Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

HALI INAYOCHANGIA UWE NA NGUVU ZA MUNGU

1 Wathesalonike 5:17,19,21

[17]ombeni bila kukoma;
[19]Msimzimishe Roho;
[21]jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema;

Unahitaji kuhakikisha kiroho na kimwili unakuwa na nyuvu za Mungu (moto wa Mungu)
Ushindi wako utapatikana kutokana na kiwango kile ulicho nacho rohoni cha NGUVU ZA MUNGU.

NA HAYA YANATAKIWA KUZINGATIWA KWAKO

[emoji2389] NENO LA MUNGU.....hakikisha unalo neno la Mungu la kutosha ndani yako....kumbuka neno lilikuwako tangia mwanzo na ndiye mwanzo....na huo MWANZO ndiko kuna chimbuko(MUNGU) la Mwanadamu
ambalo sasa hili sisi tuweze kuwa mahala hapo tunahitaji kuwa na NENO LA MUNGU
Yohana 1:1-12

[emoji2390] MAOMBI....Omba kila wakati ulio nao
Andaa mazingira mazuri yanayokuruhusu kuomba na sio kwa mizaa au mazoea. Hakikisha hakuna kinachokufunga au kukuzuia kuomba.
Maombi ni silaha lakini ni mpaka pawepo ma muunganiko mzuri wa wewe na Mungu.

Usiache kuomba...omba mpaka uone....usichoke kuomba hata kama huoni kupenya usichoke kuomba
OMBA BILA KUKOMA

[emoji2391] JITENGE NA KILA LILILO BAYA
Dhambi inakuondolea utukufu na kibali cha kuwa na Mungu. Dhambi inaondoa nguvu za Mungu maana kama Mungu hatokuwepo kwako basi nguvu zake hautokuwa nazo.....mkimbie shetani na uyakatae mambo yake yote.

[emoji2392] USIMZIME ROHO MTAKATIFU
Tumepewa ROHO MTAKATIFU atusaidie kwa kila jambo kwahiyo kila utakalolifanya ambalo halimfanyi Roho Mtakatifu awepo kwako basi unayaondoa mapenzi ya Mungu juu yako.

MFANYE ROHO KUWA RAFIKI YAKO ILI UWEZE KUSAIDIKA KWA KILA JAMBO LAKO LOLOTE.

VYOTE HIVYO VINALETA NGUVU ZA MUNGU.
NA MUNGU WA AKUBARIKI SANA KTK JINA LA YESU KRISTO.
 
Amen,

Napokea Baraka hizo,

Na wewe Mungu akukumbuke, na UBARIKIWE pia
 
KUNA TAFITI NAZIMALIZIA NDIO MAANA NIPO KIMYA.
ZIKIKAMILIKA NITAWALETEA SIMULIZI NDUGU ZANGU.
NB: MNIWIE RADHI KWA KUWACHELEWESHEA.

Mbona ulishasema ,ulisha maliza utafiti,

Utafiti upi Tena uwo ,mpya WA Katikati ya Uzi,

Maana ulisema Toka 1997-2019, umehitimisha utafiti wako,

Na, ni jambo Gani ambalo mpaka Leo ,Bado hujapatia majibu yake kuhusu Mungu WA walokole,

NB;
KAMA ULISHA OKOKA, USITUMIE NJIA ILE ,YA ZAMANI,KUMCHUNGUZA MUNGU,KWA KUITAJI MPAKA UWONE, ITAKUPUNGUZIA VITU VINGI,

HIVYO ,UKITUMIA NJIA YA MPAKA KUONA, KADRI UNAVYOONA

UNAPUNGUA KUWA WA HERI, KILA UNAVYO ZIDI KUTAKA KIONA VYOTE KWA NJIA YA MACHO NDIO UNAPUNGUA KUTOKA KWENYE KUNDI LA HERI KWENDA KUNDI LISILO LA HERI,

INAMAANA ULIPOSEMAGA UTAENDELEA KUMCHUNGUZA DAIMA KWA NJIA YA KUONA NA SIO IMANI BASI NI SAWA UNAJITOWA KWENYE KUNDI LA HERI KWENDA KUNDI LISILO LA HERI, NI SAWA UNATOKA POSITIVE KURUDI NEGATIVE,
MAANA UMEKUBARi KUSHUHUDIA KWA MACHO, NA HIO NDIO TUZO YA KIROHO ,KWA WANAO SHUHUDIA KWA MACHO SIO WENYE HERI ,ILA WASIO SHUHUDIA NDIO WENYE HERI,
TUBU ANZA KUISHI KWA IMANI,

NA , CHENGINE , UTAKOSA UTUKUFU UKIBAHATIKA KUINGIA MBINGUNI,

MAANA UMEINGIA LAKINI SIO KUNDI LA WALIO NA HERI ,

YESU ANAMWAMBIA TOMASO ,WANAHERI WASIO ONA,

KARIBU ,KWENYE KUNDI LA WANA WA IMANI,TUISHI KIIMANI ,

Ukipambana Kwa stairi ya kizamani utajitowa kwenye mstari.na atakuweka KUNDI LA wasio HERI, ambao hai hawakuwai na Imani , na Imani ndio DNA ya Watoto wa Mungu.
 
