Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Mama ni mzanzibar mwadilifu kuliko yule aliyetumwa na karume kwenda kununua meli ya mv mapinduzi. Angeenda chenge au mtu wa kutoka kabila la chenge ningekuwa na sababu ya kutia shaka. Ogopa sana male mzalendo anayetumwa kwenda kununua rada ya kulinda nchi yake anapiga diri. Harafu na mapato ya diri renyewe anayapeleka new Jersey [emoji1136] yeye anarudi kuja kuishi kwenye nchi isiyo na ulinzi.
 
Hapo ndo tunapopigwa
20220222_170332.jpg
20220222_170329.jpg
20220222_170335.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Sikiliza maelezo vizuri, wanasema hiki kichwa ni kwa ajili ya testing.
 
Mtumba huo,ni sawa nakusema tumeletewa chuma chakavu.hivi wanataka kusema hatuvijui vichwa vipya na vya kisasa vya hizi treni.hili likichwa ni outdated kabisaaa.
 
Back
Top Bottom