Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ukoo wa Nyerere siyo uliopiga kura za maoni acha upotoshaji.Watu wa Butiama unawajua ? Mpaka wakawapa kura kidogo hivyo wakati wanamjua baba yao vizuri INA maana waliwaona hawako vizuri kabisa
Hata familia na ukoo wa Nyerere ulioko Butiama maana yake umewakataa haiwezekani Madaraka apate kura 2 na mwenzie Makongoro apate kura Tano
Huo ni ujumbe wa wazi kuwa ukoo wa Nyerere hawawataki
Sasa kama ukoo umetuma hiyo meseji huwezi force
Ukoo wa Nyerere ni mdogo sana pale Zanaki, hata kura zingepigwa kwa koo wasingeshinda acha kupotosha.
Musoma hakuna tabia za kujipendekeza kwa familia maarufu, hayo mambo yapo huko kwa waswahili wenzenu, Chalinze, Lindi and likes.