ISIKIE NA ITAMBUE SAUTI YA MUNGU

1 Samweli 3:7-10

[7]Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
[8]BWANA akamwita Samweli mara ya tatu. Naye akaondoka akamwendea Eli, akasema, Mimi hapa; kwa maana uliniita. Ndipo Eli akatambua ya kuwa BWANA ndiye aliyemwita yule mtoto.
[9]Kwa hivyo Eli akamwambia Samweli, Enenda, kalale; itakuwa, akikuita, utasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia. Basi Samweli akaenda akalala mahali pake.
[10]BWANA akaja, akasimama, akaita vile vile kama kwanza, Samweli! Samweli! Ndipo Samweli akasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia.

Uhakika wa kujua hii ni sauti ya Mungu au sio
Inakuhitaji kwanza kujua mahusiano yako na Mungu yakoje.....hii itakusaidia sana kumjua Mungu anavyozungumza

Kwenye mahusiano hapa ndo tunakuta
Kwenda vizuri na Mungu
Kuyatimiza mapenzi yake kila wakati
Kuwa na neno la Mungu la kutosha
Kuomba sana
Kwenda vema kwenye muda wa Mungu

Haya yote yanakuweka karibu na ROHO MTAKATIFU ambaye anashiriki vizuri kwenye kuleta taarifa(mazumguzo kati ya Roho wa Mungu na Roho yako)

Kwa hayo yote yatakufanya kujua Mungu anapoongea na utasikia vema.

Na hizi ndo sauti tunazozisikia

Sauti za watu
Sauti za mazingira
Sauti za mawazo
Sauti za shetani
Sauti ya Mungu
 
Kuota umelala usiku alafu unaona MTU anakuchungulia dirishani mara ukaanza kuhisi negative energy ukawa unakemea..... sometimes unaota watu wa ajabu wanakuja dirishani ulipolala wanachungulia alafu wanaondpka.... sometimes unaota MTU anaingiza kitu dirishani,.,....naomben tafsir dirisha kwenye ulimwengu wa roho linaashiria nn Na hizo ndoto hapo zinaashiria nn
 
Neno la Mungu , ndio nguvu ya Ushindi ndotoni ,Siku zote,
Neno ni nafsi ya Mungu ikikutawala ,itakuwa nguvu ya ushindi ndotoni,

Yenyewe ndio itaamuwa Hio nafsi ya Mungu iwafanye Nini ndotoni,ndani ya nafsi Yako,kupitia nafsi Yako,
 
Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali.

Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani yenye kuchanganya kidogo sababu inajumuisha imani za dini za wanadamu na imani za dini zisizo za wanadamu. Pia inajumuisha watu ambao wanaitwa bin-adamu na inajumuisha watu wale wengine ambao hawana undugu na hawa watu wanaoitwa bin-adam.Nielezee kidogo hao watu wengine,nimewaita watu sababu wana maumbo kama binadamu ila vimo vyao vipo tofauti na wapo katika jamii mbili tofauti.

Kuna ile jamii ya wanaokaa angani ambapo bila ruhusa yao huwezi kuwafikia,na kuna ile jamii ambayo hata bila ruhusa yao unaweza kuwafikia na wanakaa chini ya bahari au mito au maziwa makubwa(Lakes).Ngoja nifafanue kidogo jamii za hawa watu.

Jamii ya watu wa angani inashuka sana duniani na sijui waga wanakuja kufanya nini ila mara nyingi wanajishugulisha na wale binadamu mnaowaita walokole,na ili uzungumze nao inategemea umekutana nao katika hali gani kwenye ulimwengu usio wazi kwa macho ya kawaida,kiasili sio waongeaji sana ila sura zao zinaakisi mwanga kwa namna ya tofauti na unaweza kujiuliza wanavaa mavazi gani, kwa mavazi wanavaa hizi nguo mnaita kanzu ila ni bwanga afu ndefu mpaka miguuni na ni nyeupe.

Jamii ile nyingine ya watu wasio na asili na binadamu ila wamefanana na binadamu kimuonekano lakini wana vimo vikubwa ni ile inayokaa chini ya bahari,maziwa(Lakes) na mito.Hii jamii wao ni wazungumzaji sana afu miili yao haiakisi mwanga na wanakuja sana duniani na unaweza kuwaona bila ridhaa yao kwa kufuata utaratibu wanaokupa wafuasi wao au wanajimu wa nyota mbao ni binadamu wa kawaida,na mavazi yao ni kanzu pia ila za rangi mbalimbali zaidi ya nyeupe.Na watu wanaojishugulisha nao sana ni wale watu ambao nyinyi binadamu mnawaita wanajimu na washirikina au wachawi ila inategemea ushirikina na uchawi wa wapi maana dunia ni kubwa kutoka bara moja mpaka lingine na ushirikina au uchawi unatofautiana.

