GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu,

Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.

Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.

Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake

How old was he by that time ?
 
Ujana gani huyo boya. Yeye na Polepole huwa wanajifanya vijana wadogo kumbe ni use@nge mtupu.
 
Sawa, mpe location aje amalize kazi
Nitamwambia kwanza SABAYA yule aliyekuwa mgombea UBUNGE kwa chama cha kutiki. Sabaya atakuja na MAKONDA akisindikizwa na MAFURU. Wote watakuja na KADI ZAO ZA chama cha KUTIKI MKONONI
 
Wakuu,

Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.

Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.

Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake

Kwa msamaha huu aliomba kwa kweli mimi binafsi nimeguswa nami naongezea asamehewe, binafsi nimemsamehe aisee
 
Asitusumbue mbuzi huyo,ni liattention seeker tu halina lolote.

Yeye kama hawajui hao aliowakosea anatuletea upuuzi gani,si awaombe huo msamaha live,linafiki tu
 
Back
Top Bottom