Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Unasafirije kote huko na mtoto wa Mwezi mmoja?. Huyo mama naye hazimo.
 

Wameamua kutuonyesha live safari hii
Dunia ngumu sana hii
 
Nchi ina wajinga wengi sana hii pamoja na wapumbavu. Nimeangalia habari nikaona hii taarifa eti na mamlaka zinasema zimelichukua jiwe hilo na kwenda kulifanyia uchunguzi..😀😀😀😀
 
Nchi ina wajinga wengi sana hii pamoja na wapumbavu. Nimeangalia habari nikaona hii taarifa eti na mamlaka zinasema zimelichukua jiwe hilo na kwenda kulifanyia uchunguzi..😀😀😀😀

Nimekumbuka Yale mazingaombwe ya kubadili makaratasi kuwa pesa😅😅
Sasa wameamua kugeuza watu kuwa mawe🙄🙄
 
Uchawi upo duniani kote,wewe kama huamini sawa baki ivo
 
Narudia hujui ulisemalo na Mungu akusamehe
Full stop
 
Kanda hizo na watoto wenye ulemavu wa ngozi(albinism)ni mkosi kwenye familia na koo,,,nina uhakika kuwa huyo mtoto alikuwa na mapungufu hayo wameamua kukapoteza!!!
Huwezi kufanya uchunguzi kama unakwenda na majibu yako

Uo uhakika hautakiwi
Ila unaweza kwenda na maswali na majibu ukahakikishe je mawazo au hisia zako ni sahihi?
 
Ila kama huko mgaranjabo, nakumbuka paliwahi kutokea mauaji ya kutisha miaka ya nyuma🤔🤔 yani walichinja wanafamilia wote, wageni waliokua wameenda kuitembelea familia pia walichinjwa, mifugo yote na wakasogea kwa ndugu aliuekuwa anaishi jirani, hivyo hivyo.😭😭😭😭
 
Kanda hizo na watoto wenye ulemavu wa ngozi(albinism)ni mkosi kwenye familia na koo,,,nina uhakika kuwa huyo mtoto alikuwa na mapungufu hayo wameamua kukapoteza!!!
Nakaa humu brother it's a calculated guess,wamemuua,then kumridhisha mama mtu wametafuta jiwe [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hiyo kata ya Buhare lilikotokea tukio kumbe haiko Musoma? Ok, tufanye haiko Musoma Iko manispaa/wilayani kwenu sasa.
Tatizo hukueleza sawasawa, kata ya Buhare Iko MUSOMA manispaa. Lakini wewe hukueleza hivyo ebu soma tena Uzi wako uone ulichokuwa umeandika. Uwe unatulia ndiyo unaandika ndugu.
 
Maeneo ya musoma hasa ukanda wa wazanaki Kuna kitu kinaitwa KITIMBA,kitimba ni watoto wanaozaliwa wakiwa na kasoro za kimaumbile
Kwa Mila za Kule watoto wa namna hiyo ikitokea amezaliwa ktk Kijiji basi anatakiwa kuuwawa haraka sana wanaamini watoto hao huleta mikosi na mabalaa ktk mji aliozaliwa na Kijiji mpaka kata kiujumla.
Ikitokea mmoja wa wazazi amegoma mtoto asiuwawe basi kwanza familia itatengwa na Kijiji kizima, then wazee wa kimira watafanya Kila mbinu ili kumuondoa huyo kitimba eidha kwa kumuiba, kufanya njama za kumuua nk.


Wazee hao wa kimila wanaitwa WANYIKURA(Abhanyikura)
 
Hatari sana hii
 
Uongo mtupu, ushirikina wao. Wameua mtoto, mwili wakaupeleka kwenye mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…