Binadamu kuna vitu huwezi kuviona mpaka either uwe mshirika wa jamii mojawapo kati ya jamii hizo mbili nilizokutajia hapo juu.Lengo langu leo ni kuzungumzia mkuu wa jamii ile ya wale watu wa angani ambao wanapenda kushirikiana na walokole au watu wa kulia lia,maana huyo mkuu ana vitu vya tofauti kidogo ndio maana nikasema pale juu kua "Mungu wa walokole ana nguvu sana".

Katika utafiti wangu ndani ya ulimwengu usio,onekana inaonyesha kua walokole wanapendelewa sana na huyo mkuu wao,maana kuna vitu anawapa vya ziada wao hawavitumii sijui kwanini niligundua hilo huko mbele katika utafiti wangu.Nimemuita Mkuu au Mungu wa walokole sababu kila walokole wanapoanza kulialia""Kusali""wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wengine wana mabawa na wengine hawana wakitokea kwa mkuu wa walokole ama nilivyokuja kujua baadae huko huko angani wanawajia na wanawazunguka hawaondoki na lile eneo husika linakua na mwanga unaweza kupofusha macho (Ni kama mwanga wa jua au radi au shoti za umeme zile cheche) ila walokole waga hawawaoni nadhani waga wanalia(Kusali) kwa imani zaidi namaanisha meditation.

Nilisema hapo juu kua mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana nguvu sana maana wale walokole baada ya kulia kwa mkuu wao huwezi kuwasogelea katika hali ya nje ya ubinadamu au katika hali ya ushirika na jamii nyingine za kiroho zaidi ya mkuu wao na wale watu wa kuakisi mwanga.Kila mlokole anakua na yule mtu wa kuakisi mwanga na yule mtu haongei ila macho yake ni ishara tosha kua usimsogelee mlokole aliyenae.Cha ajabu wengi ya walokole hao katika hali ya ubinadamu wa kawaida hawana habari yoyote ile unawakuta sokoni au kwenye daladala au barabarani au ofisini au kwenye nyumba zao za ibada.

Sasa ikabidi nifanye uchunguzi juu ya huyo mkuu (Mungu) wa walokole,yupoje na ni nani, wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wanaishi nae vipi maana wana ushirika nae.Sababu ukitoka nje ya mwili kupitia(meditation) huwezi kuwasogelea hawa watu wa jamii ya kuakisi mwanga au hao walokole.Nikajikuta napata hamu ya kuchunguza mambo ya ulimwengu usionekana na hasa jamii za wale watu warefu wa angani na walokole hasa wale wa kulialia sisi binadamu tunaita kusali ila wao walokole wanaita kunena kwa lugha,na ni lugha ambayo inawafanya wawasiliane na wale watu warefu wa kuakisi mwanga.

Udadisi wangu ulijikita katika mambo makuu matano(5)
Mosi: Kwanini walokole wana uhusiano na wale watu wa kuakisi mwanga wanaotokea kule juu kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili na kusafiri nje ya mzunguko wa sayari za kawaida kwa maelekezo ya wanajimu wa nyota?

Pili: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na sio ile jamii ya chini ya bahari?

Tatu: Kwanini katika jamii za nje ya mwanadamu au mtu, hasa ile jamii ya watu wa kuakisi mwanga ina nguvu sana kuliko jamii za wale watu wanaokaa chini ya bahari na wasioakisi mwanga wa jua na mwezi?

Nne: Mkuu wa walokole kwanini yeye na wale watu wa kuakisi mwanga,hawana ukaribu na Mkuu wa wale watu wa jamii inayokaa baharini na chini ya maziwa na mito(Maana nayo ina mkuu wake) na hataki wafuasi wake wa dini yake wawe na ukaribu na walokole kwa namna yoyote ile?

Tano: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao pamoja na nguvu zoote ila hawapi utajiri wa kibinadamu hao walokole ila ukitoka nje ya mwili hawa walokole wana nguvu sana mpaka uñashindwa kuwaelezea labda uone kwa macho.Tofauti na mkuu wa ile jamii nyingine ambayo karibia robo ya wafuasi wake wana access ya kupata mali za dunia hii tunayoishi binadamu wote.

Basi nikajikuta naanza utafiti kufuatilia nguvu za mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao.Ni nani na yupoje na anaishi wapi..Utafiti wangu ukanipelekea kuja na kichwa cha habari hapo juu kua Mungu wa walokole ana nguvu sana maana nilishuhudia mengi kumuhusu huyu Mungu wa hawa watu wa kulialia mnawaitaga walokole.

Safari yangu ya utafiti ilinikutanisha na wazee wa kibantu,wanajimu,viongozi wa dini za wanadamu zinazoonekana na zisizoonekana na watu wa jamii zile za nje ya ulimwengu wa mwanadamu.

ITAENDELEA
Hakika Kila goti litapigwa mbele za Bwana Yesu Namshukuru Mungu wangu Huyu aliyeziumba mbingu na nchi Mungu mwenye nguvu Bwana wa Majeshi hakika hakuna kama yeye najivunia kukombolewa kutoka kwenye dhambi kwenda kwenye Nuru ya Yesu Kristo aliye hai damu ya Yesu inanena mema kwangu na kwa familia yangu na kwa mume wangu watoto wangu na kila kitu cha kwangu damu ya Yesu inanena mema kila sekunde Ameeeeeeeen
 
Popote pale mkuu,,walokole wanasali na kulia hata kimoyo moyo wakiwa popote pale.Wakija wale watu warefu wanakaa pembeni yao wanawaangalia kwa huruma kama wanataka wawakumbatie hivi.

Na walokole wakizidi kulia kwa kusali na wale watu warefu wanaongezeka na eneo zima linazungukwa na moto wa blue tupu.Lakini duniani walokole sio wengi hawazidi milioni kumi,,ni wachache chini ya hapo.
ni kweli ni wachache sana
 
INAENDELEA..........,......…!!!!
MUNGU WA WALOKOLE.
ANASEMA HIVI YEYE NI MUNGU ANAYEFUATIA WENYE DHAMBI ILI AWAKOMBOE NA HAKUNA JICHO LITAKALOMWONA ILA KUPITIA KWA MWANAE "NYOTA YA ASUBUHI""
HAKUNA KITU KINACHOTISHA KAMA KUMUSOGELEA HUYU MUNGU WA WALOKOLE KATIKA HSLI YA KIROHO AFU UKIWA NA DHAMBI.
KINACHOTISHA NI ILE HALI YA KUJIHISI HATIA MOYONI,MAANA NAFSI ITAKUSUTA NA UTAONA AIBU HATA KUMTAZAMA USONI AU KUTAZAMA MALAIKA ZAKE NA YEYE BINAFSI NA MALAIKA ZAKE NA MWANA WA MMLIKI WANANGAA KULIKO MWANGA WA JUA NA WANA MAUMBO MAKUBWA KULIKO KIPIMO CHA MAUMBO YA KIBINADAMU NA WANYAMA.
LAKINI SURA ZAO NA MAUMBO YAO NI KAMA WANADAMU NA NDIO MAANA WALIMUUMBA MTU KWA MFANO WAO,
WAO WENYEWE
WALOKOLE WANAPOSEMA MUNGU WAO NI RAFIKI NA NI PENDO HAWADANGANYI MAANA ULE UPENDO WA MUNGU WAO AKIKUSOGELEA UNAUHISI NDANI YAKO NA HATIA ZAKO ZINAKUSUTA.
NB: NINAPOSEMA MUNGU WA WALOKOLE NAMAANISHA MUNGU ROHO NA MWANA WA MMILIKI NA ROHO YA MUNGU IWAKAYO MOTO.HIVYO VYOTE NI KITU KIMOJA NDANI YA VITU VITATU.HUWEZI KUMTENGANISHA MUNGU WA WALOKOLE NA MWANAE NA ROHO KUU YA KWAKE ILIYO NDANI YA MWANAE NA MWANAE YUPO NDANI YA BABA YAKE.
MUNGU WA WALOKOLE ANA MACHO YA HURUMA NA HATA BILA KUMTAZAMA USONI TWASIRA YAKE WAGA INAWAJIA WALOKOLE VICHWANI MWAO WAKATI WANAOMBA.
NINAPOANDIKA HAYA SIO KWAMBA MIMI NI MKAMILIFU ILA NA MIMI NASHUHIDIA HUYU MUNGU MKUU WA WALOKOLE ALIVYO.
HII DUNIA VIPO VIUMBE VINGI ZAIDI YA WANADAMU NA VINAISHI,,,ILA VIUMBE HIVI VYOTE VINAJUA UWEPO WA MUNGU WA WALOKOLE.
MUNGU WA WALOKOLE ANASEMA HIVI
""""""""""""""NANUKUU""""""""""""""""""
MIMI NI MUNGU WA ISRAEL NA YAKOBO NA HAITATOKEA HATA SIKU MOJA NIKASHARE MAMLAKA YANGU NA MWINGINE.
ROHO YANGU IPO NDANI YA MWANANGU NA MWANANGU YUPO NDANI YANGU KABLA YA KUUMBWA ULIMWENGU.
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE?
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE?
SITOKUHUKUMU UKITUBU
SITOKUHUKUMU UKITUBU
SITOKUHUKUMU UKITUBU
""""""""MWISHO WA KUMNUKUU"""""
NA AKISEMA MANENO HAYA MBINGU NZIMA INAKAA KIMYA.
