Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama
Lengo hasa la hiyo sheria ni pamoja na siasa. Kibaya zaidi hawawi chini ya mfumo bali rais. Je rais hapa kwetu ni Mungu?
Hapo cha kushauri u Rais uwe ni taasisi yaani Jamhuri, individual wote tuwe chini...Si kuna baraza la usalama wajameni? Hiyo ndiyo ipewe meno, hata Rais atakuwa chini ya...Mwenyekiti wake achaguliwe na kuwa vetted na asiwe na maslahi yeyote...Hivi kwani sisi ni kisiwa? We can improvise from other places bila kufanya copy paste kwa faida ya nchi...

Kwakua ni mswada tutoe maoni kuboresha badala ya kupinga...
 
Kulikuwa na liason officer...Waziri Ofisi ya Rais, wanavunja huo ukuta ili barabara inyooke direct...Na yeye pia akileta za kuleta afanyiwe mpango maalumu...Jamhuri (Taasisi ya Urais) ndiyo itakuwa juu ya sheria na siyo individuals
Hamna hilo, akili za hao tiss tunazijua, wanatumika kukidhi utashi wa watu na sio sheria.
 
Lengo hasa la hiyo sheria ni pamoja na siasa. Kibaya zaidi hawawi chini ya mfumo bali rais. Je rais hapa kwetu ni Mungu?
Ni kwakua tuna waza ki hivyo, na ninyi mna panic kwakua maslahi ya kisiasa yanaguswa...Tokeni kwenye hizo siasa zenu, wekeni mawazo ya kitaifa nje ya siasa zenu, please!
 
Hapo cha kushauri u Rais uwe ni taasisi yaani Jamhuri, individual wote tuwe chini...Si kuna baraza la usalama wajameni? Hiyo nfiyo ipewe meno, hata Rais atakuwa chini ya...
Rais yuko juu ya sheria, ni chombo gani kina uthubutu wa kumfanya rais awe chini ya sheria? Fuatilia vizuri idara hiyo imekuwa ikifanya kazi kutokana na utashi wa rais aliyeko madarakani. Na ndio itakavyokuwa baada ya sheria hii, tena itakuwa mbaya zaidi.
 
Ni kwakua tuna waza ki hivyo, na ninyi mna panic kwakua maslahi ya kisiasa yanaguswa...Tokeni kwenye hizo siasa zenu, wekeni mawazo ya kitaifa nje ya siasa zenu, please!
Hamna utaifa, sana sana tunaona makundi ya walaji kila awamu. Usitake kujifanya kuna uzalendo wakati uhalisia tunaujua. Kama watu wanapatikana kwa kujuana uzalendo utoke wapi hapo?
 
Hamna utaifa, sana sana tunaona makundi ya walaji kila awamu. Usitake kujifanya kuna uzalendo wakati uhalisia tunaujua. Kama watu wanapatikana kwa kujuana uzalendo utoke wapi hapo?
Kila jambo lina mwanzo, toa maoni ya kuwadhibiti hao na siyo kupinga tu kila jambo zuri kwa taifa
 
Rais yuko juu ya sheria, ni chombo gani kina uthubutu wa kumfanya rais awe chini ya sheria? Fuatilia vizuri idara hiyo imekuwa ikifanya kazi kutokana na utashi wa rais aliyeko madarakani. Na ndio itakavyokuwa baada ya sheria hii, tena itakuwa mbaya zaidi.
Ni pamoja na kumdhibiti Rais, kwani hiyo sheria kuwa reviewed ndiyo mwisho wa maisha?
 
Madam President kafeli hapa ,usikute anaandaliwa mazingira ya kuangushiwa Jumba bovu baadae yeye amekaa tu ,hawa washauri wake watampoteza
 
Kumbe sheria ya Sasa haimpi Rais mamlaka tawi maalumu!!! Sasa inakuwaje baadhi ya viongozi waliopita wanaotuhumiwa kutumia tawi hili maalumu kwa mambo yanayoonekana siyo?
 
Katiba mpya itaondoa kila upuuzi unaowekwa leo au uliowekwa juzi
Huyu mama hana uwezo wa kuleta katiba mpya na hawezi kwa sababu Huku bara hawamuhitaji Hata kwa dawa.
Bunge la katiba alikuwa makamu Mwenyekiti alishindwa mchakato JK Akiwa rais, sasa Yeye ni Rais na JK ni Mshauri number 1 wake katiba nitatoka wapi?
 
Mdude Shida yako iko wapi ? Si mpo kwenye maridhiano na Serikali??? Au hii serikali sikivu imeanza kuwateka tena kama ile serikali ya ki dikteta?? Mh. Freeman Aikael Mbowe alisema msimseme vibaya mama. Tulieni tu mambo mazuri yanakuja
 
Kitu Huyu mama atakifanya kuhusu katiba mpya na chaguzi za 2024 na 2025 , watanganyika hawataamini.

Huyu mama ni Delila wa kwenye bibilia na anatumika au kutumika vibaya.

Cha kusaidia ni watanganyika waingie road atakubali kwao, kinyume chake subirini muone Matokeo
 
Hii haitakubalika , Na Mungu wetu yupo up to date wapitishe tuone ,nimezoea funga kwa siku 14 pale inabidi ila wenda kwa hili siku zikaongezeka , watu wanakuja na miswada kama vile hawatakufa ,tuangalie miaka 100 mbele sasa watu wanaangalia miaka 5 mbele kama vile hatufi ,huu ni upumbavu

Kwamba unaipa madaraka makubwa kitengo na wawe chini yako ,kwamba we nani ,na je hutokufa ,? Ujinga mtupu,

Wasishitakiwe kwamba wao ni juu ya tz, ujinga

Kwamba wanakamata je ndo chombo pendwa kuliko vyote ujinga

Tz tuna watu wasomi wa ajabu na mambo ya ajabu period, ndo maana mswada kama huu umetengezwa na wasomi wajiitao, wa ajabu ila wa ajabu sana,

Nami nasema kama Mungu alivyo juu yetu ,yoyote yule alieshiriki tunga vifungu hivi Mungu akampe stahili ile anaona inafaa na imekua,
 
Hatari zaidi kwa ustawi wa mafisadi....Nchi imechezewa sana hii, acha tuone ikiwekwa hivyo what will be the outcome...Tutabadili kama tunavyobadili ikituletea shida.
Acha kuwaza kwa kutumia matako ndg, hakuna watu wezi hao TISS ... fikiri kabla ya kuandika utumbo wako hapa
 
Acha kuwaza kwa kutumia matako ndg, hakuna watu wezi hao TISS ... fikiri kabla ya kuandika utumbo wako hapa
Nakuona ulivyo panic...Ujiandaye kuwa raia mwema hata povu likutoke vipi, imeisha hiyo!
 
Back
Top Bottom