Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Kwa hiyo Mama yake Yesu yaani bikira Maria aliyemzaa Yesu alikuwa anamuitaje?
(a)Mwanangu na Yesu anamuita Mama
(b) Au alikuwa anamuita Mungu, maana yake alimzaa Mungu?Naomba jibu
Yesu alimuita Mariamu "mwanamke" kwenye Maandiko matakatifu, alafu hujasoma nilichokiandika, nimeandika Yesu ni Mwana wa Mungu aliye Hai.
Mariamu alitumika kama chombo cha kumleta Mwana wa Mungu duniani, hivyo Wakristo hawapaswi kumpa heshima ya kumuabudu au hata kumtamka kwenye midomo Yao

Ukilazimisha theory ya kuwa Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambayo mimi sijawahi kuiona kwenye Maandiko matakatifu, sitakujibu.
Soma nyuzi yangu tena, Yesu alikuwa Mwana wa Mungu aliyemtumikia Mungu aliye Hai na alimuita Mungu huyu "Baba".

Kwangu Mimi Mariamu alitumika kama chombo na Maandiko matakatifu hayajawahi sema Mariamu aliendelea kuwa Bikra baada ya kumzaa Yesu maana alikuwa na mume aitwaye Yosefu. Hivyo significance yake kwenye Wokovu ni mdogo au almost negligible, Mariamu kuwa Mama yake Yesu haimaanishi anapaswa apewe heshima kuliko wanadamu wote duniani maana hiyo ni kufuru mbele za YHWH, Mungu wake Yesu na Baba yake.
 
Napata shaka kama ulimuona huyo MUNGU wa walokole...

Mbona umetumia Mnajimu? Maana Mnajimu huyo ni Mkuu wa giza...

Kumuona Mungu sio kwa kutumia mtu na nguvu za kibinadamu.

Bali ni kwa kumpokea Bwana kuwa mwokozi wa maisha yako, kuomba, kufunga, kusali...

Na hii ndio maana wapo ambao wanaenda kanisani kila siku ila hawaoni mambo ya Rohoni...

Wanajiita wakristo lakini YESU hawajui...
Unapotoka,

Ulimwengu wa Roho ni mmoja, kuingia ndo unatumia njia ya Giza au ya Nuru kupitia maombi ya waliookoka, ndoto au MAONO wazi wazi.

Ukiuingia hakuna Siri, ni wazi, ila Kuna mipaka kulingana na level Yako.

Uliwahi soma maandiko, Mfalme wa uajemi alizuia maombi ya Daniel yasifike Mbinguni?

Vita Ile ya Giza na Nuru ni HALISI na wanapambana macho wazi wanaona.

Wachawi huwaona Malaika na kujaribu kupambana na kukimbia wakizidiwa.

Dig deep.
 
Kule kwenye ulimwengu wa unajimu jina "Yesu"alitajwi kwa sababu kwenye hesabu zao linatoa moto bali wanatumia jina la kiarabu "Issa""au la kiyahudi ""Emanuhel""au""Mvumilivu ""Mwana wa mmliki""au yule mtu mpole wa mashariki,inavyoonyesha jina la yesu asili yake sio kwenye lugha za kibinadamu.Kwenye ulimwengu wa unajimu inaonyesha mungu wa walokole yupo ndani ya huyo Yesu na huyo Yesu yupo ndani ya Mungu wa walokole..Huyo yesu alipokua duniani ndio wanajimu wa kiajemi waakaanza kufuatilia nyota yake maana akiishi kama binadamu wa kawaida ila nyota yake ilikua inakua hadi kufikia leo hii ndio nyota inayoangaza kuliko nyota zoote nje na ndani ya ulimwengu usionekana.Kabla ya hapo hawakumjua.Lakini ukitaka kujua kuhusu huyo Yesu wa walokole waulize wanajimu wa elimu ya nyota na anga.
Asili ya Jina Yesu halitokani na lugha za kibinadamu, ni Kutoka juu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Yesu alimuita Mariamu "mwanamke" kwenye Maandiko matakatifu, alafu hujasoma nilichokiandika, nimeandika Yesu ni Mwana wa Mungu aliye Hai.
Mariamu alitumika kama chombo cha kumleta Mwana wa Mungu duniani, hivyo Wakristo hawapaswi kumpa heshima ya kumuabudu au hata kumtamka kwenye midomo Yao

Ukilazimisha theory ya kuwa Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambayo mimi sijawahi kuiona kwenye Maandiko matakatifu, sitakujibu.
Soma nyuzi yangu tena, Yesu alikuwa Mwana wa Mungu aliyemtumikia Mungu aliye Hai na alimuita Mungu huyu "Baba".

Kwangu Mimi Mariamu alitumika kama chombo na Maandiko matakatifu hayajawahi sema Mariamu aliendelea kuwa Bikra baada ya kumzaa Yesu maana alikuwa na mume aitwaye Yosefu. Hivyo significance yake kwenye Wokovu ni mdogo au almost negligible, Mariamu kuwa Mama yake Yesu haimaanishi anapaswa apewe heshima kuliko wanadamu wote duniani maana hiyo ni kufuru mbele za YHWH, Mungu wake Yesu na Baba yake.
Nipe sife ya Mungu?
 
Mungu hachunguziki kwa akili za kibinadamu,ila ukitaka kuwa karibu naye atakuwa karibu na wewe,ulipokosea ni kusema kuwa Mungu huyu ni wa walokole,hapo ndio umeondoa maana ya hadithi yako,kwa hiyo unataka kusema kuwa waislamu hawana Mungu...?

Alimaanisha Yesu Kristo
 
Mbona umesharogwa? Unajiona unadunda wala hudundi🤣🤣🤣! Shetani kakufunga ufahamu, umekosa maarifa ya kimungu na wala hutaki kujua! Umerogwa, hawana shida ya kukuroga maana wewe ni wa kwao tayari!
Kama si hivyon basi inawezekanapia huna wanachotaka! Wewe ni makapi!
Zaburi 14:2. Mungu alichungulia WANADAMU aone kama yupo mtu mwenye AKILI amtafutaye Mungu.

Huyo BUFA alisharogwa kitambo, ni sawa na msukule uulize unasoma la ngapi!!!
 
Muone huyo mungu anadai kwamba yeye anajua yote, okay at the same time anampa mtu majaribu wakati akijua matokeo yake nini point wakati unafahamu matokeo??? Mungu huyo utaona ni wa kutungwa unaumba watu na ukijua kabisa mtu huyu lazima aishie motoni KWA madai ya mungu wenu, kwahiyo anaumba watu kuwapeleka motoni

Mungu huyo huyo kipindi anamuumba malaika akaja kubadilika kuwa shetani alitambua hilo na mungu huyo huyo anadai anajua yote ana uwezo wote

Hakuna mungu hizo ni ngano kama za kina odin aliyeumba ulimwengu KWA Ginnungagap yaani nafasi tupu

Kutoka katika Ginnungagap, joto la Muspellheim eneo lenye moto na baridi ya Niflheim eneo lenye baridi.vilitokea na kukutana. Kutokana na mkutano huo, Buri, mtu wa kwanza akazaliwa
Kuna stori za KUWEPO KWA mungu sababu dhana ya uwepo wake inaji contradict yenyewe
Ulitaka tuumbwe maroboti kila ikifika saa Moja asubuhi tuseme " Eh Mungu tunakupenda sana"!!

Tuna uhuru wa kumchagua, na huo ndo UPENDO wa kweli, kumchagua mtu kwa utashi wako!

Mungu hajaribu mtu!

Yak 1:13 SUV

Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Aliyetilia shaka utawala wa Mungu na utii wetu na anayejaribu watu:

Mwanzo 3:1

......Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?”

Ayubu 1:12

Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, kila kitu alicho nacho kiko mikononi mwako, lakini juu ya huyo mtu mwenyewe usimguse hata kwa kidole.”
Ndipo Shetani akatoka mbele za Bwana

Ayubu 2:5-6

BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.

Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.

Luka 4:13 NEN

Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.

Anachofanya Mungu:

Isaya 48:17-18

.....“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ninayekufundisha kwa faida yako, ninayekuongoza katika njia unayotakiwa kwenda.

