Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama
Wakati wa bwana yule, mlikua mnaimba mapambio kusifu kila kitu. Sio ajabu hata sasa unafanya jambo lilelile.

Tunae rais dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe!
Rais hatoisaini sheria hiyo hata ikipitishwa bungeni.

Cheza na yeyote usicheze na mama. Hakuchaguliwa na mtu mama, ni chaguo la Mungu.

Mwenyezi Mungu hafanyi makosa.


Hiyo ni michezo ya sukuma gang ikiratibiwa na Kassim Majaliwa Majaliwa.
 
Hapa hao TISS wenye visasi na raia wataitumia hiyo sheria ya kihuni kutumaliza, hii nchi ina watunga sheria wapumbavu sana, hatma yetu iko mikononi mwa Mungu pekee.
 
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
Raia mwema au ujinga na uoga wa kipumbavu, tunduma border haipitiki wazambia kama 200 wanafanya push back kupigania haki zao, wapumbavu always wanakimbilia humu kulalama
 
Unamaanisha ulichokiandika?
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
 
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
Nchi zote ulizozitaja ndizo zinaongoza kwa mauaji ya raia yenye utata, kupotea kwa watu kwenye utata na mambo kama hayo. Ndizo zinaongoza kwa UDIKITEITA AFRIKA kama siyo duniani
 
1.Kwanza kabisa napenda kusema kwamba Mimi binafsi huwa sipendi na wala sina utamaduni wa kupenda kutoa maoni yoyote humu mitandaoni. Hata matumizi yangu ya kawaida ya simu ktk kuwasiliana huwa ni hafifu, lakini kutokana na unyeti mkubwa na hatari kubwa itakayoletwa na suala hili la Mabadiliko ...
Umeeleza vizuri sana kwa undani na inaonekana kama ulivyosema umekuwa muathirika wa matukio ya TISS naamini unayajua vizuri madhara ya kupitisha sheria hii
 
Sio kulindana hiyo sheria inalinda maslahi ya nchi
The inner strength of this law willbe used against themselves.(viongozi)

Nami natazama nikaona There shall be cries and gnashing of teeth.

And no body will stand in between to help. Acha waipiteshe muda utaongea. Tutarudi kufukua nyuzi humu endapo JF itaendelea ku survive hata mwisho maana wakimchukua Maxence Melo ili aminye uhuru humu kwa kisingizio cha maslahi ya taifa hakuna atakaye salia salama
 
1. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuwa tuna watu kwenye mamlaka wanafikiria kulinda uovu wao kupitia sheria.

2. Pasipo hata kusoma mabadiliko ya sheria yenyewe unaona dalili/viashiria vya hila na dhamira ovu..pengine ndio maana mkakati wa kuleta mabadiliko haya ulianza 2020 uchaguzi ulipoharibiwa ili wapatikane wale watakaopitisha mabadiliko haya...
Comment ya kizalendo kupita maelezo.
 
Waliouchomekea muswada huo watakuwa ni Sukuma gang.


Kassim Majaliwa Majaliwa ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Mama Samia ajichunge sana na huyo mtu.
Acha kukwepesha lawama ww ,anachomekeaje wakati Kuna waziri mwenye dhamana
 
Back
Top Bottom