Sikiliza wewe kwa makini "ndani ya hiyo miaka 20" ni sawa na "kwa miaka 20".?Amesema kwa 20yrs wamenunua mashine 7, then baada ya jpm kuingia zikaongezwa mashine mbili.
Muwe mnasikiliza kwa makini
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapa katudanganya lazimaMsukuma anasema ajira zitaongeza kutoka 28,000 mpaka 120,000, halafu anasema huko Dubai mwanamke mmoja tu ndiye anapakuwa mizigo yeye peke yake Bandari nzima. Sasa ajira zitaongeza vipi ? Kama mtu mmoja ndio ufanya kazi zote ?, Awa si bure wamesha lamba asali.
"... uwekezaji wa TICTS ni mashine saba tu toke amekuwepo miaka 20" wakati mwanzo amesema TICTS wapo miaka 30.Amesema kwa 20yrs wamenunua mashine 7, then baada ya jpm kuingia zikaongezwa mashine mbili.
Muwe mnasikiliza kwa makini
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Jibu swali langu.Hee bi mchele povu lote hili kisa musukuma hivi sio kafiri yule ama maslah ya waarabu kwanza ukafiri wake baadae ee
Iwe 20 au 30 haijalishi, wapo hawapo?"... uwekezaji wa TICTS ni mashine saba tu toke amekuwepo miaka 20" wakati mwanzo amesema TICTS wapo miaka 30.
Hayo ndio maneno aliyotamka. Labda kama wewe ni kiziwi ukasia tofauti.
Hakuna taabu,Imam Musukuma [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji854]
Naona wewe hapo umeandika bonge la point. Hongera.Hii taka taka inajionga inaongea point kumbe utumbo mtu.
Kama tuna kubali wazawa hatuwezi basi vitu vyote hatuwezi hata ubungeTupeni gharama za huo mradi tuone kama watanzania tutashindwa kuuchanga huo mtaji, train man power tuone kama huo mradi hautakuwa productive chini ya wazawa.
Hivi hii nchi kwanini mtu akishika visenti kidogo basi anaanza kujiona yeye ndiyo ana akili especially wale ambao walikimbia shule!Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma