Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Unamaanisha risu anakuja musoma?????Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.
Acha kukalili maisha lowasa afui dafu kwa lisu kwanza kuongea tu ilkua issueYani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Wanamshinikiza Kaijage amwengue Lissu , hawana ujanja , wamekaliwa kooni , hali mbaya , game imechenji .
Ofcourse nothing has changed lakini approach pia ya vyama kupambana na hii situation inabidi ibadilike.NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed
Aliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
Same old stories wakipita wanajeshi wanapiga tizi hakuna anayeonekana nje siku ya tukioSisi tuna njaa. Hakuna wa kutuzuia. Likianzishwa tu, mtajua bora kifo cha gaddaf kuliko kitakacho mkuta mtu
Basi sawa time will tellAcha kukalili maisha lowasa afui dafu kwa lisu kwanza kuongea tu ilkua issue
Kwahiyo maoni yako ni niniNEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed
Mzee wa malofa hayupo mzee wa msoga naye ndiyo hivyo tena picha haziendi wazee wa goli la mkono nao wapo bench! mambo sijui yatakuwaje.Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Ndiyo maana nakwambia nothing has changed, lowassa na muungano wa Ukawa walikuwa na nguvu than ever before kitu ambacho sina hakika kama ile nguvu ya sasa ni kubwa kuliko ya kipindi kile. Kipindi kile walikuwa na new approach hata CCM walilijua hilo na ndiyo maana ikafika mahala hata Raisi Magufuli alikuwa anajinadi yeye kama yeye siyo chama. We upepo wa 2015 ulikuwa ni upepo haswaa.Ofcourse nothing has changed lakini approach pia ya vyama kupambana na hii situation inabidi ibadilike.
Kama umesoma na maoni yangu hujayaona basiKwahiyo maoni yako ni nini
Sasa hii ndyo hatari zaidi maana hahitaji kupitia kwa watu kutoa order maana yeye ndiye muamuzi wa kila kitu hata baadhi ya ma rc ni wajeshi.Mzee wa malofa hayupo mzee wa msoga naye ndiyo hivyo tena picha haziendi wazee wa goli la mkono nao wapo bench! mambo sijui yatakuwaje.
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Kama ndilo lengo basi hapo nakubariana na wewe na tafadhari yule mbunge waitara hakikisheni harudi bungeni labda kama akipewa nafasi ya kuteuliwa ila si kwa kura za wananchi.Hilo linaeleweka, tunataka kuweka rekodi sawa kuwa cdm haijafa kama Magufuli alivyotaka. Na huu ndio ushahidi kuwa wananchi wanataka mabadiliko na bado hawajayapata. Na hakuna uwezekano wa nchi hii kuwa ya chama kimoja kwa utashi wa Magufuli.
Tunapaswa kuwa na mtazamo mpya kwenye udhibiti wa wizi wa matokeo ya uchaguzi.Ndiyo maana nakwambia nothing has changed, lowassa na muungano wa Ukawa walikuwa na nguvu than ever before kitu ambacho sina hakika kama ile nguvu ya sasa ni kubwa kuliko ya kipindi kile. Kipindi kile walikuwa na new approach hata CCM walilijua hilo na ndiyo maana ikafika mahala hata Raisi Magufuli alikuwa anajinadi yeye kama yeye siyo chama. We upepo wa 2015 ulikuwa ni upepo haswaa.
Huwezi tumia nguvu ile ile iliyoshindwa kupambana na mfumo ule ule ukitegemea utaushinda. Narudia NEC ni ile ile, Polisi ni walewale, CCM ni ile ile na sasa hivi hakuna cha baraza la wazee wala nini, sasa hapo ushindi utatoka wapi wakati hata kwa bao la mkono lazima ...
Kwani kampeni zimeanza mkuu..NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed.
Naona mawingu ya kampeni mvua badoKwani kampeni zimeanza mkuu..
Lowasa akishinda na maalim Seif alishinda na Tundu Lissu anaenda kushinda........NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed.
Watu wenye uweledi wa kuanzisha uzi ndio tunawataka waanzishe Nyuzi zinazohusu Chama pendwa Chadema, Haiwezekani mtu ukae kwako halafu ulete nyuuzi kuhusu chadema na picha ambazo hazina picha halisi ya mahali Mgombea wetu alipo.