTA MAANA NI KUFURU KWA MUNGU WA WALOKOLE
HIYO NI ELIMU ILIYOLETWA NA FALLEN ANGEL'S KWENYE VITABU VYA ENOCH
 
Mbona umekitukuza ,Sana hicho kitabu Agano la kale Cha Enoch

Umekitukuza Sana,


Punguza kumtukuza andiko,

Mungu HASEMI na Watu wake Kwa Andiko,anasema NAO Kwa Neno lake,

.
Hapana sijakitukuza kitabu, bali si vyema visomwe wenye uelewa mdogo na imani na ndio mana kilitolewa kwenye biblia za kale hakikurudishwa mpaka leo, situkuzi kitabu na mtukuza na kumuabudu YESU KRISTO pekee
 
Nassupport na Andiko
Isaya 42:8 "Mimi ni Bwana, ndilo jina langu,na utukufu wangu sitampa mwingine,Wala sitawapa sanamu sifa zangu"
 
Fallen Angel's wanaingia pia misikitini na kiarabu wanaitwa Jin......
Usiwachanganye na wana wa miungu wenye mabawa.
 
KILA HERUFI KIROHO INA MAMLAKA KUTOKA KWENYE PUMZI YA MUNGU NA KILA HERUFI INA TAFSIRI YAKE..NI HATARI MNO KULIFANYIA MIZAHA HILO JINA KIROHO...NA NI WALOKOLE TU WENYE ACSESS NALO NA NI FUNGUO YA KILA KITU KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO
Isaya 22:22 inasema na ufunguo wa nyumba ya Daudi utakua begani mwake daima yeye atafunga Wala hapana atakayefungua yeye atafungua Wala hapana atakayefunga.......je ufunguo huu unaongelewa hapa ni Yesu mwenyew jina la Yesu au agano la damu ya Yesu
 
Hivi huyu Mungu WA walokole tukimuomba ,atuumbie Universe zingine huko ,Milele Katika mbingu mpya ,
Si anaweza,

Hivi si anaweza kutuumbia Billions of Universe huko Milele na Kila Moja akatupa tuwe tunafanya projects zake ,huko Milele,

HUWENDA MUNGU ANA MIPANGO MINGI YA KUFANYA NA WATU WAKE WALOKOLE HUKO MBINGU MPYA NA NCHI MPYA MAISHA MAPYA YA MILELE ROHONI,


ATATAKA KUTUDHILISHIA UKUU WAKE LIVE KWA PROJECTS ZAKE KUBWA KULIKO NA ZA KUSHANGAZA ZA HUKO MILELE NAE
 
Y.E.S.U LINA MAANA HII
1: ROHO WA MUNGU
2: PUMZI YA MUNGU
3: ULINZI WA MUNGU
4: UPENDO WA MUNGU
5:UMILELE WA MUNGU
6:MAMLAKA YA MUNGU
INATEGEMEA UNALITAJA KATIKA LUGHA GANI YA MWANADAMU ILA KIROHO ANAITWA MWANA WA MMILIKI NA NI ROHO KAMILI YA MUNGU MKUU WA WALOKOLE
 
ANAYAJUA MAWAZO YAKO NA ANAWEZA KUKUJIBU...FUNGA MACHO AFU MUULIZE KWA IMANI ATAKUJIBU NA ANAWEZA LOLOTE LILE
 
Isaya 22:22 inasema na ufunguo wa nyumba ya Daudi utakua begani mwake daima yeye atafunga Wala hapana atakayefungua yeye atafungua Wala hapana atakayefunga.......je ufunguo huu unaongelewa hapa ni Yesu mwenyew jina la Yesu au agano la damu ya Yesu
NDIO NI YESU MWENYEWE SABABU YESU NI ROHO WA MUNGU
 
Huu ndio mfano wa Milele ,Jamani tuwache Dhambi,

Miaka ya Milele mfano wake hauelezeki haupimiki ,tazama inavyoshsngaza,

LIKE KAMA NAWE HUTAKI KUIKOSA NA UNAVUTIWABNA MIAKA MINGI YA UMILELE NA MUNGU,
10000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000........

Wakati miaka ya kuishi duniani haivuki ,100
 
Upo sahii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…