MNAWEZA MKASHANGAA KWANINI WAKATI MWINGINE NAKAAA KIMYA KWA MDA MREFU BILA KUCHANGIA CHOCHOTE HUMU.
NI KWA SABABU KUMUELEZEA MUNGU MKUU WA WALOKOLE KIROHO KUNATAWALIWA NA HOFU KUU,SABABU ANAKUA ANAKUTAZAMA USO KWA USO NA UNALIHISI HILO JAMBO MOJA KWA MOJA KWENYE UBONGO WAKO WA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA SIO JAMBO JEPESI KUMTAJA TAJA MUNGU MKUU KIUWEPESI HUKU UKIWA MWENYE DHAMBI KAMA MIMI""INAOGOFYA"""
SIJUI NITUMIE LUGHA GANI NYEPESI ILI NIELEWEKE JINSI HALI INAVYOKUA HUYU MUNGU MKUU WALOKOLE AKIKUSOGELEA AU UKIMTAJA KWA KUMAANISHA HASA KWA SISI WENYE DHAMBI TUNAOOMBA NEEMA YAKE KUU YA MILELE.
NITAJARIBU.
MOSI: UNAKUA NA UOGA WENYE AMANI.
PILI: UNAKUA NA HATIA MOYONI YA KUJIHISI HUFAI KUMTAZAMA.
TATU: UNAKUA NA FURAHA KUBWA MNO WAKATI HUO HUO.
NNE: UNAKUA NA TULIZO LA MOYO HATA KAMA HUJATUBU DHAMBI ZAKO.
LAKINI NI NEEMA TU YA MUNGU WA WALOKOLE NDIO INAKUFANYA UWEZE KUMSOGELEA.
MUNGU WA WALOKOLE NI MWANA WA MMLIKI NA NI ROHO YA MUNGU PIA.
NA KWA UTAFITI WANGU KIROHO NIMEGUNDUA KUA HUYO YESU NI ROHO YA MUNGU KATIKA UMBO LA MWANADAMU.
WATU KIMWILI WANAWEZA KUKATAA ILA MIMI KIROHO NA WATU WENGINE KIROHO WANAJUA KABISA HUYO YESU AU MWANA WA MMILIKI NI MUNGU KATIKA UMBO LA KIBINADAMU ALIYESHUKA ENZI HIZO ZA KALE.
ILIKUA USIKU MNENE NA NILIKUA NIMEJIPUMZISHA OFISINI KWANGU NIKITAFAKARI MAISHA NA VITU VINGINE
GHAFLA USINGIZI UKAKATA NA HOFU KUU YA UOGA IKANIINGIA NA NIKAHISI KWA KUONA KUA KUNA WATU WANANITAZAMA NA KUNIJADILI GIZANI NA MIMI SIWAONI ILA SIO ROHO NJEMA.
NIKAJISEMEA MOYONI HAYA MAMBO YA KUMJADILI MUNGU WA WALOKOLE HADHARANI NAONA SASA YATANIGHARIMU NA KIMOYOMOYO NIKAAMUA KUZUNGUMZA NA MUNGU WA WALOKOLE NIKATAMKA MANENO HAYA"""""""""" ""NAJINUKUUU"""""""""'
Eeeeh Mungu mkuuu
Wa walokole wateule
wako naomba unilinde
mimi mwenye dhambi
unajua nakuamini na pia
ninaamini katika mwanao
"""""""MWISHO WA KUJINUKUU""""""""""
PALE PALE NIKAPATA AMANI YA MOYO NA SAUTI ROHONI IKANIAMBIA MASIKIONI KUA MIMI NI MUNGU WA WENYE DHAMBI NA NINAWALINDA WOTE WANAOKIRI JINA LANGU NA NILIKUFA MSALABANI KWA AJILI YAO NA DAMU YANGU NI TAKASO PEKEEE.
TOKA WAKATI HUO MPAKA SASA NIKAJUA MUNGU MKUU WA WALOKOLE HANA KINYONGO NA MTU BALI ANATUHITAJI TUWAJIBIKE KWA UPANDE WETU ILI NA YEYE AWAJIBIKE KWA UPANDE WAKE KAMA MUNGU.
BASI ILE HALI YA MAUZAUZA IKATOWEKA NA AMANI IKAENDELEA ENEO LANGU LA OFISINI NILIPOKUEPO.
NB: NAZUNGUMZIA MASIKIO YA ROHONI.
SABABU KIROHO BINADAMU TUNA MWILI KAMILI USIO WA DAMU NA NYAMA.
UKITENDA MEMA MWANA WA MMLIKI (YESU) ANATABASAMU.
UKISAIDIA MASKINI KWA MOYO MKUNJUFU ANATABASAMU.
UKIOMBA KATIKA ROHO NA KWELI ANATABASAMU.
ILA UKITENDA DHAMBI UNAMUUMIZA SANA NA ANALIA MACHOZI YA DAMU.
NA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUMUUMIZA HUYU ROHO WA MUNGU MWENYE UPENDO(YESU)
ITAENDELEA....….........!!!!!!
 
