Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Watu wanaosema uchawi haupo huwa nawachekiiii, nabaki kuwastaajabu kama kweli walizaliwa na kukulia hapa Africa.

Tumezaliwa, tumekua na tumeishi Africa ila tumeamua kutumia bongo zetu badala ya kuamini story za hearsay zinazoaminiwa na wajinga na kuenenzwa na wapumbavu.
 
Kweli hay mambo yapo rena naamini kbsa uchawi upo ila kwa situation hyo ya kichnga apo kuna mtu kacheza na akili zao tu
Possibly kuna mtu kawazidi akili kaiba mtoto kaweka jiwe si ajabu kawafatilia mda tu kapata chance kafanya yake kajua kwa mchezo huo atatek akili za watu watafikirikia mauzauza hayo na hatofatiwa
 
Ila we jamaa umekaza fuvu kwa mambo usiyoyajua ilhali huna ulijualo. Eti wanaoamini uwepo wa ushirikina ni mazwazwa, zwazwa ni wewe unayepinga uwepo wa mambo ambayo yapo.

Kwa taarifa yako viongozi wote wa dini wanaamini hayo mambo yapo maana vitabu vyote vitakatifu vimetaja uchawi na vinaukemea. Papa Francis, Maaskofu,Mapadre,Wachungaji,Maimamu,Masheikh,n.k wengi ni wasomi wa viwango vikubwa kukuzidi yet wanajua uchawi upo.Kuamini uwepo wa uchawi/ushirikina haimaanishi kwamba unaunga mkono mambo hayo.

Mhe.Andrew Chenge amasoma Havard University ambako hujawahi kutia mguu na pengine ukafa bila kukanyaga pale, ila muulize kuhusu hayo mambo atakwambia. Mhe.Mizengo Pinda alishawahi kuhojiwa kuhusu kama kweli hayo mambo yapo kule kwao Sumbawanga kama wengi wanavyodai, akakiri yapo kwa sana tu. Sasa we mwenzetu Bufa sijui ulizaliwa na kukulia Amsterdam? Ila sisi tuliozaliwa na kukulia hapa Africa tunajua hayo mambo yapo kwa wingi tu.
 
waminywe kende hao watoe maelezo wasitufanye si wajinga hapa
 
Jiwe limewekwa hapo kuwachota akili mazoba, mtoto kaibiwa tayari.
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
 
Ni jiwe kuu la pembeni.mkuu
 
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
watoa ushuhuda wapo kila mahali hata uwongo hukosi shuhuda
 
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!

Kuna video ya tukio lenyewe au video ya mtu anayesimulia hiki kihoja? Una uhakika gani nae hajala njama ya kumdhuru huyu mtoto mchanga?

Kama ni video ya mtoa ushuhuda ana tofauti gani na Zumaridi aliyesema kaenda mbinguni? Nae unamuamini? Tunaposema story zoooote za ushirikina ni story za hearsay muwe mnaelewa.
 
Tumezaliwa, tumekua na tumeishi Africa ila tumeamua kutumia bongo zetu badala ya kuamini story za hearsay zinazoaminiwa na wajinga na kuenenzwa na wapumbavu.
Hearsay? Ok nikuombe ufanye safari kwenda wilaya za Simiyu,Mwanza,Kigoma,Tanga,Katavi,Mara,nk (hasa hasa vijijini) na ukifika Anza kujinadi kuwa hauamini kama uchawi upo, na wala hauna madhara yoyote, halafu uone kitakachokutokea.

Wenzako UDSM wameingia mzigoni kufanya research juu ya mambo hayo tangu mwaka jana, wewe unakaza fuvu bila hata ya research.
 
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
video iko wapi
 
Kuna profesa mmoja wa Sociology hapo UDSM alishafanya utafiti huko Gamboshi, ilimlazimu mpaka kupaa kwa ungo, Ila alidhurika alikuwa mdhaifu kwa muda mrefu baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…