Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Huyo jamaa ni hasara kwa taifa hatumii akili hata kidogo ukisoma comments zake unagundua tu kama pimbi ameshika simu.
Embu naomba picha za kichwa na behewa ambavyo serikali imekwisha lipia? Kwa ufupi tu ni mtumba na hauna tofouti na hili behewa la mkandarasi
 

kuna shida gan mbona treni z umeme tunazoona kwenye media syo mbaya hiviii!!
shida n nn wanunuaji wanakula 10% au n bajet yetu ndogo?? jaman ukiangalia za china n nzuri nenda sasa kaone waliowatengenezea wakenya utachoka!!




apo kuna ya egypt,australia, china yakwanza, nk!!
unaeza fananinisha na hayo
 
Mbona sio vichwa vya kisasa kama walivyokuwa wakionesha mwanzo? Hii nchi inachzewa sana wachache kwa maslahi yao binafsi
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Ama nchi ndugu, kamwe mtanzania hawezi ridhika
 

Sawa tunakukubalia kwa iyo tusubiri vichwa vingine vitakuja. Wala hakuna shida muda ni mwamuzi sahihi.
 
Afu nyie TRC kweli mlishiriki kuleta idea ya kujenga kituo cha mwendokasi karibu na stesheni kuu mpya ya sgr pale posta. Ikija chongwa barabara upande wa stesheni mandhari yote ya nje inapotea
 
sasa vya testing viko hivi ivo vya kutembelea unadhan vitakuaje??![emoji3][emoji23]View attachment 2126646
unadhan vitakua hivi au??
Mkuu hizi ni biashara na kama ni biashara mtu anajikuna pale anapofikia...ni kama hizi biashara za magari mkuu wapo ambao bado wananunua magari ya mwaka 1998&1999 lkn wakati huo huo wapo wale wakina mimi tunanunua magari ya 2021😆najua utabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…