Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

Nikiwa chuoni zamani kidogo mwaka wa kwanza kuna profesa mmoja alisema leo tanzania ata uki uwa ma profesa wote mambo yata endelea vilevile tu kama akuna kilicho tokea . Hya yalikua maneno ya #Prof Msele(2015)
OVA
 
Jimboni kama alipita bila rushwa, ni kichwa kwani aliwashinda hao maprofesa kwa hoja ndio maana akachaguliwa . Labda kama Jimbo lote ni darasa la saba.
 
Inategemea Profesa yupo wapi. Wakiwa vyuoni na maeneo yao kitaaluma na kushauri huwa "Wananyooka". Balaa ni pale wanapokuwa kwenye "eneo" la kufanya maamuzi wengi hubadilika kama vinyonga. Msukuma kwenye hili ana hoja ni hili.
 
Ana point.

Maprofesa wetu ni wanafiki na hawana intellectual independence.

They cant think freely, wanafuata mkumbo wa wanasiasa. Mfano mzuri ni Hamisi Kigwangala.
 
Acha uongo kwahyo yale mapapai ni ww uliyafanyia utafiti?
Kwa hiyo na wewe unaamini Corona ya mapapai ya mwendazake? Hivi kweli mapapai yawe na Korona? Corona hushambulia mfumo wa upumuaji, Je, papai lina huo mfumo wa upumuaji unaoweza kuathiriwa na Corona? JIWE kaondoka na akili za wengi
 
Kwani yeye hajui siasa hunadilika kulingana na upepo? Alikuwa kwa lowasa akaja kwa JPM na Sasa anarudi taratibu kwa mama Samia
 
Mwambieni huyo kichwa cha panzi, aende shule ili kuelewa chenga za maprofesa.
 
Aliyepeleka yeye mwenyewe au aliagiza mtu kwa siri?
 
Huo ndio ukweli, hakuna wasomi kuna wapiga porojo tu
 
Umesema kweli wanacheza tu na midundo ya watawala wanavyotaka.
yaani watu wamejaa kwenye mwendokasi,watoto mashuleni wana laliana kama dagaa.
Halafu wanatokea watu wanaoitwa maprofesa wanasema kuna corona?
au wenzetu wako Tanzania nyingine.
 
CHANJO NI HIYARI MSUKUMA TULIZA WENGE. SISI TUTACHOMWA WEWE TUMIA NYUNGU ZAKO.
KILA MMOJA AMUHESHIMU MWENZAKE!
 
Mbona walikataa kuruhusu wapelelezi toka jumuia ya kimataifa kuja kuchunguza kupigwa risasi Lissu, kupotea kwa kina saanane azory nk?

HUYU MBUNGE BUYU TUPU, MIBANGE INAMUENDESHA
 
Umesema kweli wanacheza tu na midundo ya watawala wanavyotaka.
yaani watu wamejaa kwenye mwendokasi,watoto mashuleni wana laliana kama dagaa.
Halafu wanatokea watu wanaoitwa maprofesa wanasema kuna corona?
au wenzetu wako Tanzania nyingine.
Hahahaaaa....... No barakoa wala nini kwenye mwendo kasi!
 
Mbona walikataa kuruhusu wapelelezi toka jumuia ya kimataifa kuja kuchunguza kupigwa risasi Lissu, kupotea kwa kina saanane azory nk?

HUYU MBUNGE BUYU TUPU, MIBANGE INAMUENDESHA
Hapa anazungumzia Corona siyo mapolisi bwashee!
 
Amejisahaulisha kuwa alikuwa miongoni mwa waumini wa bwana yule... je yeye aliamini pia kuwa Tanzania hakuna corona? Kweli bunge limepatwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…