GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acha ujuaji ,acha roho mbaya

Saa ajabu wewe una mabaya mengi na umeumiza watu wengi kuliko musiba

Mungu akisema kila mmoja aendee haki ,wewe utapona?
 
Dhambi ni kitu hatari sana na ukiona MTU ameanza kuomba msamaha ujue muda si mrefu MTU huyo atakufa.
Mimi namshauri awaombe viongozi wa dini wamwongoze sala ya toba ili afe vizuri
 
Ujana gani miaka 40++?
Akipata backup atarudia tena halafu siku aje aseme ulikuwa uzee
 
Aliowakosea wamsamehe tu. Analo la kujifunza na maisha ndivyo yalivyo. Watu huwa tunafikiria ya leo tu. Ukiwa unakula na kunywa, unaweza hata kumkufuru Mungu hayo ndiyo ya Ndg Musiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…