Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasiraHii familia siyo muda mrefu itachafuliwa , itatukanwa matusi hadi ya Hayati.
Wametambua kuwa nyie sio watu sahihi kuongoza taifa letu.Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira
Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Interestingnasikia wamewaandikia NEC kwamba hii nayo imekiuka maadili ya uchaguzi.
Kiuhalosia wana uhuru wa kumkaribisha yeyote yule nyumbani kwao.Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Bado CCM ingeweza kuwateua kuwa wagombea bila ya kujali kura za maoni.Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira
Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Lazima atawasumbua tu hao akina nyerere haishi visasiUamuzi ule ulikuwa fair kabisa, Nyerere kwa nafasi yake binafsi ndie alipigania mfumo wa vyama vingi Tanzania wakati wengi ndani ya chama chake walikuwa hawautaki.
Japo binafsi nasubiri kuona reaction ya jamaa yule baada ya tukio lile hasa alivyo na tabia ya kisirani.
Watu wa Butiama unawajua ? Mpaka wakawapa kura kidogo hivyo wakati wanamjua baba yao vizuri INA maana waliwaona hawako vizuri kabisaBado CCM ingeweza kuwateua kuwa wagombea bila ya kujali kura za maoni.
Haina madhara bali inaleta afya kwa watanzania, kila mtanzania ana nafasi yake kulitumikia Taifa .Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Ni moja tuu.. Kiswahili na hiyo aliyoitumia ni wachache Sana wanaimudu na Kwa mujibu wa mwandishi tuliowengi hatuwezi ata kusalimia Kwa lugha hiyo achilia mbali kung'amua vocabularies alizotumia.. kumbuka mchezo unaoendelea Kwa SASA unahitaji kugusa walio wengi.. unless Hana haja na sie tulio wengi.Nitajie lugha rasmi za taifa zipo mbili
Hili sasa ni tukio kubwa la kumfanya Mwl kutangazwa Mtakatifu,Marehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Madhara gani kwa yeye sio mtanzania, kwamba hana haki ya kulala butiama...achenine upumbavu hata wewe unaweza kwenda kulala kama watakualika na kukupa kitanda...uoande wa pil panini.. alivyokuwa anawadhalalisha kuwa watoto wa nyerere wamepata jura mbili alikuwa nakumbuka ainanya Manson alikuwa Analyst...Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Kwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tukiongeza na maneno ya mama Maria Nyerere kwenye mkutano wa Ccm Musoma alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Ile nyumba ni kama museum ya Taifa..hawawezi ata kuichukulia mkopo Bank.Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira
Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Despite the fact that he called their beloved a Deceit during his Tenure.Kwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tu kuongeza na maneno ya mama Maria Nyerere alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025
Hapo sio ikulu mzee ni makazi binafsi ya familia yao sasa hakuna wa kuwachagulia wageni wa kuwatembelea au kuwakaribisha. Vipi au wewe nyumbani kwako kuna mtu anakupangia nani aingie kwako nani alale na nani asije kabisaaa????Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Mbona na breakfast alipata hapohapo nyumbani kwa mwalimu?Hakulsla pale,aljumuika kupata chakula cha jioni tu,dinner