Laiti ungalizitii amri zangu!......

1 Wakorintho 10:13 BHN

Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

Methali 27:11 BHN

Uwe na hekima mwanangu upate kunifurahisha moyo,nami sitakosa la kumjibu yeyote anayenilaumu.

Kukataa uwepo wa Mungu ni kujitoa. ufahamu. Tena unatumia sheria za asili za Mungu, sheria zisizobadilika, sheria zinazosimama milele, sheria zipitazo ulimwengu wa mwili, yaani sheria za Mantiki!

Nafananisha na katoto kabishi kasumbufu hakataki kufuata muongozo halafu mwisho wa siku akimaliza ku poo anakuita ukasafishe!
 
Nipe sife ya Mungu?
Kasome bandiko langu, hili sitakujibu maana unaniforce kuniweka kwenye kundi Moja la Wakristo wanaoamini kuwa Yesu ndo Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wakati nilishaandika pale juu.
Au huelewi?
 
Kasome bandiko langu, hili sitakujibu maana unaniforce kuniweka kwenye kundi Moja la Wakristo wanaoamini kuwa Yesu ndo Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wakati nilishaandika pale juu.
Au huelewi?
Labda nikusaidie kujibu Sifa za Mungu
(1)hakuzaliwa wala kuzaa
(2)Haonekani,hakuna aliyewahi kumuona,ila Musa alisikia sauti yake
(3)hana mwanzo wala mwisho,yaani hawezi kufa
(4)Yeye ni wa pekee hana msaidizi katika kazi zake,na dunia aliiumba peke yake,na mwisho wa dunia atarudi na kuwa peke yake inamana hata Yesu pamoja na maraika watakufa
 
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo amempa mamlaka Yesu Mbinguni na duniani.

Pili Yesu ni tofauti na sisi, hakuwa mtu wa kawaida, alikuwa mwana wa Mungu wa Ibrahimu na Maandiko yapo wazi kabisa hata Yeye mwenyewe alijiita hivyo katika Injili ya Yohana.

Tatu, suala la kuabudu ni la mtu binafsi, ila Yesu Kristo ndio njia sahihi ya kuwasiliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Nne, Yesu alimtii Mungu huyu mpaka mwisho wa uhai wake na siku ya tatu, Mungu huyu akamfufua siku ya tatu na kumpa Mamlaka yote na kufanya jina la Yesu kuwa na nguvu katika ulimwengu wa roho na mwili likiitamkwa Kwa Imani.

Mwisho, Mungu wa Wakristo ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye Yesu alimuita "ABBA" yaani Baba. Kuhusu baadhi ya Wakristo kumuita Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahim sijui hii theory wameitoa wapi ila Maandiko yako wazi kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu Mkuu mwenye asili ya Uungu ila sio mkubwa kuliko Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Unachanganya sana Mambo,Ibrahimu ni Mtume kama mitume wengine au tuseme baba wa mitume wote,alipozaliwa baba yake alimpa jina la abrahamu,lakini Mungu akamkataza na kumuita Ibrahimu

Sasa ukianza sijui Mungu wa nani,unakosea,kila mtu atasimama peke yake kwa yake aliyoyafanya siku ya kihama,
Hata Yesu naye atahukumiwa kwa yale aliyoyaanya
 
MUNGU WA WALOKOLE ANANGUVU SANA NA WALOKOLE WENGI TANZANIA WAPO MKOANI MBEYA
 
PICHANI JINSI NGUVU YA MUNGU WA WALOKOLE ILIVYO MSAIDIA MTUMISHI WAKE
xx6lvtn6yps51.jpg
 
MLOKOLE PICHANI AKISHUSHA MOTO KWA JINA LA YESU (Ukimuona Kama Amechoka Oooh Ngoja Niseme Na Mtu Mmoja jioni ya leo mlokole hajawahi kuchoka kwa sababu Mungu Wa Walokole Ni MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO )
%2B255%20746%20204%20810%2020230618_140558.jpg
 
Labda nikusaidie kujibu Sifa za Mungu
(1)hakuzaliwa wala kuzaa
(2)Haonekani,hakuna aliyewahi kumuona,ila Musa alisikia sauti yake
(3)hana mwanzo wala mwisho,yaani hawezi kufa
(4)Yeye ni wa pekee hana msaidizi katika kazi zake,na dunia aliiumba peke yake,na mwisho wa dunia atarudi na kuwa peke yake inamana hata Yesu pamoja na maraika watakufa
Huyu ni mungu wa kiisilamu allah.
Usisahau kuwa kuna miungu mingi hata shetani huitwa mungu wa dunia hii.
Mungu ni sifa ya "cha kuabudiwa" chochote mtu anachokiabudu hicho ni mungu kwake.
Mungu ni jina la sifa lakini ili kumtofautisha ni miungu mingine hutumia jina lake la utambulisho.
Ndio maana Musa alipokuwa akitumwa Misri alimuimba Mungu aliyekuwa akimtuma ampe jina la utambulisho ili apate kuwaambia wamisri jina la aliyemtuma.
Nimesema chochote kinachoabudiwa ni mungu kwa anaekiabudu lakini yupo Mungu wa kweli astahiliye ibaada kwa haki na uumbaji wote kwa kuwa ndiye aliye umba vyote hata hiyo miungu watu wasiufahamu wanayo iabudu.
Lazima maandiko yamshuhudie huyo huyo.

Ufunuo 5:5-14
Hapa utakuta ni nani aliye katika kile kiti cha Enzi kilicho katikati ya wenye uhai 4 na katikati ya hao wazee 24
Wakimfanyia ibaada huyu na uumbaji wote pia wa viumbe wa mbinguni na duniani.
Wakiisha kuzitupa sifa, shukrani na enzi kwake huyo aliye katika kiti cha enzi wale wenye uhai wanne nao wanasujudu.
SII MWINGINE HUYU HAPO KATIKA KITI CHA ENZI ILA MWANAKONDOO(Simba wa kabila la Yuda)[emoji123]

Duniani endeleeni kushindana juu ya mungu ni nani lakini mbinguni ibaada inapigwa kwa mwana kondoo kwa kwenda mbele.
 
Ulitaka tuumbwe maroboti kila ikifika saa Moja asubuhi tuseme " Eh Mungu tunakupenda sana"!!

Tuna uhuru wa kumchagua, na huo ndo UPENDO wa kweli, kumchagua mtu kwa utashi wako!

Mungu hajaribu mtu!

Yak 1:13 SUV

Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Aliyetilia shaka utawala wa Mungu na utii wetu na anayejaribu watu:

Mwanzo 3:1

......Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?”

Ayubu 1:12

Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, kila kitu alicho nacho kiko mikononi mwako, lakini juu ya huyo mtu mwenyewe usimguse hata kwa kidole.”
Ndipo Shetani akatoka mbele za Bwana

Ayubu 2:5-6

BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.

Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.

Luka 4:13 NEN

Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.

Anachofanya Mungu:

Isaya 48:17-18

.....“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ninayekufundisha kwa faida yako, ninayekuongoza katika njia unayotakiwa kwenda.

Laiti ungalizitii amri zangu!......

1 Wakorintho 10:13 BHN

Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

Methali 27:11 BHN

Uwe na hekima mwanangu upate kunifurahisha moyo,nami sitakosa la kumjibu yeyote anayenilaumu.

Kukataa uwepo wa Mungu ni kujitoa. ufahamu. Tena unatumia sheria za asili za Mungu, sheria zisizobadilika, sheria zinazosimama milele, sheria zipitazo ulimwengu wa mwili, yaani sheria za Mantiki!

Nafananisha na katoto kabishi kasumbufu hakataki kufuata muongozo halafu mwisho wa siku akimaliza ku poo anakuita ukasafishe!

Huna uhuru wakati kuna mungu unayemdai mwenye kujua yote kabla ya kukuumba na anafahamu hatima yako.

Umequote vifungu vya kitabu cha stori kama za kina ngwose.
Eti una utashi na uhuru wa kumchagua halafu BADO unakubaliana kwamba alipokuumba alifahamu mpaka mwisho wako
Una tofauti na mjinga.
 
Back
Top Bottom