Pre GE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.

Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

"Unapokuwa kiongozi, hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"
 
View attachment 3195952
Hahahaha kumbe. Hawa watu wanazidi kutufungukia code nyingi sana. Yaani majizi maongo ndiyo yanatakiwa yatuingoze kubabbaababbaabke
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.

"Unapokuwa kiongozi, hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"
View attachment 3195952
Kwahiyo tuendelee na muongo Mbowe!!??
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.

"Unapokuwa kiongozi, hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"
View attachment 3195952
Kazi kweli kweli
 
Nafurahi kumsikia mwamba Musiba, alikuwa wapi? Alinifurahisha sana wakati wa JPM. Ningefurahi kama angepewa uongoze serikalini. Alichosema kuhusu Lissu ni kweli, ukweli hautakiwi, utanusa umauti kwa ukweli.
 
Ayaaah uuh jamani nchi yangu !
 
Hivi uandishi wa habari umekuwaje now days.. unaitwa press ya musiba nawashabgari na kwenda kabisa!!?
 
Sasa kama CHADEMA walimteua Lissu kugombea Urais kwanini Uenyekiti inakuwa nongwa...?
Kwa hiyo walikuwa wanatuchezea wapiga kura....?
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.

Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

"Unapokuwa kiongozi, hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"
View attachment 3195952
Tatizo la jamii iliyozoea kuishi kwa uongol.
Lisu kamuibua na huyu chawa
 
Naona lile dubwana lishaanza kufungulia mbwa wake, uchaguzi wa ndani chadema umeanza kuingiliwa rasmi na waziwazi
 
Back
Top Bottom