Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kwa kusema tu "kama kuna watu amewakosea" inaonyesha hajutii aliyofanya. Baadhi ya aliowakosea walimpeleka Mahakamani na wakamshinda. Atajifanyaje leo kuwa hajui kuwa kuna watu aliwakosea? Aidha, mtu mwema hajisifu kuwa yeye ni mtu mwema. Ukiona anajisifu basi wema wake ni kuigiza.Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Huyu jamaa akipata nafasi ataendeleza pale alipoishia.
Amandla...