SSh
Sheria hii tayari imeshapitishwa na tayari imeshaanza kufanya kazi yake, tukae chonjo. "Abiria Chunga Mzigo Wako."
 
Kwa Sheria hii, tiss wamehalalishwa na kuthibitishwa rasmi kwamba wao ni LICENSED KILLERS.
Endapo kama watu wa nchi hii wangekuwa wanajitambua sawasawa, naamini mpaka leo hii tungekuwa na Utawala wa Serikali ya Mpito kutokana na kupitishwa kwa Sheria hii yenye nia ovu dhidi ya raia.
 
Umetimiza wajibu wako kama.Raia Mwema.

Wasije wakasema hatukusema
 
Ofcourse Raia hatunaga shida kabisa.
 
Well explained
 
Kiuhalisia hii sheria imekuja tu kurasimisha yote yanayofanywa na idara hii, kwa mfano immunity hii ilikuwepo siku zote,ulishawahi kusikia katika miaka yoyote afisa usalama ameshtakiwa?. Pili kuhusu kuripoti kwa rais hii imekuwa ndio practice ever since coz kwa mujibu wa sheria iliyofanyiwa mabadiliko Rais ndio waziri mwenye sekta ofisi ya rais.kuhusu ulinzi wa viongozi huko nyuma wenye jukumu hili ni PSU ambayo ipo chini yao.Pia ulinzi wa vituo maalum ni jukumu lao kwa muda mrefu wakishirikiana na vyombo vingine, kwa siku zote wamekuwa na hadhi ya chombo cha ulinzi na usalama.kwa hiyo kilichopo kwenye sheria mpya siyo kigeni na kimsingi ndilo lililokuwa jukumu la msingi la idara na ndicho kilichokuwa kinafanyika ila kimewekewa misingi ya kisheria ili kuwa more protected.
 
More protected kwa faida ya nani..kwa nini unademand protection wewe mwenyewe, unaowatumikia na kukulipa ndio walipaswa wapige kelele unahitaji protection..
 
Kwa upande wa Zanzibar ni kulinda uisilamu na sheria zake, tusitegemee atakuja kutikea mkiristu, huu ni ubaguzi kwenye ajira.
 
Kulikuwa na liason officer...Waziri Ofisi ya Rais, wanavunja huo ukuta ili barabara inyooke direct...Na yeye pia akileta za kuleta afanyiwe mpango maalumu...Jamhuri (Taasisi ya Urais) ndiyo itakuwa juu ya sheria na siyo individuals
Soma tiss act 1996 acha mdomo
 
Lugha gani maridhiano ni amnesty
 
Wameshtakiwa tena wakubwa na wapo online Anza na DSO wa manyara
 
Kwa hiyo ni uthibitisho kuwa watekaji na wauaji ni usalama wa Taifa. Duuuuu

Hata waliomwua Sokoine ni hawahawa
Waliompiga Risasi Lisu ni hawa hawa
Waliomuua Balali kwa polonium ni hawa hawa

List ni ndefu………
 
Nchi ya kishenzi sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…