Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kwa sababu ni kuwadi wa wazungu.Duuhh.. Familia ya Mwalimu haina ubaguzi kabisa, sasa Lissu aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake kuhusu Mwalimu Nyerere.
Hiii ndio ile siasa safi aliyokuwa akiitaka Hayati Baba wa Taifa Mungu amrehemuWakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
Kwani umesikia ndio tiketi ya kumwona Mungu !?Madaraka Nyerere kasaliti chama huyu tumpokonye kadi yetu mara moja.
Pumbavu kabisa hili Lissu, lilivyomtukana Mwl. Nyerere halafu bila aibu linaenda kula na kulala nyumbani kwake. Nafikiri akina Madaraka na Neema Nyerere walikuwa wanalikejeli tu!!Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
Kama ungekuwa na akili ungegundua kuwa kauli ile ya Lissu ilimfurahisha hata mwalimu huko alikoDuuhh.. Familia ya Mwalimu haina ubaguzi kabisa naona Madaraka, Neema kama wamejawa na furaha sana, sasa Lissu aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake kuhusu Mwalimu Nyerere.
Nyerere angekuwepo Lissu asingepiga porojo hivi muulizeni Mtei awaambie..Mwalimu Nyerere angekuwa hai asingefurahi unyama aliotendewa Tundu Lissu.
Beberu limekuja kwa ajili ya kukushughulikia mkianiBy the way kwenye hii picha ya mwisho naona Tundu Lisu kasimama na beberu mtoa mada naomba unijuze Beberu huyu ni kutoka ubelgiji au Canada?
Nyerere angekuwepo Lissu asingepiga porojo hivi muulizeni Mtei awaambie
Huyu jamaa alisema Bungeni kuwa Nyerere alikuwa ni Mwongo, hali iliyosbabaisha Tundu awe na uhusiano mbaya sana na mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei; leo anajisikiaje furaha kwenda nyumbani kwa mtu aliyemwita mwongo? Opportunist wa kutafuta photo ops tu.Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
Wabarikiwe sana Wamelala na Rais nyumbani kwao?? Hiyo baraka ije na Kwangu Hapa Kilosa jamani.Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
Nyerer mnataka kumlinganisha na mambo ya hovyo acheni dharau..Nyerere hakuwa na tatizo na Edwin Mtei.
..Na ilipofika zamu ya Tz kujaza nafasi ya Mkurugenzi wa nchi za Afrika ktk IMF, Mwalimu alimpendekeza Edwin Mtei.
..naamini Mwalimu Nyerere angekuwa "mbogo" kwelikweli kutokana na shambulizi la Tundu Lissu.
..sidhani kama Mwalimu angependezwa na hatua ambazo serikali ilichukua, na siamini kama angekaa kimya kama wastaafu wengine walivyofanya.
Hata mama Maria nyerer alisha wakataa alisema walimkokota tu ila akawagomea kusema waliyomlazimisha.Tumuombee Lisu anaweza kuwa mkombozi wetu wa-tz, kwani ishara zote zinajionyesha wazi wazi kuwa "Ni Yeye 2020"
Kuelewa kwamba upinzani wa kisiasa sio uadui na waliotaka kumuua TL walifanya kosa kwa watanzania ikiwemo familia ya Mwalimu na wamejitenga na mashetani hao kwa kumkaribisha muhanga nyumbani. Hapo ni messages sent and received to the people of the landSasa comrade tundu Lissu kulala chumbani kwa Madaraka Nyerere inamsaidia nini babu na bibi yako walioko kijijini?
Hapana mkuu, Mwitongo Lodge ni biashara inayosimamiwa na Madaraka ( Part of his cultural tourism business) inayopokea wageni mbalimbali hapo Mwitongo. Kulala, kula kwa Lisu na wageni wake hapo vyote wamevigharamia wenyewe. Haya ya kualikwa ni propaganda na kujikweza tu.Pumbavu kabisa hili Lissu, lilivyomtukana Mwl. Nyerere halafu bila aibu linaenda kula na kulala nyumbani kwake. Nafikiri akina Madaraka na Neema Nyerere walikuwa wanalikejeli tu!!
Na Madaraka kaanzisha biashara ya cultural tourism hapo ikiwa ni pamoja na hiyo Mwitongo Lodge inayopokea wageni mbalimbali kwa malipo.Huyu jamaa alisema Bungeni kuwa Nyerere alikuwa ni Mwongo, hali iliyosbabaisha Tundu awe na uhusiano mbaya sana na mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei; leo anajisikiaje furaha kwenda nyumbani kwa mtu aliyemwita mwongo? Opportunist wa kutafuta photo ops tu.
Mwitongo ni sehemu ya makumbusho ya taifa ambayo kila mtu anayeitembelea atapokelewa vizuri tu.
Hapo madaraka kapiga hela ndefuHapana mkuu, Mwitongo Lodge ni biashara inayosimamiwa na Madaraka ( Part of his cultural tourism business) inayopokea wageni mbalimbali hapo Mwitongo. Kulala, kula kwa Lisu na wageni wake hapo vyote wamevigharamia wenyewe. Haya ya kualikwa ni propaganda na kujikweza tu.
SikumbukiMkuu unakumbuka Lissu aliwahi kumwita Mwalimu lagai?
Hivi toka tukutane na kukuhudumia pale Milembe bado hali yako haijabadilika mkuuSikumbuki