Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Hii familia siyo muda mrefu itachafuliwa , itatukanwa matusi hadi ya Hayati.
Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira

Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
 
Hasira zao za kushindwa tu kura za maoni

Watoto wa Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro na Madaraka, wamepata kura chache katika kura za maoni Jimboni kwao Butiama, Mara.

Jimbo la Butiama lilikuwa na wagombea 59 na wajumbe waliopiga kura walikuwa 555 na matokeo yaliongozwa na Jumanne Sagini aliyepata kura 84, akifuatiwa na Frank Mahemba aliyepata kura 80, wa tatu akiwa Joseph Nyamboha kura 46.

Katika kura hizo za maoni Makongoro Nyerere alipata kura 5 na Madaraka Nyerere aliambulia kura 2. Makongoro Nyerere aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha kupitia NCCR-Mageuzi.
 
Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira

Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Bado CCM ingeweza kuwateua kuwa wagombea bila ya kujali kura za maoni.
 
Uamuzi ule ulikuwa fair kabisa, Nyerere kwa nafasi yake binafsi ndie alipigania mfumo wa vyama vingi Tanzania wakati wengi ndani ya chama chake walikuwa hawautaki.

Japo binafsi nasubiri kuona reaction ya jamaa yule baada ya tukio lile hasa alivyo na tabia ya kisirani.
Lazima atawasumbua tu hao akina nyerere haishi visasi
 
Bado CCM ingeweza kuwateua kuwa wagombea bila ya kujali kura za maoni.
Watu wa Butiama unawajua ? Mpaka wakawapa kura kidogo hivyo wakati wanamjua baba yao vizuri INA maana waliwaona hawako vizuri kabisa

Hata familia na ukoo wa Nyerere ulioko Butiama maana yake umewakataa haiwezekani Madaraka apate kura 2 na mwenzie Makongoro apate kura Tano

Huo ni ujumbe wa wazi kuwa ukoo wa Nyerere hawawataki
Sasa kama ukoo umetuma hiyo meseji huwezi force
 
Nitajie lugha rasmi za taifa zipo mbili
Ni moja tuu.. Kiswahili na hiyo aliyoitumia ni wachache Sana wanaimudu na Kwa mujibu wa mwandishi tuliowengi hatuwezi ata kusalimia Kwa lugha hiyo achilia mbali kung'amua vocabularies alizotumia.. kumbuka mchezo unaoendelea Kwa SASA unahitaji kugusa walio wengi.. unless Hana haja na sie tulio wengi.
 
Marehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Hili sasa ni tukio kubwa la kumfanya Mwl kutangazwa Mtakatifu,
 
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

Madhara gani kwa yeye sio mtanzania, kwamba hana haki ya kulala butiama...achenine upumbavu hata wewe unaweza kwenda kulala kama watakualika na kukupa kitanda...uoande wa pil panini.. alivyokuwa anawadhalalisha kuwa watoto wa nyerere wamepata jura mbili alikuwa nakumbuka ainanya Manson alikuwa Analyst...
 
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

Kwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tukiongeza na maneno ya mama Maria Nyerere kwenye mkutano wa Ccm Musoma alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025
 
Waligombea kura za maoni watu wa jimbo hilo wakawanyima kura Makongoro alipata kura tano mwiingine huyo madaraka alipata kura tatu naona wana hasira

Kura wakose wao hasira wazioyesheee kwa kumlaza Lisu kwao!!!!!!
Ile nyumba ni kama museum ya Taifa..hawawezi ata kuichukulia mkopo Bank.
 
Nyerere ni Baba wa Taifa, Therefore Mjane wake ni Mama wa Taifa! Tunapokwenda nyumbani kwa mama huyu tunabeba zaidi utaifa kuliko ukada wa kisiasa ndio maana huwa yupo tayari kumpokea na kumkarimu Mtanzania yeyote alimradi amekwenda kwake kwa mapenzi mema! Tunajua wabaguzi watakuwa wameumia sana ila hamna jinsi huyu hana unafiki dhidi ya nafsi yake! Anatenda haki kwa kila mmoja!
 
Kwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tu kuongeza na maneno ya mama Maria Nyerere alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025
Despite the fact that he called their beloved a Deceit during his Tenure.
 
Hap
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

Hapo sio ikulu mzee ni makazi binafsi ya familia yao sasa hakuna wa kuwachagulia wageni wa kuwatembelea au kuwakaribisha. Vipi au wewe nyumbani kwako kuna mtu anakupangia nani aingie kwako nani alale na nani asije kabisaaa????
 
Hakulsla pale,aljumuika kupata chakula cha jioni tu,dinner
Mbona na breakfast alipata hapohapo nyumbani kwa mwalimu?

Magufuli amekwenda mkoa wa Mara, badala ya kwenda nyumbani kwa mwalimu yeye amemsumbuwa yule bibi kizee kutoka Butiama mpaka Musoma mjini kwenda kuongeza vichwa, hivi nyinyi mna akili timamu kweli?
 
Back
Top Bottom