Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Mama Maria Nyerere kajibu kwa vitendo baada ya kushurutishwa aende mkutano wa CCM kuongeza vichwa kisha kulazimishwa kuongea.
hili jambo lina maana kubwa sana...sana...naamini na Baba wa taifa huko aliko anaona
 
sasa kama Rais haelewi, tena mwenye PhD haelewi hilo neno, nani atalielewa? Mwandishi anamwandikia Kiingereza Mtanzania gani atakaelewa ???

Hivi Donald Trump anaweza kujifunza Kiarabu halafu akaanza kuwandikia Wamarekani Twitter za Kiarabu ????
We zwazwa unazijui lugha rasmi za taifa la tanzania kwa mujibu wa sheria?

Misukule ya lumumba haijawahi kua na akili timamu
 
Aiseee...!!

Huyu Madaraka atabaki salama kweli!??
 
Nafikiri mwandishi hakuwa ana address umma wa watanzania..hiyo ni weekly report anaituma Kwa hadhara yake.

Yaani natamani kuona security details ambazo Lissu atawekewa ikitokea akashinda uchaguzi mkuu ujao
Sawa.... Unajua lugha razmi za tanzania ni zipi mkuu?
 
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

2.jpg
 
Back
Top Bottom