Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Anhaaa kumbe , Sasa palikuwa na sababu gani ya kuipa milage hii taarifa Kama hicho kichwa ni Cha mkandarasi ,, mxiiiiieeeeew blood fucking zao
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lakini niivyowaelewa hapo ni kwamba, hoja sio hicho kichwa bali ni wanatuambia the Electrified SGR Dar to Morogoro is almost done, and ready for testing!!
 
hata bodi lake la kizamani. Kuna kile kichwa muundo wa yai kabisa, kimechongoka fresh kama aeroplane hata bodi lake linakuwa na shepu flani hivi kama aeroplane kwa umbali.

yani hapo mmepigwa kwanzia kichwa mpaka bodi. Hilo kichwa na bodi ukitazama fresh ni kama la kibox sio mviringo mchongoko kama yai.

Hilo treni sio toleo jipya wala sio la sasahivi, wala sio la kisasa, ni toleo la zamani kwenye miaka ya vita vya kwanza vya dunia.

Hapo wamepigwa, washenzi wameweka pesa mfukoni, wakanunua la bei cheee, bei rahisi
 
Aisee kichwa kimepauko mno bora wangekipata mafuta ndio wakipige picha.
Sidhani hata abiria akipanda atakuwa na amani
 
Wewe ndo uone, aibu. Unawaambia akina Nani hawaoni aibu?
Huyo MKANDARASI kaleta train yake afanyie majaribio wewe unakurupuka eti hamuoni aibu. Nyumbu buana.
Umesema vizuri,wameshakuelewa,wanaona aibu,kusema ,wamekuelewa.
 
duuh ni kichwa cha mkandarasi mbona hana mdomo
 
Kenya walipigwa na wachina hivi hivi
 
duuh ni kichwa cha mkandarasi mbona hana mdomo
Mdomo wa nini?!

Man, anayetafuta mileage hapo sio mkandarasi bali mwenye reli yake kwahiyo mkandarasi hana sababu ya kufanya alichofanya mwenye reli yake!
 
Mama piga kazi tumecheleweshwa mnoooo kama taifa
 
Akili hizi, Sasa unakimbilia kukomenti bila kusoma habari inahusu Nini kweli? Hiki ni kichwa Cha treni cha MKANDARASI kwa ajili ya kufanyia majaribio kipande Cha dar Moro, Sasa unataka mkandarasi anunue train kwa ajili ya TRC?
Wewe mwenye akili tuletee picha za vichwa vilivyolipiwa na serikali ndio mnavyojidanganya hapa kuwa vitakuwa tofouti na hivi vya majaribio?

Muda utaongea
 
Mjenga reli ni Mturuki, atayefanya commissioning ni Mturuki na kaanza kwa kuleta SGR Test Locomotive...

Ataye supply SGR trains ni Mkorea, na treni zake bado kufika...

Lakini sasa waosha vinywa uwezo mdogo wa kuelewa washaanza kupayuka kuwa tumepigwa, idiots!!!
 

unataka kusema bajet yetu au unabisha kama kuna upigaji
 
Hatuokoti vichwa vya treni tena siku hizi!?
Drama za mwendazake nimezimiss aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