Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Yaan mkuu maana yake umemsamehe ila haujasahau ili akija kufanya tena atoneshe tena upya kidonda ambacho hakijapona yaan kidonda bado kibichi?Mimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊

Ndio… Akikua akagraduate ataandika kitabu kama walivyofanya wenzie 😀Kuna mubibi anatukosea inamaana hajakua?
Huku kunaitwa kuchanganyikiwa.. Ila acha tu tumsamehe japo bado yuko arrogant.. Badala ya kuomba radhi direct anatumia neno "KAMA.."Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Mimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊
Sawa sawa ndgu yangu, founder mwenzangu wa jf.Mimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊
Mbona kama nimekusamehe lakini sitasahauMimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia [emoji4]
Heri yake kaomba msamaha kuliko yule pole poleWakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Nitajitahidi kusahau pia 😊😎❗Mimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊
huyu baba baba which? hana hata mtoto mshamba mmoja huyu unamwita baba! hebu mpe tusi moja huyo baba yakoWakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
chungu aona kivuno.....Ganda la muwa la jana huyo...
Kumradhi ndugu wasomaji, isomeke "huyu mtu anaongea ana matatizo ya akili"Huyu mtu anavyoongea ni kama ana matatizo ya akili
Nilikuuliza swali kuhusu kubadilika kwa jina linaloonekana hapa ninipo post hukunijibu.Nipo humu kwa takriban 10 yrsMimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