Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Ok au ulokole ni nini?
Ulokole ni ufuasi wa dini ya mkuu wa walokole aliye katika mfumo wa moto ndani ya roho ya moto,mbali kabisa na dunia ya wanadamu bali ana mahusiano ya moja kwa moja na wafuasi wake mnaowaita walokole..Ambae ni mkuu wa nguvu za kani ya mfumo wa ulimwengu na pia ni mkuu wa mfumo wa kani za ulimwengu nje ya mfumo wa jua.Anaongoza wale watu warefu wenye kuakisi mwanga wa jua na ambao wana mahusiano pia ya moja kwa moja na walokole wa duniani.
 
Umemtaja Yesu ila kule kwenye ulimwengu wa roho anaitwa ""Mwana wa mmiliki"""ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na walokole wanamuita Mungu.....
Kama ni huyo ni hatari kuliko hatari ilivyo kwa wanaotaka kuingilia himaya yake.
Viumbe vyote katika uumbaji vinamwogopa sii kwa ubaya bali mamkaka iliyo kuu na takatifu.
Tofauti na mwanga wa bluu ulioutaja unaoakisiwa na jeshi lake takatifu yeye mwenyewe rangi ya nuru yake ni manjano chanikiwiti(kuharabu au zumaradi)
Ufunuo wa Yohana 4:2-3
[2]Na mara nalikuwa katika Roho; na tazama, kiti cha enzi kimewekwa mbinguni na mmoja ameketi juu ya kile kiti;
And immediately I was in the spirit: and, behold, a throne was set in heaven, and one sat on the throne.
[3]na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.
And he that sat was to look upon like a jasper and a sardine stone: and there was a rainbow round about the throne, in sight like unto an emerald.
 
Na Yesu alikuwa akimtegemea nani wakati yupo Duniani?
Kule kwenye ulimwengu wa unajimu jina "Yesu"alitajwi kwa sababu kwenye hesabu zao linatoa moto bali wanatumia jina la kiarabu "Issa""au la kiyahudi ""Emanuhel""au""Mvumilivu ""Mwana wa mmliki""au yule mtu mpole wa mashariki,inavyoonyesha jina la yesu asili yake sio kwenye lugha za kibinadamu.Kwenye ulimwengu wa unajimu inaonyesha mungu wa walokole yupo ndani ya huyo Yesu na huyo Yesu yupo ndani ya Mungu wa walokole..Huyo yesu alipokua duniani ndio wanajimu wa kiajemi waakaanza kufuatilia nyota yake maana akiishi kama binadamu wa kawaida ila nyota yake ilikua inakua hadi kufikia leo hii ndio nyota inayoangaza kuliko nyota zoote nje na ndani ya ulimwengu usionekana.Kabla ya hapo hawakumjua.Lakini ukitaka kujua kuhusu huyo Yesu wa walokole waulize wanajimu wa elimu ya nyota na anga.
 
Ungetafsiri kiswahili ingependeza sana mkuu..
 
Sikupoteza mda bali nilipomjua na kuona nguvu zake akaniambia tunaweza kua marafiki nikiwa kama wale walokole ninaowaona na ana makazi nje ya huu ulimwengu ninaweza kwenda huko na yeye.Ila akasema anapenda watu wanaomtafuta na kumdadisi kupitia utaratibu wake wa kiimani sababu yeye ni roho inayotoa pumzi za uhai,walokole wanaita uzima.
 


Muone huyo mungu anadai kwamba yeye anajua yote, okay at the same time anampa mtu majaribu wakati akijua matokeo yake nini point wakati unafahamu matokeo??? Mungu huyo utaona ni wa kutungwa unaumba watu na ukijua kabisa mtu huyu lazima aishie motoni KWA madai ya mungu wenu, kwahiyo anaumba watu kuwapeleka motoni

Mungu huyo huyo kipindi anamuumba malaika akaja kubadilika kuwa shetani alitambua hilo na mungu huyo huyo anadai anajua yote ana uwezo wote

Hakuna mungu hizo ni ngano kama za kina odin aliyeumba ulimwengu KWA Ginnungagap yaani nafasi tupu

Kutoka katika Ginnungagap, joto la Muspellheim eneo lenye moto na baridi ya Niflheim eneo lenye baridi.vilitokea na kukutana. Kutokana na mkutano huo, Buri, mtu wa kwanza akazaliwa
Kuna stori za KUWEPO KWA mungu sababu dhana ya uwepo wake inaji contradict yenyewe
 
Unadata
 
Akaacha watu wauawe na Kibwetere Uganda, kama haitoshi akaacha wauawe kule Shakahola
 
15 Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
2 Wafalme 6:15

16 Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
2 Wafalme 6:16

17 Elisha akaomba, akasema, Ee Bwana, nakusihi, mfumbue macho yake, apate kuona. Bwana akamfumbua macho yule mtumishi; naye akaona; na tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto yaliyomzunguka Elisha pande zote.
2 Wafalme 6:17
 
Ee MUNGU BABA msamehe huyo mtu fahamu zake hazifahamu kweli yako, apate kujua kweli yako ili siku moja akushuhudie. Amen
 
Ee MUNGU BABA msamehe huyo mtu fahamu zake hazifahamu kweli yako, apate kujua kweli yako ili siku moja akushuhudie. Amen

Huyo mungu baba hayupo angekuwepo asingekubali wachungaji wake kama paul dyal, hayes, raymond k chang,daniel paul harris,alfonza mcclendon, wakikutwa na makosa ya child molestation wakifanya vitendo vichafu ambavyo hata mwehu awezi kufanya
Wakinyanyasa watoto zaidi ya miaka miwili tena wakike na wakiume huyo mungu ayupo
Mungu mwenye kujua yote anakujaribu ILI iwe nini?
Stori za vijiweni
 
Sasa kama Yesu alimtegemea huyo Mungu, kwa nini na nyie mnamtegemea mtu au Mtume aliyemtegeme Mungu?
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo amempa mamlaka Yesu Mbinguni na duniani.

Pili Yesu ni tofauti na sisi, hakuwa mtu wa kawaida, alikuwa mwana wa Mungu wa Ibrahimu na Maandiko yapo wazi kabisa hata Yeye mwenyewe alijiita hivyo katika Injili ya Yohana.

Tatu, suala la kuabudu ni la mtu binafsi, ila Yesu Kristo ndio njia sahihi ya kuwasiliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Nne, Yesu alimtii Mungu huyu mpaka mwisho wa uhai wake na siku ya tatu, Mungu huyu akamfufua siku ya tatu na kumpa Mamlaka yote na kufanya jina la Yesu kuwa na nguvu katika ulimwengu wa roho na mwili likiitamkwa Kwa Imani.

Mwisho, Mungu wa Wakristo ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye Yesu alimuita "ABBA" yaani Baba. Kuhusu baadhi ya Wakristo kumuita Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahim sijui hii theory wameitoa wapi ila Maandiko yako wazi kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu Mkuu mwenye asili ya Uungu ila sio mkubwa kuliko Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
 
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo yupo na amempa mwanadamu Dunia kama makao yake.
Licha ya kwamba mwanadamu mwenyewe ameenda kinyume na maagizo yake na kumuacha afanye anavyotaka haimaanishi hatomuadhibu. Atamuadhibu sawasawa na Matendo yake katika siku ile ya mwisho na amemchagua Yesu kuwa Hakimu maana alimtii Mungu huyu akiwa na mwili wa kibinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…