ISIKIE NA ITAMBUE SAUTI YA MUNGU

1 Samweli 3:7-10

[7]Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
[8]BWANA akamwita Samweli mara ya tatu. Naye akaondoka akamwendea Eli, akasema, Mimi hapa; kwa maana uliniita. Ndipo Eli akatambua ya kuwa BWANA ndiye aliyemwita yule mtoto.
[9]Kwa hivyo Eli akamwambia Samweli, Enenda, kalale; itakuwa, akikuita, utasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia. Basi Samweli akaenda akalala mahali pake.
[10]BWANA akaja, akasimama, akaita vile vile kama kwanza, Samweli! Samweli! Ndipo Samweli akasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia.

Uhakika wa kujua hii ni sauti ya Mungu au sio
Inakuhitaji kwanza kujua mahusiano yako na Mungu yakoje.....hii itakusaidia sana kumjua Mungu anavyozungumza

Kwenye mahusiano hapa ndo tunakuta
Kwenda vizuri na Mungu
Kuyatimiza mapenzi yake kila wakati
Kuwa na neno la Mungu la kutosha
Kuomba sana
Kwenda vema kwenye muda wa Mungu

Haya yote yanakuweka karibu na ROHO MTAKATIFU ambaye anashiriki vizuri kwenye kuleta taarifa(mazumguzo kati ya Roho wa Mungu na Roho yako)

Kwa hayo yote yatakufanya kujua Mungu anapoongea na utasikia vema.

Na hizi ndo sauti tunazozisikia

Sauti za watu
Sauti za mazingira
Sauti za mawazo
Sauti za shetani
Sauti ya Mungu
Mkuu ina maana haya maelezo ninayotoa katika huu uzi nilioanzisha kumuelezea mungu mkuu wa walokole,,,inaweza kua sauti kuu ya mwana wa mmiliki kwa walengwa flani
NB:Kumbuka mm ni mtafiti tu sio mchungaji wala nabii na nina dhambi nyingi tu mpaka naona aibu kuutazama uso wa mwana wa mmiliki
 
UNAMUHITAJI YESU KRISTO ZAIDI YA CHOCHOTE

Unaposema "mimi ni Mkristo" maanake unasema MTU NDANI YA KRISTO
Hii inamaanisha kwamba YESU KRISTO yuko kwako ambavyo naweza kusema Wakristo wengi kwasasa ni tumelibeba tu hili jina lakini YESU KRISTO hayumo ndani yetu.

YESU AMESEMA YEYE NI NJIA
Yohana 14:6

[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Yaani YESU akiwa ndani yako basi iko njia kuu ndani yako ya kumuona MUNGU WETU WA MBINGUNI....na uzima wote unakuwa nao.....jiulize unamuona Mungu?
Unao uzima kweli?
Unatambulika ndani ya Yesu Kristo?
Kama majibu ni hapana basi hujamuweka Yesu Kristo ndani yako

Jina la Yesu lina nguvu maana hata kuzimu wanaliogopa sana. Shetani hana uwezo wowote juu ya jina la Yesu Kristo?

Hivi unajua kwamba Shetani alinyang'anywa funguo za kuzimu? Shetani hana uwezo wa kuwaweka watu kuzimu na kuwatunza huko ila mwanadamu ndo amesababisha shetani awe na uwezo wa kumiliki vile ambavyo sio vya kwake.

Ufunuo wa Yohana 1:17-18

[17]Nami nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,
[18]na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.

KWANINI UNATESEKA SASA?
Yesu Kristo alituondoa utumwani maanake hatupo tena utumwani. Kama upo utumwani basi unahitaji msaada leo ili uwe huru.

Unapokuwa huru maanake unaye yule anayekuweka huru ambaye alitupa nafasi kubwa ya kuishi.
Tumepewa nafasi ya kuomba lolote lakini ni mpaka tuwe ndani yake na yeye awe ndani yetu(NENO LAKE)

Yohana 15:7

[7]Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.

BASI TUNAMUHITAJI YESU KRISTO KILA SAA ILI TUWEZE KUUSHINDA HUU ULIMWENGU.

YEYE ANATOSHA HAKIKA
NA ATAKUINUA HAKIKA

MUWEKE NDANI YAKO.....SHETANI HANA UWEZO WOWOTE JUU YA WALE WAAMINIO NA KUTEMBEA NDANI NJIA ZA MUNGU NA KUZITII SHERIA ZAKE.

