Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maaskari wa kukodu tiyali, huyu su ndie alikuwa ana mnanga Lisu kutwa nzima?Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
"Unapokuwa kiongozi, hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"
View attachment 3195952
Wanajua moto wake maana hapindishi na hapokei rushwa zaoHata maraıs wote walio pita walikuwa na mazuri na mapungufu mengi tu.
Na hii inahusu marais wa nchi zote.
Mbowe ana sıfa zake, lakini anataka maridhiano yasiyo na faida wa CDM.
Kusema kuwa watu wametolewa gerezani sababu ya maridhiano iwe ndivyo au sivyo siyo hoja ya kuifanya CDM ipoe.
Itakuwa ni mchezo wa onea, weka gerezani, maridhiano, achia. Je, CDM iishi kwa namna hiyo?
Tunataka viongozi wa upinzani, wanao tabirika, wenye misimamo, wanao kemer kila uovu, wenye kudai haki siyo kubembeleza.
Nina hakika ikitokea CCM ni wapinzani hawawezi kuwa legelege hata kidogo.
Tuna vyama vingi vya upinzani lakini vipo kusubiri matukio na kupongeza pongeza tu. Na CDM sasa inaenda kwenye mkumbo huo.
Leo hii, hata wana CCM walio kuwa wapondaji wa CDM eti wanashauri CDM ichague kiongozi yupi, kwa upendo gani?
Kama wapiga kura wa CDM wanataka chama chao kiwe bingwa wa maridhiano, pongeza pongeza na kuvizia matukio, wakamchague Mbowe.
Lakinı kama wanataka chama motomoto kinachotoa changamoto mfululizo ndani na nje ya bunge wamchague Lissu.
Rejea kauli za marais watatu wa Tanzania nyakati tofauti tofauti. (Mmoja alisema. Bora Slaa awe rais kuliko Lissu kuwa mbunge)
You're a sucker!Yaani wanao mtaka Lisu kuongoza ukiwasikiliza hoja yao ni kwamba Lisu haogopi ni mkorofi kwahiyo ataitisha Serikali!!! Hizi ni hoja za kipuuzi kabisa.
Kiingozi anachaguliwa kwa sifa zifuatazo.
Soma kitabu cha hayati JK Nyerere.