YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasiraHii familia siyo muda mrefu itachafuliwa , itatukanwa matusi hadi ya Hayati.
Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!