SIMAMA WAKATI NI HUU UKAUTANGAZE UKRISTO ULIO HAI
UKIMTAJA YESU KAMA MWANA WA MMLIKI BASI KIROHO UNAMUONA ANATABASAMU.
UKIWAOMBEA WATU ANATABASAMU.
UKIWAZA MEMA ANATABASAMU.
UKITENDA DHAMBI YOYOTE NAMUHUZUNISHA.
NA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUMUHUZUNISHA MWANA WA MMLIKI (YESU).
YUPO VERY EMOTIONAL NA MATENDO YETU HASA PALE TUNAPOMUUMIZA NAYO.
ANALIA MACHOZI YA DAMU
 
INAENDELEA..........,......…!!!!
MUNGU WA WALOKOLE.
ANASEMA HIVI YEYE NI MUNGU ANAYEFUATIA WENYE DHAMBI ILI AWAKOMBOE NA HAKUNA JICHO LITAKALOMWONA ILA KUPITIA KWA MWANAE "NYOTA YA ASUBUHI""
HAKUNA KITU KINACHOTISHA KAMA KUMUSOGELEA HUYU MUNGU WA WALOKOLE KATIKA HSLI YA KIROHO AFU UKIWA NA DHAMBI.
KINACHOTISHA NI ILE HALI YA KUJIHISI HATIA MOYONI,MAANA NAFSI ITAKUSUTA NA UTAONA AIBU HATA KUMTAZAMA USONI AU KUTAZAMA MALAIKA ZAKE NA YEYE BINAFSI NA MALAIKA ZAKE NA MWANA WA MMLIKI WANANGAA KULIKO MWANGA WA JUA NA WANA MAUMBO MAKUBWA KULIKO KIPIMO CHA MAUMBO YA KIBINADAMU NA WANYAMA.
LAKINI SURA ZAO NA MAUMBO YAO NI KAMA WANADAMU NA NDIO MAANA WALIMUUMBA MTU KWA MFANO WAO,
WAO WENYEWE
WALOKOLE WANAPOSEMA MUNGU WAO NI RAFIKI NA NI PENDO HAWADANGANYI MAANA ULE UPENDO WA MUNGU WAO AKIKUSOGELEA UNAUHISI NDANI YAKO NA HATIA ZAKO ZINAKUSUTA.
NB: NINAPOSEMA MUNGU WA WALOKOLE NAMAANISHA MUNGU ROHO NA MWANA WA MMILIKI NA ROHO YA MUNGU IWAKAYO MOTO.HIVYO VYOTE NI KITU KIMOJA NDANI YA VITU VITATU.HUWEZI KUMTENGANISHA MUNGU WA WALOKOLE NA MWANAE NA ROHO KUU YA KWAKE ILIYO NDANI YA MWANAE NA MWANAE YUPO NDANI YA BABA YAKE.
MUNGU WA WALOKOLE ANA MACHO YA HURUMA NA HATA BILA KUMTAZAMA USONI TWASIRA YAKE WAGA INAWAJIA WALOKOLE VICHWANI MWAO WAKATI WANAOMBA.
NINAPOANDIKA HAYA SIO KWAMBA MIMI NI MKAMILIFU ILA NA MIMI NASHUHIDIA HUYU MUNGU MKUU WA WALOKOLE ALIVYO.
HII DUNIA VIPO VIUMBE VINGI ZAIDI YA WANADAMU NA VINAISHI,,,ILA VIUMBE HIVI VYOTE VINAJUA UWEPO WA MUNGU WA WALOKOLE.
MUNGU WA WALOKOLE ANASEMA HIVI
""""""""""""""NANUKUU""""""""""""""""""
MIMI NI MUNGU WA ISRAEL NA YAKOBO NA HAITATOKEA HATA SIKU MOJA NIKASHARE MAMLAKA YANGU NA MWINGINE.
ROHO YANGU IPO NDANI YA MWANANGU NA MWANANGU YUPO NDANI YANGU KABLA YA KUUMBWA ULIMWENGU.
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE?
JE MIMI SI MUNGU NINAESAMEHE?
SITOKUHUKUMU UKITUBU
SITOKUHUKUMU UKITUBU
SITOKUHUKUMU UKITUBU
""""""""MWISHO WA KUMNUKUU"""""
NA AKISEMA MANENO HAYA MBINGU NZIMA INAKAA KIMYA.
MNAWEZA MKASHANGAA KWANINI WAKATI MWINGINE NAKAAA KIMYA KWA MDA MREFU BILA KUCHANGIA CHOCHOTE HUMU.
NI KWA SABABU KUMUELEZEA MUNGU MKUU WA WALOKOLE KIROHO KUNATAWALIWA NA HOFU KUU,SABABU ANAKUA ANAKUTAZAMA USO KWA USO NA UNALIHISI HILO JAMBO MOJA KWA MOJA KWENYE UBONGO WAKO WA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA SIO JAMBO JEPESI KUMTAJA TAJA MUNGU MKUU KIUWEPESI HUKU UKIWA MWENYE DHAMBI KAMA MIMI""INAOGOFYA"""
SIJUI NITUMIE LUGHA GANI NYEPESI ILI NIELEWEKE JINSI HALI INAVYOKUA HUYU MUNGU MKUU WALOKOLE AKIKUSOGELEA AU UKIMTAJA KWA KUMAANISHA HASA KWA SISI WENYE DHAMBI TUNAOOMBA NEEMA YAKE KUU YA MILELE.
NITAJARIBU.
MOSI: UNAKUA NA UOGA WENYE AMANI.
