Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Acha kukalili maisha lowasa afui dafu kwa lisu kwanza kuongea tu ilkua issue
 
Wanamshinikiza Kaijage amwengue Lissu , hawana ujanja , wamekaliwa kooni , hali mbaya , game imechenji .

Halafu kwa upande mmoja katiba inamlinda/ inamtaka hasisikilize wala kutekeleza anayoambiwa na mtu au chombo chochote juu ya utendaji wa tume (ibara ya 74(11). Kwa upande mwingine, katiba inamlinda kama atakiuka kifungu hicho cha kutoshinikizwa kwa tume kwa kutochunguzwa kabisa kwa matendo yake (ibara ya 74(12). Hivi watanzania ndio walikubaliana haya kweli? Hivi hii sio kuendekeza au kufagilia uroho wa madaraka na power?

Hii katiba sio kabisa hasa kwenye mambo ya uchaguzi.
 
NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed
Ofcourse nothing has changed lakini approach pia ya vyama kupambana na hii situation inabidi ibadilike.
 
Sisi tuna njaa. Hakuna wa kutuzuia. Likianzishwa tu, mtajua bora kifo cha gaddaf kuliko kitakacho mkuta mtu
Same old stories wakipita wanajeshi wanapiga tizi hakuna anayeonekana nje siku ya tukio
 
NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed
Kwahiyo maoni yako ni nini
 
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Mzee wa malofa hayupo mzee wa msoga naye ndiyo hivyo tena picha haziendi wazee wa goli la mkono nao wapo bench! mambo sijui yatakuwaje.
 
Ofcourse nothing has changed lakini approach pia ya vyama kupambana na hii situation inabidi ibadilike.
Ndiyo maana nakwambia nothing has changed, lowassa na muungano wa Ukawa walikuwa na nguvu than ever before kitu ambacho sina hakika kama ile nguvu ya sasa ni kubwa kuliko ya kipindi kile. Kipindi kile walikuwa na new approach hata CCM walilijua hilo na ndiyo maana ikafika mahala hata Raisi Magufuli alikuwa anajinadi yeye kama yeye siyo chama. We upepo wa 2015 ulikuwa ni upepo haswaa.
Huwezi tumia nguvu ile ile iliyoshindwa kupambana na mfumo ule ule ukitegemea utaushinda. Narudia NEC ni ile ile, Polisi ni walewale, CCM ni ile ile na sasa hivi hakuna cha baraza la wazee wala nini, sasa hapo ushindi utatoka wapi wakati hata kwa bao la mkono lazima ...
 
Mzee wa malofa hayupo mzee wa msoga naye ndiyo hivyo tena picha haziendi wazee wa goli la mkono nao wapo bench! mambo sijui yatakuwaje.
Sasa hii ndyo hatari zaidi maana hahitaji kupitia kwa watu kutoa order maana yeye ndiye muamuzi wa kila kitu hata baadhi ya ma rc ni wajeshi.
 
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale

Hilo linaeleweka, tunataka kuweka rekodi sawa kuwa cdm haijafa kama Magufuli alivyotaka. Na huu ndio ushahidi kuwa wananchi wanataka mabadiliko na bado hawajayapata. Na hakuna uwezekano wa nchi hii kuwa ya chama kimoja kwa utashi wa Magufuli.
 
Kama ndilo lengo basi hapo nakubariana na wewe na tafadhari yule mbunge waitara hakikisheni harudi bungeni labda kama akipewa nafasi ya kuteuliwa ila si kwa kura za wananchi.
 
Watu wenye uweledi wa kuanzisha uzi ndio tunawataka waanzishe Nyuzi zinazohusu Chama pendwa Chadema, Haiwezekani mtu ukae kwako halafu ulete nyuuzi kuhusu chadema na picha ambazo hazina picha halisi ya mahali Mgombea wetu alipo.
 
Ndiyo maana nakwambia nothing has changed, lowassa na muungano wa Ukawa walikuwa na nguvu than ever before kitu ambacho sina hakika kama ile nguvu ya sasa ni kubwa kuliko ya kipindi kile. Kipindi kile walikuwa na new approach hata CCM walilijua hilo na ndiyo maana ikafika mahala hata Raisi Magufuli alikuwa anajinadi yeye kama yeye siyo chama. We upepo wa 2015 ulikuwa ni upepo haswaa.
Huwezi tumia nguvu ile ile iliyoshindwa kupambana na mfumo ule ule ukitegemea utaushinda. Narudia NEC ni ile ile, Polisi ni walewale, CCM ni ile ile na sasa hivi hakuna cha baraza la wazee wala nini, sasa hapo ushindi utatoka wapi wakati hata kwa bao la mkono lazima ...
Tunapaswa kuwa na mtazamo mpya kwenye udhibiti wa wizi wa matokeo ya uchaguzi.
 
NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed.
Kwani kampeni zimeanza mkuu..
 
NEC ni wale wale, Polisi ni ile ile, CCM ni wale wale na huenda now wamekaza zaidi, Nyomi la Lissu sina hakika kama linashinda la lowassa. Ndiyo maana nikasema kama Lowassa hakutangazwa mshindi sidhani kama CHADEMA itashindwa kiti cha uraisi mwaka huu. Nothing has changed.
Lowasa akishinda na maalim Seif alishinda na Tundu Lissu anaenda kushinda........
Lowasa alikua nyanya nyanya na alikua bado Mwana ccm..... Tundu Lissu yuko ngangali nadhani umemsikia

Kasema..... Sasa baaasssss....... Tumechoka
 
Watu wenye uweledi wa kuanzisha uzi ndio tunawataka waanzishe Nyuzi zinazohusu Chama pendwa Chadema, Haiwezekani mtu ukae kwako halafu ulete nyuuzi kuhusu chadema na picha ambazo hazina picha halisi ya mahali Mgombea wetu alipo.

Mkuu taratibu,mleta mada ameeleza kuwa hayo ni maandalizi ya K umpokea Lissu jimbo la Musoma Mjini,LISSU yuko njiani kuelekea huko
 
Back
Top Bottom