hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Wewe ni mkamilifu hata hapo kwenye familia yako?Hatufaki msamaha wake aendelee na ujana wake tu
Wewe ni mkamilifu hata hapo kwenye familia yako?Hatufaki msamaha wake aendelee na ujana wake tu
Musiba mtu sana ,mtu anayejua kuomba msamaha ni mtu muungwana sanaMusiba mtu sana.siasa tu ndizo hubadirisha watu.Mungu akusimamie mzee wetu.
Acha ujuaji ,acha roho mbayaKwa kusema tu "kama kuna watu amewakosea" inaonyesha hajutii aliyofanya. Baadhi ya aliowakosea walimpeleka Mahakamani na wakamshinda. Atajifanyaje leo kuwa hajui kuwa kuna watu aliwakosea? Aidha, mtu mwema hajisifu kuwa yeye ni mtu mwema. Ukiona anajisifu basi wema wake ni kuigiza.
Huyu jamaa akipata nafasi ataendeleza pale alipoishia.
Amandla...
True, na moyo wake utakuwa na amaniAmefanya jambo jema. Kuomba msamaha ni tunu. Asamehewe asisamehewe yeye keshamaliza.
Usiposahau huwezi kuwa umemsamehe🤔Mimi nimemsamehe.
Nitajitahidi kusahau pia 😊
Una mwanasheria mzuri?Kuna mubibi anatukosea inamaana hajakua?