Aaronrweumbiza
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 577
- 711
Na wewe poromosha lako kwa kukaa mitandaoni.kuna mijumba kaporomoshewa
Huyu alishaanza kufeli siku nyingi hii hapa nyumba yake kamalizia juzi tu Capri point Mwanza!Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Na wewe piromosha lako kwa kukaa mitandaoni.
Unafanya biashara gani?
Afadhali huko hapa Buguruni Mwanamke mmoja anapakuliwa na 150 kwa siku.mwanamke mmoja tu ndiye anapakuwa
Ndoto za raisi ndo hizo hizo dira za taifa, Raisi ni ofisi tasisi sio mtu, ndoto za raisi ni za taifa elewa vuzuri katika hilo.Rais hatakiwi kuwa na ndoto zake hata siku moja. Hii nchi sio familia yake. Rais anatakiwa kuongoza nchi kulingana na dira ya taifa sio kwa ndoto zake.
Akikuwekea unishtue tafadhaliWe mkataba umeuona?!..hebu tuwekee na sisi tuuone
Huyu alishaanza kufeli siku nyingi hii hapa nyumba yake kamalizia juzi tu Capri point Mwanza!View attachment 2651223
Taasisi haina ndoto, huwa ina vision na mission na sio dreams. Kwanza usini quote unaonekana una uwezo mdogo.Ndoto za raisi ndo hizo hizo dira za taifa, Raisi ni ofisi tasisi sio mtu, ndoto za raisi ni za taifa elewa vuzuri katika hilo.
Hapo sio chini ya milioni 200! Ila jamaa kajenga fasta na kanunua gari ya mil 500 fasta juzi hapa hela ambayo hata mbunge akistaafu hapati!Na hilo eneo viwanja ni very expensive
Hapo sio chini ya milioni 200! Ila jamaa kajenga fasta na kanunua gari ya mil 500 fasta juzi hapa hela ambayo hata mbunge akistaafu hapati!
Sakata la bandari na ishu za ufisadi wa kutisha umemfanya rais Samia kuporomoka kisiasa na umaharufu wake uko shakani .Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Amesema kwa 20yrs wamenunua mashine 7, then baada ya jpm kuingia zikaongezwa mashine mbili.Wacha ujinga wewe mwehu. Kwamba leo ndio umeanza kusikia wanasiasa wakiongea na kutaja taja hizo namba...
Ushawishi ndo watu hufata bungeni
Kuna waliouona na wameshare,labda kama ni tofauti na ule walio share.We mkataba umeuona?!..hebu tuwekee na sisi tuuone
Lile li LC lake jipya la 2023 milioni 500+Huyu bwege kishahongwa na waarabu.kama ana hela bungeni kafuata nini huyo paka.si angekaa kwao ale hizo hela zake.mpuuzi mkubwa huyo.
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodom...