Ngararimu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 288
- 500
Mama ni mzanzibar mwadilifu kuliko yule aliyetumwa na karume kwenda kununua meli ya mv mapinduzi. Angeenda chenge au mtu wa kutoka kabila la chenge ningekuwa na sababu ya kutia shaka. Ogopa sana male mzalendo anayetumwa kwenda kununua rada ya kulinda nchi yake anapiga diri. Harafu na mapato ya diri renyewe anayapeleka new Jersey [emoji1136] yeye anarudi kuja kuishi kwenye nchi isiyo na ulinzi.Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..