Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Alikuwa hana pa kulala. Hawezi kuwa rais come rain come sunshine.
 
Duuhh.. Familia ya Mwalimu haina ubaguzi kabisa, sasa Lissu aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake kuhusu Mwalimu Nyerere.
Hawezi kwa sababu ni kuwadi wa wazungu.
 
Hiii ndio ile siasa safi aliyokuwa akiitaka Hayati Baba wa Taifa Mungu amrehemu

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu kabisa hili Lissu, lilivyomtukana Mwl. Nyerere halafu bila aibu linaenda kula na kulala nyumbani kwake. Nafikiri akina Madaraka na Neema Nyerere walikuwa wanalikejeli tu!!
 
Reactions: Ole
Duuhh.. Familia ya Mwalimu haina ubaguzi kabisa naona Madaraka, Neema kama wamejawa na furaha sana, sasa Lissu aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake kuhusu Mwalimu Nyerere.
Kama ungekuwa na akili ungegundua kuwa kauli ile ya Lissu ilimfurahisha hata mwalimu huko aliko
 
By the way kwenye hii picha ya mwisho naona Tundu Lisu kasimama na beberu mtoa mada naomba unijuze Beberu huyu ni kutoka ubelgiji au Canada?
Beberu limekuja kwa ajili ya kukushughulikia mkiani
 
Nyerere angekuwepo Lissu asingepiga porojo hivi muulizeni Mtei awaambie

..Nyerere hakuwa na tatizo na Edwin Mtei.

..Na ilipofika zamu ya Tz kujaza nafasi ya Mkurugenzi wa nchi za Afrika ktk IMF, Mwalimu alimpendekeza Edwin Mtei.

..naamini Mwalimu Nyerere angekuwa "mbogo" kwelikweli kutokana na shambulizi la Tundu Lissu.

..sidhani kama Mwalimu angependezwa na hatua ambazo serikali ilichukua, na siamini kama angekaa kimya kama wastaafu wengine walivyofanya.
 
Huyu jamaa alisema Bungeni kuwa Nyerere alikuwa ni Mwongo, hali iliyosbabaisha Tundu awe na uhusiano mbaya sana na mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei; leo anajisikiaje furaha kwenda nyumbani kwa mtu aliyemwita mwongo? Opportunist wa kutafuta photo ops tu.

Mwitongo ni sehemu ya makumbusho ya taifa ambayo kila mtu anayeitembelea atapokelewa vizuri tu.
 
Wabarikiwe sana Wamelala na Rais nyumbani kwao?? Hiyo baraka ije na Kwangu Hapa Kilosa jamani.
 
Nyerer mnataka kumlinganisha na mambo ya hovyo acheni dharau
 
Tumuombee Lisu anaweza kuwa mkombozi wetu wa-tz, kwani ishara zote zinajionyesha wazi wazi kuwa "Ni Yeye 2020"
Hata mama Maria nyerer alisha wakataa alisema walimkokota tu ila akawagomea kusema waliyomlazimisha.

Wiki ijayo Jpm naye ataenda kulala.😁😁
 
Sasa comrade tundu Lissu kulala chumbani kwa Madaraka Nyerere inamsaidia nini babu na bibi yako walioko kijijini?
Kuelewa kwamba upinzani wa kisiasa sio uadui na waliotaka kumuua TL walifanya kosa kwa watanzania ikiwemo familia ya Mwalimu na wamejitenga na mashetani hao kwa kumkaribisha muhanga nyumbani. Hapo ni messages sent and received to the people of the land
 
Huyo mchungaji kaamua kujitoa muhanga na lissu
 
Pumbavu kabisa hili Lissu, lilivyomtukana Mwl. Nyerere halafu bila aibu linaenda kula na kulala nyumbani kwake. Nafikiri akina Madaraka na Neema Nyerere walikuwa wanalikejeli tu!!
Hapana mkuu, Mwitongo Lodge ni biashara inayosimamiwa na Madaraka ( Part of his cultural tourism business) inayopokea wageni mbalimbali hapo Mwitongo. Kulala, kula kwa Lisu na wageni wake hapo vyote wamevigharamia wenyewe. Haya ya kualikwa ni propaganda na kujikweza tu.
 
Na Madaraka kaanzisha biashara ya cultural tourism hapo ikiwa ni pamoja na hiyo Mwitongo Lodge inayopokea wageni mbalimbali kwa malipo.

Kwakuwa kwa makusudi chadema wameamua kupotosha kwamba walikwenda pale kwa kualikwa, ni vema Madaraka mwenyewe akalitolea ufafanuzi.
 
Hapo madaraka kapiga hela ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…