PILI: UNAKUA NA HATIA MOYONI YA KUJIHISI HUFAI KUMTAZAMA.
TATU: UNAKUA NA FURAHA KUBWA MNO WAKATI HUO HUO.
NNE: UNAKUA NA TULIZO LA MOYO HATA KAMA HUJATUBU DHAMBI ZAKO.
LAKINI NI NEEMA TU YA MUNGU WA WALOKOLE NDIO INAKUFANYA UWEZE KUMSOGELEA.
MUNGU WA WALOKOLE NI MWANA WA MMLIKI NA NI ROHO YA MUNGU PIA.
NA KWA UTAFITI WANGU KIROHO NIMEGUNDUA KUA HUYO YESU NI ROHO YA MUNGU KATIKA UMBO LA MWANADAMU.
WATU KIMWILI WANAWEZA KUKATAA ILA MIMI KIROHO NA WATU WENGINE KIROHO WANAJUA KABISA HUYO YESU AU MWANA WA MMILIKI NI MUNGU KATIKA UMBO LA KIBINADAMU ALIYESHUKA ENZI HIZO ZA KALE.
ILIKUA USIKU MNENE NA NILIKUA NIMEJIPUMZISHA OFISINI KWANGU NIKITAFAKARI MAISHA NA VITU VINGINE
GHAFLA USINGIZI UKAKATA NA HOFU KUU YA UOGA IKANIINGIA NA NIKAHISI KWA KUONA KUA KUNA WATU WANANITAZAMA NA KUNIJADILI GIZANI NA MIMI SIWAONI ILA SIO ROHO NJEMA.
NIKAJISEMEA MOYONI HAYA MAMBO YA KUMJADILI MUNGU WA WALOKOLE HADHARANI NAONA SASA YATANIGHARIMU NA KIMOYOMOYO NIKAAMUA KUZUNGUMZA NA MUNGU WA WALOKOLE NIKATAMKA MANENO HAYA"""""""""" ""NAJINUKUUU"""""""""'
Eeeeh Mungu mkuuu
Wa walokole wateule
wako naomba unilinde
mimi mwenye dhambi
unajua nakuamini na pia
ninaamini katika mwanao
"""""""MWISHO WA KUJINUKUU""""""""""
PALE PALE NIKAPATA AMANI YA MOYO NA SAUTI ROHONI IKANIAMBIA MASIKIONI KUA MIMI NI MUNGU WA WENYE DHAMBI NA NINAWALINDA WOTE WANAOKIRI JINA LANGU NA NILIKUFA MSALABANI KWA AJILI YAO NA DAMU YANGU NI TAKASO PEKEEE.
TOKA WAKATI HUO MPAKA SASA NIKAJUA MUNGU MKUU WA WALOKOLE HANA KINYONGO NA MTU BALI ANATUHITAJI TUWAJIBIKE KWA UPANDE WETU ILI NA YEYE AWAJIBIKE KWA UPANDE WAKE KAMA MUNGU.
BASI ILE HALI YA MAUZAUZA IKATOWEKA NA AMANI IKAENDELEA ENEO LANGU LA OFISINI NILIPOKUEPO.
NB: NAZUNGUMZIA MASIKIO YA ROHONI.
SABABU KIROHO BINADAMU TUNA MWILI KAMILI USIO WA DAMU NA NYAMA.
UKITENDA MEMA MWANA WA MMLIKI (YESU) ANATABASAMU.
UKISAIDIA MASKINI KWA MOYO MKUNJUFU ANATABASAMU.
UKIOMBA KATIKA ROHO NA KWELI ANATABASAMU.
ILA UKITENDA DHAMBI UNAMUUMIZA SANA NA ANALIA MACHOZI YA DAMU.
NA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUMUUMIZA HUYU ROHO WA MUNGU MWENYE UPENDO(YESU)
ITAENDELEA....….........!!!!!!
Barikiwa sana kwa ujumbe wako mzuri unafundisha mambo mazuri ya Rohoni ya ufalme wa Mungu aliye hai huyu Bwana wa majeshi aliyeziumba mbingu na nchi yeye ni Alpha na Omega ni Mtakatifu kwake hakitaiingia kitu kinyonge.

Gal 5:19-26 SUV​

Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema,
 
UPO SAHII DADA.
LAKINI MUNGU MKUU WA WALOKOLE NI WA REHEMA NA ANASAMEHE YOOOTE.
 
Safi Sana, nimesoma ushuhuda wa kitabu Nika Kumbuka kijana wangu pia alipata muujiza kama huo, maana alipoteza akiwa likizo na alipokua a arudi shule ndio kastuka hanacho, alilia Sana, tu kamwambia mlilie Mungu anajua kilipo, a kaenda shule alipokua a natoa madaftari anasema akakiona ktk ya madaftari akafurahi yaani katoka shule anashuhudia kakwepa fimbo kwa Muujiza huu... Asee kumwamini Mungu raha Sana... Kamanda Rudi tu kwa Mungu, haja kuacha Bali umemuacha na yeye anakutamani Sana uwe mwanawe Tena.. Njoo kwa Yesu!
Upo sahii kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom