Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

This is the degree of selfishness ambayo watanzania tunayo.

Kweli katika laki 3 za posho anazochukua kila siku kwa mwezi mzima ameshindwa kuwa smart akatoa laki 3 moja kununua kengele ya umeme ile na kuwapa uongozi wa shule laki 2 kwa ajili ya kui setup?

Unaleta rim ya canter sijui coaster shule kwa mbwembwe kujidai umetoa zawadi. Thats a serious Joke!!!

Hivi mtu kama huyu hata familia anatunza kweli kwa akili hizi? 🤣
 
huyu dogo Alie vaajuba atazeeka vibaya sana.hiyo sura🤣
 

sema zamani kipindi nasoma tulikuwa na Karim ketu shuleni kakigongwa kanalia hakoo.kwanfano ukiwa gongolamboto halafu ukigonga alieko pugu Kona anakasikia🤣🤣hapo nimwendo wakukimbia tuu kuwahi namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…