Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Amina, karibu kwa YESUNaokoka leo,Nakua Mlokole,sitaki kunyanyaswa na Wachawi hapa Duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina, karibu kwa YESUNaokoka leo,Nakua Mlokole,sitaki kunyanyaswa na Wachawi hapa Duniani
Yesu alimuita Mariamu "mwanamke" kwenye Maandiko matakatifu, alafu hujasoma nilichokiandika, nimeandika Yesu ni Mwana wa Mungu aliye Hai.Kwa hiyo Mama yake Yesu yaani bikira Maria aliyemzaa Yesu alikuwa anamuitaje?
(a)Mwanangu na Yesu anamuita Mama
(b) Au alikuwa anamuita Mungu, maana yake alimzaa Mungu?Naomba jibu
Unapotoka,Napata shaka kama ulimuona huyo MUNGU wa walokole...
Mbona umetumia Mnajimu? Maana Mnajimu huyo ni Mkuu wa giza...
Kumuona Mungu sio kwa kutumia mtu na nguvu za kibinadamu.
Bali ni kwa kumpokea Bwana kuwa mwokozi wa maisha yako, kuomba, kufunga, kusali...
Na hii ndio maana wapo ambao wanaenda kanisani kila siku ila hawaoni mambo ya Rohoni...
Wanajiita wakristo lakini YESU hawajui...
Asili ya Jina Yesu halitokani na lugha za kibinadamu, ni Kutoka juu.Kule kwenye ulimwengu wa unajimu jina "Yesu"alitajwi kwa sababu kwenye hesabu zao linatoa moto bali wanatumia jina la kiarabu "Issa""au la kiyahudi ""Emanuhel""au""Mvumilivu ""Mwana wa mmliki""au yule mtu mpole wa mashariki,inavyoonyesha jina la yesu asili yake sio kwenye lugha za kibinadamu.Kwenye ulimwengu wa unajimu inaonyesha mungu wa walokole yupo ndani ya huyo Yesu na huyo Yesu yupo ndani ya Mungu wa walokole..Huyo yesu alipokua duniani ndio wanajimu wa kiajemi waakaanza kufuatilia nyota yake maana akiishi kama binadamu wa kawaida ila nyota yake ilikua inakua hadi kufikia leo hii ndio nyota inayoangaza kuliko nyota zoote nje na ndani ya ulimwengu usionekana.Kabla ya hapo hawakumjua.Lakini ukitaka kujua kuhusu huyo Yesu wa walokole waulize wanajimu wa elimu ya nyota na anga.
Nipe sife ya Mungu?Yesu alimuita Mariamu "mwanamke" kwenye Maandiko matakatifu, alafu hujasoma nilichokiandika, nimeandika Yesu ni Mwana wa Mungu aliye Hai.
Mariamu alitumika kama chombo cha kumleta Mwana wa Mungu duniani, hivyo Wakristo hawapaswi kumpa heshima ya kumuabudu au hata kumtamka kwenye midomo Yao
Ukilazimisha theory ya kuwa Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambayo mimi sijawahi kuiona kwenye Maandiko matakatifu, sitakujibu.
Soma nyuzi yangu tena, Yesu alikuwa Mwana wa Mungu aliyemtumikia Mungu aliye Hai na alimuita Mungu huyu "Baba".
Kwangu Mimi Mariamu alitumika kama chombo na Maandiko matakatifu hayajawahi sema Mariamu aliendelea kuwa Bikra baada ya kumzaa Yesu maana alikuwa na mume aitwaye Yosefu. Hivyo significance yake kwenye Wokovu ni mdogo au almost negligible, Mariamu kuwa Mama yake Yesu haimaanishi anapaswa apewe heshima kuliko wanadamu wote duniani maana hiyo ni kufuru mbele za YHWH, Mungu wake Yesu na Baba yake.
Mungu hachunguziki kwa akili za kibinadamu,ila ukitaka kuwa karibu naye atakuwa karibu na wewe,ulipokosea ni kusema kuwa Mungu huyu ni wa walokole,hapo ndio umeondoa maana ya hadithi yako,kwa hiyo unataka kusema kuwa waislamu hawana Mungu...?
Zaburi 14:2. Mungu alichungulia WANADAMU aone kama yupo mtu mwenye AKILI amtafutaye Mungu.Mbona umesharogwa? Unajiona unadunda wala hudundi🤣🤣🤣! Shetani kakufunga ufahamu, umekosa maarifa ya kimungu na wala hutaki kujua! Umerogwa, hawana shida ya kukuroga maana wewe ni wa kwao tayari!
Kama si hivyon basi inawezekanapia huna wanachotaka! Wewe ni makapi!
