Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Msukuma anasema ajira zitaongeza kutoka 28,000 mpaka 120,000, halafu anasema huko Dubai mwanamke mmoja tu ndiye anapakuwa mizigo yeye peke yake Bandari nzima. Sasa ajira zitaongeza vipi ? Kama mtu mmoja ndio ufanya kazi zote ?, Awa si bure wamesha lamba asali.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapa katudanganya lazima

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Amesema kwa 20yrs wamenunua mashine 7, then baada ya jpm kuingia zikaongezwa mashine mbili.

Muwe mnasikiliza kwa makini

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
"... uwekezaji wa TICTS ni mashine saba tu toke amekuwepo miaka 20" wakati mwanzo amesema TICTS wapo miaka 30.

Hayo ndio maneno aliyotamka. Labda kama wewe ni kiziwi ukasia tofauti.
 
"Nimesimama kuzungumzia sakata linaloendelea kwenye mitandao, na moja ya mambo ya hovyo katika mitandao hiyo na mimi nimetajwa, sioni ajabu wala siogopi kusema mimi ni mmoja wa wabunge ambao tulisafiri kwenda kujifunza na kuona uwekezaji nchini Dubai,"- Msukuma, Mbunge wa Geita

"Ni kawaida ya Bunge huwa kuna bajeti ya wabunge kusafiri kwenda nchi mbalimbali kujifunza, sasa kwa imani iliyopo ni kwamba wabunge wote walioenda Dubai wamehongwa kwa ajili ya kutetea bandari,"- Msukuma, Mbunge wa Geita

"Nitashangaa sana kwa mfanyabiashara yeyote anayepitisha mizigo katika bandari ya Dar es Salaam ukiacha hawa wapiga kelele, akipinga jambo kubwa hili la kihistoria linalotarajiwa kufanywa na serikali ya awamu ya sita,"- Msukuma, Mbunge wa Geita

#SakataLaBandari
#EastAfricaTV
FB_IMG_1686316183469.jpg
 
Tupeni gharama za huo mradi tuone kama watanzania tutashindwa kuuchanga huo mtaji, train man power tuone kama huo mradi hautakuwa productive chini ya wazawa.
Kama tuna kubali wazawa hatuwezi basi vitu vyote hatuwezi hata ubunge
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma

Hivi hii nchi kwanini mtu akishika visenti kidogo basi anaanza kujiona yeye ndiyo ana akili especially wale ambao walikimbia shule!
 
Back
Top Bottom