Ulitaka tuumbwe maroboti kila ikifika saa Moja asubuhi tuseme " Eh Mungu tunakupenda sana"!!Muone huyo mungu anadai kwamba yeye anajua yote, okay at the same time anampa mtu majaribu wakati akijua matokeo yake nini point wakati unafahamu matokeo??? Mungu huyo utaona ni wa kutungwa unaumba watu na ukijua kabisa mtu huyu lazima aishie motoni KWA madai ya mungu wenu, kwahiyo anaumba watu kuwapeleka motoni
Mungu huyo huyo kipindi anamuumba malaika akaja kubadilika kuwa shetani alitambua hilo na mungu huyo huyo anadai anajua yote ana uwezo wote
Hakuna mungu hizo ni ngano kama za kina odin aliyeumba ulimwengu KWA Ginnungagap yaani nafasi tupu
Kutoka katika Ginnungagap, joto la Muspellheim eneo lenye moto na baridi ya Niflheim eneo lenye baridi.vilitokea na kukutana. Kutokana na mkutano huo, Buri, mtu wa kwanza akazaliwa
Kuna stori za KUWEPO KWA mungu sababu dhana ya uwepo wake inaji contradict yenyewe
Kasome bandiko langu, hili sitakujibu maana unaniforce kuniweka kwenye kundi Moja la Wakristo wanaoamini kuwa Yesu ndo Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wakati nilishaandika pale juu.Nipe sife ya Mungu?
Labda nikusaidie kujibu Sifa za MunguKasome bandiko langu, hili sitakujibu maana unaniforce kuniweka kwenye kundi Moja la Wakristo wanaoamini kuwa Yesu ndo Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wakati nilishaandika pale juu.
Au huelewi?
Unachanganya sana Mambo,Ibrahimu ni Mtume kama mitume wengine au tuseme baba wa mitume wote,alipozaliwa baba yake alimpa jina la abrahamu,lakini Mungu akamkataza na kumuita IbrahimuMungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo amempa mamlaka Yesu Mbinguni na duniani.
Pili Yesu ni tofauti na sisi, hakuwa mtu wa kawaida, alikuwa mwana wa Mungu wa Ibrahimu na Maandiko yapo wazi kabisa hata Yeye mwenyewe alijiita hivyo katika Injili ya Yohana.
Tatu, suala la kuabudu ni la mtu binafsi, ila Yesu Kristo ndio njia sahihi ya kuwasiliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Nne, Yesu alimtii Mungu huyu mpaka mwisho wa uhai wake na siku ya tatu, Mungu huyu akamfufua siku ya tatu na kumpa Mamlaka yote na kufanya jina la Yesu kuwa na nguvu katika ulimwengu wa roho na mwili likiitamkwa Kwa Imani.
Mwisho, Mungu wa Wakristo ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye Yesu alimuita "ABBA" yaani Baba. Kuhusu baadhi ya Wakristo kumuita Yesu ni Mungu yuleyule wa Ibrahim sijui hii theory wameitoa wapi ila Maandiko yako wazi kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu Mkuu mwenye asili ya Uungu ila sio mkubwa kuliko Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Walokole watu hatari sana kiroho kuliko nyukilia...Kaa nao mbali kabisa kama una nia mbaya nao.Wakimlilia mungu wao ni moto tu wa mabomu kama volcanoKumbe,Naokoka leo,nakua Mlokole!..sitaki kuonewa hapa Duniani
Yale sio makelele ni lugha ya nje ya mfumo wa kawaida wa kuelewa binadamuNi kiziwi haelewi bila makelele.
Huyu ni mungu wa kiisilamu allah.Labda nikusaidie kujibu Sifa za Mungu
(1)hakuzaliwa wala kuzaa
(2)Haonekani,hakuna aliyewahi kumuona,ila Musa alisikia sauti yake
(3)hana mwanzo wala mwisho,yaani hawezi kufa
(4)Yeye ni wa pekee hana msaidizi katika kazi zake,na dunia aliiumba peke yake,na mwisho wa dunia atarudi na kuwa peke yake inamana hata Yesu pamoja na maraika watakufa
Ulitaka tuumbwe maroboti kila ikifika saa Moja asubuhi tuseme " Eh Mungu tunakupenda sana"!!
Tuna uhuru wa kumchagua, na huo ndo UPENDO wa kweli, kumchagua mtu kwa utashi wako!
Mungu hajaribu mtu!
Yak 1:13 SUV
Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Aliyetilia shaka utawala wa Mungu na utii wetu na anayejaribu watu:
Mwanzo 3:1
......Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?”
Ayubu 1:12
Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, kila kitu alicho nacho kiko mikononi mwako, lakini juu ya huyo mtu mwenyewe usimguse hata kwa kidole.”
Ndipo Shetani akatoka mbele za Bwana
Ayubu 2:5-6
BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.
Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.
Luka 4:13 NEN
Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.
Anachofanya Mungu:
Isaya 48:17-18
.....“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ninayekufundisha kwa faida yako, ninayekuongoza katika njia unayotakiwa kwenda.
Laiti ungalizitii amri zangu!......
1 Wakorintho 10:13 BHN
Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.
Methali 27:11 BHN
Uwe na hekima mwanangu upate kunifurahisha moyo,nami sitakosa la kumjibu yeyote anayenilaumu.
Kukataa uwepo wa Mungu ni kujitoa. ufahamu. Tena unatumia sheria za asili za Mungu, sheria zisizobadilika, sheria zinazosimama milele, sheria zipitazo ulimwengu wa mwili, yaani sheria za Mantiki!
Nafananisha na katoto kabishi kasumbufu hakataki kufuata muongozo halafu mwisho wa siku akimaliza ku poo anakuita ukasafishe!